Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Unazijua zile pikipiki Sanlog sijui hizi ambazo town zinatumika kubebea mkaa? Achana na TVS na Boxer. Hizo Sanlg ni gari inapanda popote ile pikipiki tumezikamata sana porini jangili anakimbia anakuachia haina hata side mirror.
Sio kwa milima Udzungwa hasa vijiji vya Mang'ula...kwa maana kuna ranger post pale kijiji cha Sanje, kipo karibu na Mang'ula lakini pia Mang'ula ndio lilipo lango kuu la kuingia hifadhi ya Milima Udzungwa, sasa hawa jangili wanaingilia wapi na hizo "sanlog" zao...kwa hili nakataa akisema maeneo ya Ruipa naweza kukubaliana nae sio Mang'ula mkuu!
 
Unazijua zile pikipiki Sanlog sijui hizi ambazo town zinatumika kubebea mkaa? Achana na TVS na Boxer. Hizo Sanlg ni gari inapanda popote ile pikipiki tumezikamata sana porini jangili anakimbia anakuachia haina hata side mirror.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hapa napata shaka na hii hadithi yako....milima Udzungwa askari wanafanya doria ya miguu tu na jangili hawezi kuingia na pikipiki kule mlimani kutokana na landscape ya milima ile....hasa kijiji cha Mng'ula ulipotaja, maeneo haya mto ambao mtu anaweza zama na kufa maji unapita barabarani kabisa kwa maana hiyo kama kweli walifanyiwa hivi niwazi watu wangeona...kwa hivyo si kweli kabisa hii hadithi
sio muhimu sana, haya mambo yapo.
 
Mkuu Rufiji napata tabu kidogo na hii hadithi yako...unasema umekulia Selous kisha unasema ulikuwa kwenye mafunzo kwa vitendo ni confusion...upi ukweli pili katika pori la selous sehemu inapita reli ni Matabwe ambayo iko Western zone na Kisaki ambayo iko eastern zone, na sehemu ambayo unaweza pata mto wako vua samaki ni mto Rufiji... kwa ukaribu uliosema mlipowaona hao wavuvi itakuwa ni mto Rufiji ambao upo Matambwe katika kituo cha Mtemere na huko hakuna treni.... Uko kwenye mafunzo ya vitendo ni mawindo gani mlikuwa mnatafuta....kwa hadithi yako huenda mlikuwa doria...sasa doria gani mnatafuta mawindo......

Mkuu inaijua selou [emoji1487]… you said it all
 
Mkuu mbona una haraka sana tulia akson vizur, weka aya, sungura andika vizur,una mawazo mazur ila n hujayapangilia

Sent using Jamii Forums mobile app
The Kettle calling the Pot Black...
1640348060114.png
 
Ila majangili wanafaa, sio
Kuna kitu wengi wanakosea hapa. Hakuna anayesema ujangili ni mzuri au kuwatetea. Tatizo ni pale hao askari wanyamapori wanapofanya unyama wa hali ya juu kwa watu ambao hata hawakustahili. Wengine unakuta ni hawa watu local na duni kabisa ambao wanatumia mapori kujikimu kutokana na ukali wa maisha na hawana silaha za hatari. Halafu wenhi wanakiuka sheria kwa kujichulia sheria mikononi.
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Mkuu ukutane na majangili ya kisomali kama yale yaliyoua askari Loliondo kuna nafasi ya kupiga mkono?
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Hahahahahahahahahahah
 
Upo sawa ila mwandiko wako ndio shida. Mwaka jana mwezi julay kama si August, kuna game wawili waliuliwa kikatili japo mmoja hakuonekana. Ilikuwa kwenye milima ya Udzungwa hapo maeneo ya Mangula.
Inasemekana hao walizi wa wanyama pori walikuwa na pikipiki. Inasemwa kwamba walikutana na majangili wakawateka na kisha kuwachukuwa wao na pikipiki yao mpaka kwenye mto. Wakawaamuru wavue nguo na kisha kulazimishwa kuingia kwenye maji na kulazimishwa kuzama. Aisee jmaa wakafa maji.
Majangili yale yakatokomea na kuacha ile pikipiki na zile nguo pale.

