Vita kubwa ya maneno inayoendelea kati Lema Vs Zitto Kabwe

Vita kubwa ya maneno inayoendelea kati Lema Vs Zitto Kabwe

Tangu Lemma aende ughaibuni,wizi wa magari umekwisha kabisa Arusha

Ww lazima utakuwa ni mzee, wizi wa magari umeisha muda mrefu baada ya usajili wa magari kufanyika kieletroniki. Sasa unapoendelea na propaganda outdated, unaanika uzee wako hapa jukwaani.
 
Ww lazima utakuwa ni mzee, wizi wa magari umeisha muda mrefu baada ya usajili wa magari kufanyika kieletroniki. Sasa unapoendelea na propaganda outdated, unaanika uzee wako hapa jukwaani.
Umepungua miaka miwili iliyopita mkuu
 
Wengi hawafahamu ila Lema alianzia siasa TLP nakumbuka miaka hiyo akiwa kwenye majukwaa ya mbao analia lia tu kapaukaaa.

Ila watu huwa tunasahau tulikotoka.
 
Wanasiasa wa bongo Bado Wana utoto sana,kwanini hatijifunzi kutoka kwa kaka zetu Kenya,
Jana miaka mitano iliyopita Uhuru Kenyata alimpiga mabomu ya machozi Odinga na wafuasi wake,wakatukanana matusi kibao,leo Uhuru huyo huyo anampigia Kampeni Odinga awe Raisi ajaye baada yake,amemtosa makamu wake Ruto aliyemsaidia kuingia Madarakani,
Kalonzo musyoka alihapa hata kuja kumsaidia Odinga kwa mala ya tatu kuingia Ikulu,lakini jana amesema Odinga tosha!!
Tukomae jamani,siku Mbowe akiteuliwa kuwa waziri mkuu,na wafuasi wake wakapewa nafasi za wizara na ukuu wa mikoa,inabidi tuone ni kitu Cha kawaida.
Siasa za bongo tunazingatia zaid rangi ya bendera za vyama kuliko sera za chama husika
 
ACT ndio chama pekee ambacho kipo active sasa ivi
kamwe hawataki kuusikia ukweli huu. badala yake wanahamishia hasira zao kwa zitto kabwe anayewapiga tobo kila wanapomfuata.......chuki zidi ya zitto zimetamalaki sana kipindi hiki, kila siku humu ni threads tu za kujaribu kumkandia zitto.

yule asiye na akili yule nasikia naye ameingia mzimamzima kutaka kugombana na zito, hajui hata kuongea kama mwanasiasa mjanja.....anatajataja tu majina ya wazee wa watu bila sababu. amechanganyikiwa kwa kifupi!
 
Viongozi wetu wa upinzani waache kupigana vijembe na mipasho mitandaoni badala yake tujipange ili tupate kuliondosha zimwi.
 
Wapinzani walikuwa wakimchukia sana JPM. Bila kujua kwamba alikuwa na mapenzi makubwa mno kwao. Kwanza aliwafanya wawe na umoja wenye nguvu ktk vyama vyao. Pia walikuwa wakijenga hoja kuhusu wanachotaka serikali iifanyie nchi. Lkn sasa JPM hayupo tunashuhudia viongozi wa upinzani wakipigana vijembe.

Msishituke na ya leo, bado yenyewe.
 
Umenena vyema

Wapinzani walikuwa wakinchukia sana JPM. Bila kujua sana kwamba alikuwa na mapenzi makubwa mno kwao. Kwanza aliwafanya wawe na umoja wenye nguvu ktk vyama vyao. Pia walikuwa wakijenga hoja kuhusu wanachotaka serikali iifanyie nchi. Lkn sasa JPM hayupo tunashuhudia viongozi wa upinzani wakipigana vijembe.

Msishituke na ya leo, bado yenyewe.
 
Kitu ambacho kinawafanya kwa Sasa wanachadema wasikike ni kule kuaminisha umma kuwa Zitto ni msaliti nje ya hapo huwezi kuwasikia.

Ngoja Zitto awatengenezee mazingira mazuri ya wao kufanya siasa kesho na kesho kutwa watarudi hapa kupiga kelele kwanini wameruhusiwa kufanya siasa.



Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom