Vita si mchezo wa kuigiza!.-Zelensky

Vita si mchezo wa kuigiza!.-Zelensky

Counter offensive:
Wanajeshi wa Urusi wakimbia kwa kupaniki baada ya handaki lao kulipuliwa na drones za Ukraine:
....
 
Kamanda wa Ukraine Jeshi la Ardhini: Vikosi vyaendelea kusonga mbele huko Bakhmut:
...
Ukraine itashinda tu kwenye Vyombo vya habari, Russia can't be defeated Huwa mnasikiliza sana vyombo vya habari vya magharibi.,........ Afghanistan mlienda kupiga vita Miaka 20 na mkashindwa saizi mmeenda Ukraine na mtashindwa tena!!!!!,,,,naona Mmejiandaa na Kwenda TAIWAN kuleta vita , bila shaka mtashindwa Tena
 
Lini Sasa Russia itaimaliza Ukraine,manake time frame ilikuwa Kyv iwe chini ya Moscow baada ya siku 3 za operation maalum.Sasa hivi Russia ndio anapelekewa moto; Counter offensive!
 
Vita si mchezo .Ndio kwanza Ukraine amelielewa hilo.Urusi angekuwa anapigana na Ukraine pekee hizo siku zingetosha, lakini anapigana na Ulaya na Marekani .Pamoja na hivyo hatimae ushindi utakuwa kwa Urusi na hao mashoga wataporomoka chini sana na sababu haitokuwa ni makombora ya Urusi kutua kwenye miji yao bali umaskini kwa ushoga wao wa kupeleka vifaa vyao mstari wa mbele ambavyo vinadunguliwa kimoja kimoja,
 
Ukraine itashinda tu kwenye Vyombo vya habari, Russia can't be defeated Huwa mnasikiliza sana vyombo vya habari vya magharibi.,........ Afghanistan mlienda kupiga vita Miaka 20 na mkashindwa saizi mmeenda Ukraine na mtashindwa tena!!!!!,,,,naona Mmejiandaa na Kwenda TAIWAN kuleta vita , bila shaka mtashindwa Tena
Afghanistan ni funzo kubwa kwa America na madhalimu wote. Kila kitu walichofanya kiliporomoka. walijenga makambi makubwa ya kijjeshi kwa pesa zao na kuingiza vifaa vya gharama vya kijeshi.Siku ilipofika wakakimbia na kumwachia adui yao.Pigo kubwa ni kuwa hata wale wanajeshi wa Afghanistan waliowapa mafunzo waligeuka kuwa askari wa Taliban. Kwa kifupi mwishowe shughuli zao za miaka yote hiyo ilibaki sifuri na wakapaona moto ikabidi watimue mbio.
 
Kwan Zele ameivamia Ukraine au Urusi ndo kaivamia Ukraine ? Hv unatumia akil gan kumlaumu aliyevamiwa ? Zele kaukuta huo mgogoro , unatumia akili za matackloni kumlaumu kwa mgogor kaukuta
Weee ni taira maana ningekuita mjingga ni kukupa credit
 
Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa.
Kuna watu wanadhani vita ni kama mchezo wa Hollywood na wanataka yapatikane mafanikio haraka.
Moja ya sababu alizosema zimepelekea hali hiyo ni kuwa eneo kubwa la zaidi ya kilomita za mraba 200,000 zimetegeshwa mabomu na Urusi na hayapitiki.Akaongeza kuwa kuna watu wanataka kulazimisha ushindi wa haraka.Nawaambia kwa heshima zote watulie na sisi tutaendelea na mapigano kwa namna zetu tunazoona zinafaa zaidi.
Katika malalamiko yake akihojiwa na shirika la BBC Zelensky ameulaumu umoja wa NATO kwamba wametia nguvu kujadili uanachama wao badala kuwapelekea ndege za

Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa.
Kuna watu wanadhani vita ni kama mchezo wa Hollywood na wanataka yapatikane mafanikio haraka.
Moja ya sababu alizosema zimepelekea hali hiyo ni kuwa eneo kubwa la zaidi ya kilomita za mraba 200,000 zimetegeshwa mabomu na Urusi na hayapitiki.Akaongeza kuwa kuna watu wanataka kulazimisha ushindi wa haraka.Nawaambia kwa heshima zote watulie na sisi tutaendelea na mapigano kwa namna zetu tunazoona zinafaa zaidi.
Katika malalamiko yake akihojiwa na shirika la BBC Zelensky ameulaumu umoja wa NATO kwamba wametia nguvu kujadili uanachama wao badala kuwapelekea ndege za F 16.
Urusi ni majoga sana kutegesha mabomu maana yake ni kwamba hawana jeshi la kutosha ku-hold maeneo lakini ni majoga sana., sasa wanavizia vizia
 
Ukraine itashinda tu kwenye Vyombo vya habari, Russia can't be defeated Huwa mnasikiliza sana vyombo vya habari vya magharibi.,........ Afghanistan mlienda kupiga vita Miaka 20 na mkashindwa saizi mmeenda Ukraine na mtashindwa tena!!!!!,,,,naona Mmejiandaa na Kwenda TAIWAN kuleta vita , bila shaka mtashindwa Tena
Tofauti Kati ya Aghanstan na Ukraine hujui kabisa
 
Mashujaa wa chechnyia wanasubir mission[emoji28]
IMG_20210820_140134.jpg
 
Kamanda wa Ukraine Jeshi la Ardhini: Vikosi vyaendelea kusonga mbele huko Bakhmut:
...
Kwa hiyo unabishana na rais wa Ukraine?
 
Counter offensive:
Wanajeshi wa Urusi wakimbia kwa kupaniki baada ya handaki lao kulipuliwa na drones za Ukraine:
....

Inachekesha kweli kweli. Haijulikani nani ni mrusi na nani ni mkruaine na pia ni nchi gani katika dunia.
 
Tofauti Kati ya Aghanstan na Ukraine hujui kabisa
Tunangalia mleta vita ni yule yule Unachoona Ukraine na Afghanistan ni kile kile, Kule Uarabuni, mlienda kubeba Mafuta mkaja kwa propaganda ya vita dhidi ya magaidi......na Ukraine mmenda kufanya biashara ya Silaha .kwa propaganda ya DEMOCRACY & FREEDOM of UKRAINE.....mmetaka Ulaya wapeleke silaha zao zote Ukraine ili waanze kuwaungisha nyie Silaha, Unafikiri Marekani na UK anauza SURA Ukraine jamaa yupo kima slahi zaidi tena kwa manufaa yake... .mpaka sasa Hivi Ukraine yote ipo Chini ya Marekani inabidi kulipia jamaa lazima wapewe Madini au mafuta hakuna cha Bure........anayepoteza kuliko wote ndiyo mjinga zaidi, Zelensky ameshakula kibunda cha marekani
 
Kamanda wa Ukraine Jeshi la Ardhini: Vikosi vyaendelea kusonga mbele huko Bakhmut:
...
Hii shughuli ya Bakhmut haikumalizika tu ?...🤔🤔
 
Matajiri wakubwa wa ngano wamefariki na wanamasumbwi pia.Iko siku wataanza kumjua mbaya wao. Ahadi hewa za matrilioni ya dola kila wiki yanawatia upumbavu kichwani.
Ila walivamiwa , yaan Idd Amin avamie Tz hlf tumlaumu Nyerere ? Hv mna akili nyiny

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom