Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Jwtz ilifanya kufuru ya kutisha, majangili wa kisomali walifukiwa wakiwa hai kichwa kinabaki juu.
Lakini haikuwa vita rahisi majangili hao wa kisomali walikuwa na mbinu za kivita hatani.
Iliwachukua muda jwtz kuusoma mchezo.
Mbinu chafu mojawapo waliyokuwa wakitumia...ilikuwa wanaingia kwenye boma la wamasai...wanabaka na kuua wanaume na kuondoka na punda na kujifunika mashuka ya kimasai na kubeba silaha zao na punda.
Ila msomali hata ajifunike na nini unamjua tu......respect jwtz
 
kwenye hii operation kuna jamaa yangu alikuwepo saizi kapangiwa mlima kilimanjaro analinda kule anasema mtiti wake ulikua si wakitoto nao walikua na silaha kali hao wasomali
Nafikiri hao wasomali waliopona kwenye ilo sekeseke hawana hamu na tz tena
 
kwenye hii operation kuna jamaa yangu alikuwepo saizi kapangiwa mlima kilimanjaro analinda kule anasema mtiti wake ulikua si wakitoto nao walikua na silaha kali hao wasomali
Ni kweli...wasomali walikuwa na silaha nzito mno na walikuwa wanatumia mbinu za kijeshi kujihami au hata kukimbia eneo la mapigano...walisumbua kidogo
 
Mkuu hapa napata shaka na hii hadithi yako....milima Udzungwa askari wanafanya doria ya miguu tu na jangili hawezi kuingia na pikipiki kule mlimani kutokana na landscape ya milima ile....hasa kijiji cha Mng'ula ulipotaja, maeneo haya mto ambao mtu anaweza zama na kufa maji unapita barabarani kabisa kwa maana hiyo kama kweli walifanyiwa hivi niwazi watu wangeona...kwa hivyo si kweli kabisa hii hadithi
Mkuu, wewe ni JANGILI au Askari wanyama pori?
 
Kuna kitu wengi wanakosea hapa. Hakuna anayesema ujangili ni mzuri au kuwatetea. Tatizo ni pale hao askari wanyamapori wanapofanya unyama wa hali ya juu kwa watu ambao hata hawakustahili. Wengine unakuta ni hawa watu local na duni kabisa ambao wanatumia mapori kujikimu kutokana na ukali wa maisha na hawana silaha za hatari. Halafu wenhi wanakiuka sheria kwa kujichulia sheria mikononi.
Shida ipo kujua huyu huku porini kaja kwa Nia ipi je kama jangiri au kama raia wa Kawaida kutaffuta kuni nk MI natoka kwenye maeneo yenye hifadhi hifadhi tume shuhudia mengi watu wakifa sio askali

Babu yangu ni mpiga nyama mashuru Sana huko vita Yao kubwa mno huko porini nashukurr tangu mwaka Jana mzee katuria now
 
Hyo ya loliondo nakumbuka kipindi mzee masapile(Babu wa loliondo) anatoa Dawa ya kikombe miladi ayo alitoa taarifa yakuwa Kuna watu wanamiliki kataifa kao kule loliondo kitu Kama waarabu au wasomali na naskia JW walienda na wakashindwa na mpaka leo naskia Kuna kanchi ndani ya loliondo eti ukienda kifala inakula kwako
 
Kuna mkasa ule wa Mkuu wa Polisi Loliondo marehemu Kong'oa. Alienda mbugani nadhani ilikuwa Ngorongoro wakafanikiwa kukamata Majangili kumbe kuna wengine wamejificha kuna mmoja alikohoa jangili akainama mzee alifumuliwa gobore la kifuani. Ikabidi JWTZ waingie msituni. Jangili yeye anachojua ni kuwa kaingia vitani maisha yake kayakabidhi Wanyama na askari pori.
Nani sasa alikohoa na nani alifumuliwa gobore la kifuani
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Dogo tatizo lako ni kulala sebuleni tu, ushazoea kushika shika remote usidhani bunduki ni kama kubeba mswaki
 
Shida ipo kujua huyu huku porini kaja kwa Nia ipi je kama jangiri au kama raia wa Kawaida kutaffuta kuni nk MI natoka kwenye maeneo yenye hifadhi hifadhi tume shuhudia mengi watu wakifa sio askali

Babu yangu ni mpiga nyama mashuru Sana huko vita Yao kubwa mno huko porini nashukurr tangu mwaka Jana mzee katuria now
Huyo hajatulia anasoma ramani tu. Jangili kutulia kwake sijui maana akili zao wanazijua wenyewe
 
Yule Mbunge wa CCM Shinyanga nadhani anajua fika battle la msituni. Kuna siku nilijisikia vibaya sana baada ya kukuta Nyani kasokotwa Gobore yule ni binadamu alitia huruma sana.
 
Vita vyao ni kubwa sana, mmoja kati ya gemu na jangili akiingia kwenye utawala wa mwenzie haponi.

Jangili akimshika gemu anambanika kama samaki au wanawakata vichwa, na gemu akimshika jangili anamchuna ngozi za unyao ,vinganja au wanawafungia vitu vizito then wanawatupa mtoni.

Jangili akishikwa basi labda mazingira ya uraiani au anakamatwa kama suspect Lkn hwa jamaa wanauana Sana huko mbugani.

Kuna siku kule kilombero maeneo ya kiberege jangili walimua mwezao kwasababu aliwa- snitch kwa police jamaa alikuwa anakula na familia yake akapigiwa simu, ainuke apokee simu Ile kusema halo tu akapigiwa chuma Cha kuchwa (simu ilikuwa mtego)
 
Wale ni Zero brain, kwa jina lingine ni Nyumbu wana tabia ya kusahau baada ya muda mfupi unaweza mfukuza ukisimama na yeye anasimama anaendelea kula nyasi keshasahau kuwa alikuwa anafukuzwa…

Hakuna mnyama mwenye akili nyingi kama pundamilia, kuhusu nyati hawa ni balaa hasa ukiwakuta ni bachelors mara nyingi wanakuwa wanajificha kwenye vichaka karibu na chanzo cha maji ukipita hovyo bila kumgundua akipita na wewe basi ndio kwaheri…

Nimetumia sana Etorphine (M99) kuwaangusha hao wanyama pori..
Hivi nyati ni wale pembe zao kwa mbele zimegawanyika?
 
Back
Top Bottom