Vita kati ya majangili na askari wa hifadhi za wanyama pori

Nyati msikie tu, bora ukitane na pride ya simba ila sio nyati nakumbuka miaka hiyo nilipokuwa nafanya tafiti katika mbuga ya Serengeti ile wakati wa kufanya darting kuna mzungu mmoja alikoswa koswa kupigwa pembe..
Shuka kidogo kuhusu nyati. Hivi ndo wale huliwa kwa wingi na mamba et
 
Shuka kidogo kuhusu nyati. Hivi ndo wale huliwa kwa wingi na mamba et
Wale ni Zero brain, kwa jina lingine ni Nyumbu wana tabia ya kusahau baada ya muda mfupi unaweza mfukuza ukisimama na yeye anasimama anaendelea kula nyasi keshasahau kuwa alikuwa anafukuzwa…

Hakuna mnyama mwenye akili nyingi kama pundamilia, kuhusu nyati hawa ni balaa hasa ukiwakuta ni bachelors mara nyingi wanakuwa wanajificha kwenye vichaka karibu na chanzo cha maji ukipita hovyo bila kumgundua akipita na wewe basi ndio kwaheri…

Nimetumia sana Etorphine (M99) kuwaangusha hao wanyama pori..
 
Duuh ""hakuna mnyama mwenye akili nyingi kama pundamilia"" hii ipo vipi ? Nyati anaweza kukushambulia bila sababu yoyote ile ?
 
Unajiuliza swali na ID yako nyingine halafu faster unajijibu. Mnaishi kwa kukera wengine ilmradi tu mpate faraja.
 
Hakuna mwenye roho mbaya au ukatili, its just usipoua unauliwa !! Watu wana historia mbaya sana na majangili maaskari wanauliwa kila siku wanaacha familia zao yatima na kwenye hali ngumu ! Unapewa tuu pole na paredi la kuagwa bhasii

Kuna mapori magumu mno kama moyowosi ,lukwati lumesule kule mnakutana na majangili ambao daah !!Vijana wengi sana wamepoteza maisha hamjui tuu especial hawa ajira mpya.

Mtu unaamka nae mnaingia doria anarudi maiti life la porini . Selou imetulia sana mbona skuiz watu walikuwa wanangusha tembo like nothing happened !
 
Mkuu hao askali si wana silaha vipi wanazidiwa?
 
Uko sahihi tuliekaa karibu na mbuga au mapori ya akiba tujua Hilo
1. Ukikutwa na Kuni wewe ni jangingiri
2. Ukikutwa na mjusi wewe ni jangingiri
3. Ukikutwa na mbao ndio usiseme
Askari wanyama pori hawafai kuliko Askari yeyote Duniani nasema tena hawafaiiii
 
Hao asikari uchwara wa wanyama pori wana roho mbaya sana na wana hamu ya kuua binadamu wenzao nakumbuka kuna wengine tulikuwa tunaishi nao nyumba moja walikuwa wakitukata macho mabaya bila sababu ikabidi tuwahamishe
 
Eti hata asali hawat[ICODE][/ICODE]aki tule hizo mbuga kuna siku tutazipiga kiberiti oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…