Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Vita vyao ni kubwa sana, mmoja kati ya gemu na jangili akiingia kwenye utawala wa mwenzie haponi.

Jangili akimshika gemu anambanika kama samaki au wanawakata vichwa, na gemu akimshika jangili anamchuna ngozi za unyao ,vinganja au wanawafungia vitu vizito then wanawatupa mtoni.

Jangili akishikwa basi labda mazingira ya uraiani au anakamatwa kama suspect Lkn hwa jamaa wanauana Sana huko mbugani.

Kuna siku kule kilombero maeneo ya kiberege jangili walimua mwezao kwasababu aliwa- snitch kwa police jamaa alikuwa anakula na familia yake akapigiwa simu, ainuke apokee simu Ile kusema halo tu akapigiwa chuma Cha kuchwa (simu ilikuwa mtego)
Tena Jangili akijua kuna kugeukana hawana mjadala maana hata biashara yao ya meno ya tembo unapatana na mmoja yeye ndie anaenda kuleta pesa kwa tajiri. Unaweza kwenda na mzigo wako na wala usiweze kumuona tajiri. Jangili na drug dealer ama hawa watu wauza madini tofauti yao ni ndogo sana. Ioa nadhani jangili ni hatari sana.
 
Yani natamanigi Sana mazali kama haya yakukutana na majangili porini huko tena usiku. Huo mkono nitakaoutembeza maamaeee nitaacha historia na alama ya kudumu. Asante mleta mada Lazima sasa hivi nizame chaka niitendee haki black belt yangu.
Kila siku nakwambia bhange hazikufai
 
Kuna vita mbaya sana ipo lakini watu hawajui...hii vita kati ya Jangili na Askari wa kulinda na kutunza Wanjama katika hifadhi za Wanyama. Hii ni zaidi ya vita hawa wakigumiana hakuna majadiliano ni vyuma tu vinatembea. Kwa sisi tuliokulia Selou Game reserve tunajua hii vita. Kuna siku tupo porini hatua chache kutoka pale lilipo treini ndani ya Selou tukakatiza sehemu kuna mti upo katikati ya barabara uligoma kutolewa. Mbele tukagumiana na mvuvi haramu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alijichochea kwenye bwawa lina mamba kibao nikauliza sasa itakuwaje mzee mmoja Ranger akanijibu hao ndio maadui zetu na huyo hawezi kuliwa na hao mambo Wandenge wanauchawi sana. Tukaenda mbele mida ya usiku mwingi tukaona moto kwa mbali unawaka tukajichochea ile tumefika tu tukakuta jamaa walikuwa wanabanika samaki. Nikajisemea hii dunia kuna mtu anaogopa kutoka ubungo mpaka mbezi kwa miguu. Wakati kuna jangili anakatika selou usiku mwingi bila hofu. Siku hiyo tukakosa mawindo yetu nilikuwa katika mafunzo kwa vitendo. Huyu mzee akaniambia humu ni msutuni kina NguruMbili ama makucha(Simba) na Abeid Mziba(Nyati mzee wa Vichwa) na binadamu Jangili mzee akasema bora ukutane na Wanyama kuliko Jangili. Akasisitiza ni vita kali ambayo haina kelele.
Wawindaji na majangiri wanatumia sana ulozi kama na wewe huna wa kuwazidi huwezi kuwakamata Jamaa ni hatari sana
 
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake kama wao wanavyo ramba huko juu
 
Kuna vita mbaya sana ipo lakini watu hawajui...hii vita kati ya Jangili na Askari wa kulinda na kutunza Wanjama katika hifadhi za Wanyama. Hii ni zaidi ya vita hawa wakigumiana hakuna majadiliano ni vyuma tu vinatembea. Kwa sisi tuliokulia Selou Game reserve tunajua hii vita. Kuna siku tupo porini hatua chache kutoka pale lilipo treini ndani ya Selou tukakatiza sehemu kuna mti upo katikati ya barabara uligoma kutolewa. Mbele tukagumiana na mvuvi haramu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alijichochea kwenye bwawa lina mamba kibao nikauliza sasa itakuwaje mzee mmoja Ranger akanijibu hao ndio maadui zetu na huyo hawezi kuliwa na hao mambo Wandenge wanauchawi sana. Tukaenda mbele mida ya usiku mwingi tukaona moto kwa mbali unawaka tukajichochea ile tumefika tu tukakuta jamaa walikuwa wanabanika samaki. Nikajisemea hii dunia kuna mtu anaogopa kutoka ubungo mpaka mbezi kwa miguu. Wakati kuna jangili anakatika selou usiku mwingi bila hofu. Siku hiyo tukakosa mawindo yetu nilikuwa katika mafunzo kwa vitendo. Huyu mzee akaniambia humu ni msutuni kina NguruMbili ama makucha(Simba) na Abeid Mziba(Nyati mzee wa Vichwa) na binadamu Jangili mzee akasema bora ukutane na Wanyama kuliko Jangili. Akasisitiza ni vita kali ambayo haina kelele.
Askari wa wanyama pori wanna kazi ngumu. Mapambano ya kila siku na maadili watatu: majangili, wanyama hatari, majoka hatari. Jw hawana suruba kama hizi japo wanalipwa vizuri kuliko wa wanyamapori.
 
Wewe unaanza amini uchawi ulishawahi kuuona , hamna mtu anaweza thibitisha uchawi kuwepo zaidi ya kusema niliota oh nilihadithiwa .
Unaishi mijini au jinini ndo .aana tembea vijijini ndo utajua hujui
 
Humu kuna watu wanasema tu hawajui maisha ya porini ni vita rasmi. tulikamata mzee ana miaka kama sikosei 75+ nikakaa nae chemba kumuuliza maswali akasema yeye maisha yake ni porini hajui lolote maishani mwake ni Jangili mbobezi. Nikatoa ushauri tumuachie tukansindikiza mpaka kijijini kwake.
Pumba ya mwaka.
 
Askari wa wanyama pori wanna kazi ngumu. Mapambano ya kila siku na maadili watatu: majangili, wanyama hatari, majoka hatari. Jw hawana suruba kama hizi japo wanalipwa vizuri kuliko wa wanyamapori.
Una uhakika katika malipo au umeamua tu kuongeza nyama kwenye comment??
 
Back
Top Bottom