Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa.
Kuna watu wanadhani vita ni kama mchezo wa Hollywood na wanataka yapatikane mafanikio haraka.
Moja ya sababu alizosema zimepelekea hali hiyo ni kuwa eneo kubwa la zaidi ya kilomita za mraba 200,000 zimetegeshwa mabomu na Urusi na hayapitiki.Akaongeza kuwa kuna watu wanataka kulazimisha ushindi wa haraka.Nawaambia kwa heshima zote watulie na sisi tutaendelea na mapigano kwa namna zetu tunazoona zinafaa zaidi.
Katika malalamiko yake akihojiwa na shirika la BBC Zelensky ameulaumu umoja wa NATO kwamba wametia nguvu kujadili uanachama wao badala kuwapelekea ndege za F 16.