Baada ya msako mkali wa kuwatafuta akapatikana mmoja. Mwingine hakuonekana. Kwenye lile tukio unaweza kudhani kwamba jamaa walipaki pale kusudi waoge, kwa jinsi zile nguo na pikipiki zilivyokutwa. Msiba ule ulikuwa mgumu kwa familia zao haswa kwa familia ya yule m1 ambaye hakupatikana.

Hii vita kati ya jangili na game anayemwahi mwinzie anamla kichwa. Hata hivyo hawa magame ni wakatili sana.
Askari game makatiki sana duniani hakuna yani hawafai
 
Kuna mkasa ule wa Mkuu wa Polisi Loliondo marehemu Kong'oa. Alienda mbugani nadhani ilikuwa Ngorongoro wakafanikiwa kukamata Majangili kumbe kuna wengine wamejificha kuna mmoja alikohoa jangili akainama mzee alifumuliwa gobore la kifuani. Ikabidi JWTZ waingie msituni. Jangili yeye anachojua ni kuwa kaingia vitani maisha yake kayakabidhi Wanyama na askari pori.
Jwtz ilifanya kufuru ya kutisha, majangili wa kisomali walifukiwa wakiwa hai kichwa kinabaki juu.
Lakini haikuwa vita rahisi majangili hao wa kisomali walikuwa na mbinu za kivita hatani.
Iliwachukua muda jwtz kuusoma mchezo.
Mbinu chafu mojawapo waliyokuwa wakitumia...ilikuwa wanaingia kwenye boma la wamasai...wanabaka na kuua wanaume na kuondoka na punda na kujifunika mashuka ya kimasai na kubeba silaha zao na punda.
 
Kuna kitu wengi wanakosea hapa. Hakuna anayesema ujangili ni mzuri au kuwatetea. Tatizo ni pale hao askari wanyamapori wanapofanya unyama wa hali ya juu kwa watu ambao hata hawakustahili. Wengine unakuta ni hawa watu local na duni kabisa ambao wanatumia mapori kujikimu kutokana na ukali wa maisha na hawana silaha za hatari. Halafu wenhi wanakiuka sheria kwa kujichulia sheria mikononi.
Mara nyingi nilikuwa natoa nafasi ya wao kujua kipi kimefanya awe hivyo. Ni kweli utakuta asilimia 90 wanaishi maisha ya porini na wamezungukwa na Wanyama utakuta tembo kapigwa risasi huko kaja kufia kijijini halafu bila kuuliza unaanza zogo na wanakijiji na ukichaa tu.
 
Unazijua zile pikipiki Sanlog sijui hizi ambazo town zinatumika kubebea mkaa? Achana na TVS na Boxer. Hizo Sanlg ni gari inapanda popote ile pikipiki tumezikamata sana porini jangili anakimbia anakuachia haina hata side mirror.
Izo na toyo weeee mlimani inapandisha kama tambarare tu
 
Jwtz ilifanya kufuru ya kutisha, majangili wa kisomali walifukiwa wakiwa hai kichwa kinabaki juu.
Lakini haikuwa vita rahisi majangili hao wa kisomali walikuwa na mbinu za kivita hatani.
Iliwachukua muda jwtz kuusoma mchezo.
Mbinu chafu mojawapo waliyokuwa wakitumia...ilikuwa wanaingia kwenye boma la wamasai...wanabaka na kuua wanaume na kuondoka na punda na kujifunika mashuka ya kimasai na kubeba silaha zao na punda.
kwenye hii operation kuna jamaa yangu alikuwepo saizi kapangiwa mlima kilimanjaro analinda kule anasema mtiti wake ulikua si wakitoto nao walikua na silaha kali hao wasomali
 
Back
Top Bottom