cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ebooooooooh [emoji849][emoji849][emoji849]Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.