ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Ila msomali hata ajifunike na nini unamjua tu......respect jwtzJwtz ilifanya kufuru ya kutisha, majangili wa kisomali walifukiwa wakiwa hai kichwa kinabaki juu.
Lakini haikuwa vita rahisi majangili hao wa kisomali walikuwa na mbinu za kivita hatani.
Iliwachukua muda jwtz kuusoma mchezo.
Mbinu chafu mojawapo waliyokuwa wakitumia...ilikuwa wanaingia kwenye boma la wamasai...wanabaka na kuua wanaume na kuondoka na punda na kujifunika mashuka ya kimasai na kubeba silaha zao na punda.