Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hawa waimba kwaya utawaweza, hawajui wametoka wapi na sasa wapo wapi na wanaelekea wapi.Future haijawahi kufikiwa boss,unazungumzia past na present...............Iran ni nchi kama ilivo China,U.S,Russia .......unafananisha Osama ambaye alikua stateless na rais wa nchi?
Hizi ni akili kama za baadhi ya wakristo WA bongo,utasikia,....."ukiiombea Israel na wewe utabarikiwa",🤣😆😆😆...Yaani Israel yenye waislamu wengi kuliko wakristo ibarikiwe kupitia MPUMBAVU unayekesha kwa viongozi wako wa dini kuwatajirisha ...
UPUNGUANI huuView attachment 3115295