Vita ni mbaya, leo Ayatollah Khamenei ameongoza Ibada akiwa bunduki

Vita ni mbaya, leo Ayatollah Khamenei ameongoza Ibada akiwa bunduki

Kua hio bunduki ndio yeye anaitumia kujilinda hapo?
Huyo ni supreme leader,ana ulinzi mkali mara 30 ya wa chura kiziwi, na ana Kila sababu ya kujilinda
Halafu hio sio bunduki hilo ni Bomba la kipaza sauti
Unamkumbuka Osama bin Laden? Always AK 47 ilikuwa haibanduki alipo! Mikwara kibao but atafikiwa tu.
 
Unamkumbuka Osama bin Laden? Always AK 47 ilikuwa haibanduki alipo! Mikwara kibao but atafikiwa tu.
Future haijawahi kufikiwa boss,unazungumzia past na present...............Iran ni nchi kama ilivo China,U.S,Russia .......unafananisha Osama ambaye alikua stateless na rais wa nchi?
Hizi ni akili kama za baadhi ya wakristo WA bongo,utasikia,....."ukiiombea Israel na wewe utabarikiwa",🤣😆😆😆...Yaani Israel yenye waislamu wengi kuliko wakristo ibarikiwe kupitia MPUMBAVU unayekesha kwa viongozi wako wa dini kuwatajirisha ...
UPUNGUANI huu
Screenshot_20241004-184152.png
 
Kawaida wanaume wa dini kuwa na bunduki sio lazima kuwe na vita hata kwenye sherehe wanakuwa na bundunki, hio symbol ya uwanaume Shujaa.

Watu wa 1=3 huwa wao symbol zao ni equal rights 😄
Watu ndio wanaiona kwa mara ya kwanza hio ndio shida
 
Future haijawahi kufikiwa boss,unazungumzia past na present...............Iran ni nchi kama ilivo China,U.S,Russia .......unafananisha Osama ambaye alikua stateless na rais wa nchi?
Hizi ni akili kama za baadhi ya wakristo WA bongo,utasikia,....."ukiiombea Israel na wewe utabarikiwa",🤣😆😆😆...Yaani Israel yenye waislamu wengi kuliko wakristo ibarikiwe kupitia MPUMBAVU unayekesha kwa viongozi wako wa dini kuwatajirisha ...
UPUNGUANI huuView attachment 3115295
Hizo data ni za uongo, Waislam sio wengi zaidi ya Wakristu kwa US, na pia Wayahudi sio wengi kufikia asilimia 73.
 
Ni Allah yupi sasa anayemuomba hapo, kama maisha yake anategemea gobole??
Allah yupo anaekufanya wewe unye. Kama huamini kama Allah ndio anekufanya unye , jizibe kitobo ili ukae siku 10 usinye
 
Hiyo binduki sio mahali pake hapo.

Ila kwa hao majamaa ni kawaida kusali na silaha.

Kuna msikiti hapa bongo jamaa walikua wanaugombea sasa ikifika muda wa ibada kil mtu anaficha jambia lake ndani ya kanzu.
😁😁😁Kumbe ni kila sehemu

Kuna kijiji huko geita walikuwa wanagombea msikiti sijui ndo shia na sunni, sijui shia na muqawama walikuwa wanaita (sikumbuki vizuri).

Mimi na jamaa yangu tukaalikwa na kiongozi wao wa bakwata wilaya kikao cha usuluhishi. Kumbe yule kiongozi ana upande na kaalika watu wa upande wake pekee, halafu upande ule ambao hawajaalikwa nao wana kiongozi wao huko wilayani anawachochea kwa simu wakiwa mitaani huko.

Katika kuzungumza jamaa wakawa wanazungumzia shari tu, mara kuja na mapanga wachinjane wapate thwawabu! Nikaona cha kike, nikawa namcheki jamaa yangu naye kapigwa butwaa.

Mara wadau wa upande wa pili wakaanza kuja mmojammoja wanakaa kikaoni pale na hakuna hata anayetabasamu, nikaona sasa kinachoenda kututokea ni yale ya Mkolani (Mwanza).

Nilitoka kama naenda msalani, nikapotea mazima sikutaka kufa shaheed, halafu bado nawahitaji akina mwaju ndala ndefu, mabikra wanarusha mateke kama punda. Nilipofika kwa mbali namwona mdau naye kapitia kule chooni ananifuata.

Wadau ni watata sana aisee.
 
Hiyo binduki sio mahali pake hapo.

Ila kwa hao majamaa ni kawaida kusali na silaha.

Kuna msikiti hapa bongo jamaa walikua wanaugombea sasa ikifika muda wa ibada kil mtu anaficha jambia lake ndani ya kanzu.
😂😂😂😂😂 kwanini
 
Utakua ule msikiti wa maboxi/ mabati maeneo ya mbagala nadhani miaka ya nyuma kidogo sijui walimaliza vip lile sakata lao.
 
Back
Top Bottom