Vita ni mbaya, leo Ayatollah Khamenei ameongoza Ibada akiwa bunduki

Hawa waimba kwaya utawaweza, hawajui wametoka wapi na sasa wapo wapi na wanaelekea wapi.
 
Kua hio bunduki ndio yeye anaitumia kujilinda hapo?
Huyo ni supreme leader,ana ulinzi mkali mara 30 ya wa chura kiziwi, na ana Kila sababu ya kujilinda
Halafu hio sio bunduki hilo ni Bomba la kipaza sauti
Watu wanapenda kukuzisha mambo
 
Hamna bunduki pale pro israel nyie waongo hata ukraine inasubiri
 
Amefikiwa Ibrahim Rais kwa ajali fake
 
Kawaida wanaume wa dini kuwa na bunduki sio lazima kuwe na vita hata kwenye sherehe wanakuwa na bundunki, hio symbol ya uwanaume Shujaa.

Watu wa 1=3 huwa wao symbol zao ni equal rights πŸ˜„
Tuonyeshe kabla ya hii akiwa na Gobole
 
Kua hio bunduki ndio yeye anaitumia kujilinda hapo?
Huyo ni supreme leader,ana ulinzi mkali mara 30 ya wa chura kiziwi, na ana Kila sababu ya kujilinda
Halafu hio sio bunduki hilo ni Bomba la kipaza sauti
Ukiona unamcopare na chura kiziwi, ujue hana ulinzi mkali.
 
Huyu ndio tatizo, kama ni kiongozi wa dini abaki kuwa kiongozi wa dini, mambo ya kutetea dini kisiasa ni inafanya iran iwe agaist mataifa Mengi maana wanapenda kuwa confotational zaidi na kuexport dini yao kuliko diplomasia na mambo ya uchumi.
Huu ni mfumo mbovu sana wa kuendesha nchi
 
View attachment 3116674
Malaria 2 , mwambie imamu aturudishie nguruwe wetu...
Katika Qur'an, kuna aya nyingi zinazozungumzia hukumu ya kila mtu kwa matendo yake mwenyewe, bila kujali cheo au nafasi ya mtu katika jamii.

Mojawapo ya aya hizi ni:Surat Al-Zalzalah (99:7-8): "Basi atakayefanya kheri yenye uzito wa chembe atakiona, na atakayefanya shari yenye uzito wa chembe atakiona."Aya hii inasisitiza kuwa kila mtu atapata malipo ya yale aliyoyafanya, awe ni mtu wa kawaida au mwenye cheo kikubwa kama sheikh, kwa kila jambo jema au baya alilolifanya, hata kama ni dogo kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…