Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Mwalimu yupi anadai mshahara?Mumelipa wakulima wa korosho? Na walimu je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu yupi anadai mshahara?Mumelipa wakulima wa korosho? Na walimu je?
wacha kufananisha malipo ya corosho na na elfu 7 za kenya.Mumelipa wakulima wa korosho? Na walimu je?
https://www.researchgate.net/public...cess_in_Public_Secondary_Schools_Coast_RegionMwalimu yupi anadai mshahara?
Lipeni wakulima na walimu. Na msisahau kulipa deni zenu pia. This time hamtasamehewa.wacha kufananisha malipo ya corosho na na elfu 7 za kenya.
hata hivyo GDP ya $60bln imeshawalipa wakulima. na haijawahi tokea mwalimu akadai pesa tz huwa wanagoma kwa kuomba nyongeza sio kuzimwa kwabisa.
[emoji38] [emoji38] wakulima na waalimu gani wanadai?Lipeni wakulima na walimu. Na msisahau kulipa deni zenu pia. This time hamtasamehewa.
https://www.researchgate.net/public...cess_in_Public_Secondary_Schools_Coast_Region[emoji38] [emoji38] wakulima na waalimu gani wanadai??
hizo deni sababu tunajua tunatakiwa kulipa ndio sababu tumepunguza kasi ya kukopa, unlike to you mnakopa kwa kasi sana sijui labda mnajua mtarudi ldc ili msamehewe???
Tanzania has high chance of going back to LDC than Somalia having a second civil war.[emoji38] [emoji38] wakulima na waalimu gani wanadai??
hizo deni sababu tunajua tunatakiwa kulipa ndio sababu tumepunguza kasi ya kukopa, unlike to you mnakopa kwa kasi sana sijui labda mnajua mtarudi ldc ili msamehewe???
hakuna madai ya mishahara kwa waalimu tz, achana na hizo link za kucheleweshewa malipo, ambayo huzidi siku tano mpaka mbili kutoka tarehe husika ya malipo.
Lipeni walimuhakuna madai ya mishahara kwa waalimu tz, achana na hizo link za kucheleweshewa malipo, ambayo huzidi siku tano mpaka mbili kutoka tarehe husika ya malipo.
only if going back to LDC was like uhuru to get drunk.Tanzania has high chance of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
Sijui ni kweli au ni makaratasi. Maana wakati uchumi mkubwa mkifa kwa njaa, corona, mafuriko, nzige na ukame, nchi mnayoizidi kwa karibu nusu hakuna njaa, hakuna nzige, umwagiliaji unaendelea na zaidi ya yote kuna dollars multi millionaires wengi kuliko hiyo nchi yenu. Sometime tufikirie angle hiyo pia
You treble Kenya na number of poor people.only if going back to LDC was like uhuru to get drunk.
tunawadouble no of millionaires na hata billionaire.
tuna miji inayokuwa kwa kasi zaidi ukanda huu,
tunawekeza zaidi ukanda huu. unakaa unaota kuhusu LDC[emoji38]
Hahahaha ni uchafu gani huu?
Yes. Kenya imewekeza sana hapa, ndio sababu saa hizi tunaamua tuwaendeshe tutakavyo.You treble Kenya na number of poor people.
Mna mji inyozaana kama paka ukanda huu lakini Kenya ina miji inayojengeka kwa kasi ukanda huu.
Kenya inawekeza zaidi Tanzania kuliko venye Tanzanian government inawekeza Tanzania.
Do you have another thing to add?
Tanzania has high chance of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
Eti wakulima, wameshindwa kulipa mkulima mmoja hadi ndege zao zakamatwa.Mumelipa wakulima wa korosho? Na walimu je?
😂😂😂😂 Bazenga leo unanibamba.Tanzania has high chance of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
Just like DRC You have a country blessed with abudant natural resources but the economy is mediocre at best. Atleast DRC had civil wars, what is Tanzania's excuse? There's only one logical answer, stupidity.Definition of Stupidity: Knowing the truth, seeing the truth, sometimes touching the truth, but still believing the lies. This is what Kenyans do. They believe in their big GDP but their problems which are facing are like the ones which Burundi, Malawi, Somalia, South Sudan etc face. They know this truth but they burry their heads under their huge paper based GDP.
Aha haa haaa no wonder in the eastern Afrika is only Kenya which yaps about GDP.
Huko kwenu habari hufanywa bila research? 😹😹Hahahaha ni uchafu gani huu?
Halafu mbona ipo kama ni research report? Sasa thesis ndio habari?
Leta vitu vinavyoeleweka basi.