Tangu Lemma aende ughaibuni,wizi wa magari umekwisha kabisa Arusha
Umepungua miaka miwili iliyopita mkuuWw lazima utakuwa ni mzee, wizi wa magari umeisha muda mrefu baada ya usajili wa magari kufanyika kieletroniki. Sasa unapoendelea na propaganda outdated, unaanika uzee wako hapa jukwaani.
Umepungua miaka miwili iliyopita mkuu
Wengi wanapambana wapo vitani ila zitto katekwa kabisa.ni mwanasiasa yupi wa upinzani ambae hajapotea kisiasa?
Siasa za bongo tunazingatia zaid rangi ya bendera za vyama kuliko sera za chama husikaWanasiasa wa bongo Bado Wana utoto sana,kwanini hatijifunzi kutoka kwa kaka zetu Kenya,
Jana miaka mitano iliyopita Uhuru Kenyata alimpiga mabomu ya machozi Odinga na wafuasi wake,wakatukanana matusi kibao,leo Uhuru huyo huyo anampigia Kampeni Odinga awe Raisi ajaye baada yake,amemtosa makamu wake Ruto aliyemsaidia kuingia Madarakani,
Kalonzo musyoka alihapa hata kuja kumsaidia Odinga kwa mala ya tatu kuingia Ikulu,lakini jana amesema Odinga tosha!!
Tukomae jamani,siku Mbowe akiteuliwa kuwa waziri mkuu,na wafuasi wake wakapewa nafasi za wizara na ukuu wa mikoa,inabidi tuone ni kitu Cha kawaida.
ACT ndio chama pekee ambacho kipo active sasa iviWengi wanapambana wapo vitani ila zitto katekwa kabisa.
hahahahaaaaaaaaa!!!! na bila shaka amelenga kutuambia kuwa ni maarufu kuliko zitoSo Lema ndo mwanasiasa maarufu? Kweli mapenzi upofu.
kamwe hawataki kuusikia ukweli huu. badala yake wanahamishia hasira zao kwa zitto kabwe anayewapiga tobo kila wanapomfuata.......chuki zidi ya zitto zimetamalaki sana kipindi hiki, kila siku humu ni threads tu za kujaribu kumkandia zitto.ACT ndio chama pekee ambacho kipo active sasa ivi
Wapinzani walikuwa wakinchukia sana JPM. Bila kujua sana kwamba alikuwa na mapenzi makubwa mno kwao. Kwanza aliwafanya wawe na umoja wenye nguvu ktk vyama vyao. Pia walikuwa wakijenga hoja kuhusu wanachotaka serikali iifanyie nchi. Lkn sasa JPM hayupo tunashuhudia viongozi wa upinzani wakipigana vijembe.
Msishituke na ya leo, bado yenyewe.