Vita si mchezo wa kuigiza!.-Zelensky

Vita si mchezo wa kuigiza!.-Zelensky

Ukraine itashinda tu kwenye Vyombo vya habari, Russia can't be defeated Huwa mnasikiliza sana vyombo vya habari vya magharibi.,........ Afghanistan mlienda kupiga vita Miaka 20 na mkashindwa saizi mmeenda Ukraine na mtashindwa tena!!!!!,,,,naona Mmejiandaa na Kwenda TAIWAN kuleta vita , bila shaka mtashindwa Tena
Mwaka wa pili sasa na sio siku 3 bado wehu wako unakuambia Russia cant be defeated

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Vita si mchezo .Ndio kwanza Ukraine amelielewa hilo.Urusi angekuwa anapigana na Ukraine pekee hizo siku zingetosha, lakini anapigana na Ulaya na Marekani .Pamoja na hivyo hatimae ushindi utakuwa kwa Urusi na hao mashoga wataporomoka chini sana na sababu haitokuwa ni makombora ya Urusi kutua kwenye miji yao bali umaskini kwa ushoga wao wa kupeleka vifaa vyao mstari wa mbele ambavyo vinadunguliwa kimoja kimoja,
Kwahiyo Ukraine na Urusi ni sawa ? Kwahiyo Russia siku hz ni level za Ukraine ? Tupe ripoti pia kule Georgia aliichukua Georgia yote ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wanasema wamekomboa vijiji sita 6 karibu na Bakhmut.Vijiji sita tu baada ya kuangamizwa vifaru vya kisasa vya Leopard na Abrams havitoshi na mafanikio madogo sana kama alivyokiri raisi. Nani atakupatia tena vifaru vyake kwa mafanikio hayo.
Na Urusi wameteka vijiji vingapi jombaa!!
 
Back
Top Bottom