Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

Mumelipa wakulima wa korosho? Na walimu je?
wacha kufananisha malipo ya corosho na na elfu 7 za kenya.

hata hivyo GDP ya $60bln imeshawalipa wakulima. na haijawahi tokea mwalimu akadai pesa tz huwa wanagoma kwa kuomba nyongeza sio kuzimwa kwabisa.
 
Lipeni wakulima na walimu. Na msisahau kulipa deni zenu pia. This time hamtasamehewa.
 
Lipeni wakulima na walimu. Na msisahau kulipa deni zenu pia. This time hamtasamehewa.
[emoji38] [emoji38] wakulima na waalimu gani wanadai?

hizo deni sababu tunajua tunatakiwa kulipa ndio sababu tumepunguza kasi ya kukopa, unlike to you mnakopa kwa kasi sana sijui labda mnajua mtarudi ldc ili msamehewe?
 
[emoji38] [emoji38] wakulima na waalimu gani wanadai??

hizo deni sababu tunajua tunatakiwa kulipa ndio sababu tumepunguza kasi ya kukopa, unlike to you mnakopa kwa kasi sana sijui labda mnajua mtarudi ldc ili msamehewe???
Tanzania has high chance of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
 
Tanzania has high chance of going back to LDC than Somalia having a second civil war.
only if going back to LDC was like uhuru to get drunk.

tunawadouble no of millionaires na hata billionaire.
tuna miji inayokuwa kwa kasi zaidi ukanda huu,
tunawekeza zaidi ukanda huu. unakaa unaota kuhusu LDC[emoji38]
 
Sijui ni kweli au ni makaratasi. Maana wakati uchumi mkubwa mkifa kwa njaa, corona, mafuriko, nzige na ukame, nchi mnayoizidi kwa karibu nusu hakuna njaa, hakuna nzige, umwagiliaji unaendelea na zaidi ya yote kuna dollars multi millionaires wengi kuliko hiyo nchi yenu. Sometime tufikirie angle hiyo pia
IMG_20200827_201624.jpg
 
only if going back to LDC was like uhuru to get drunk.

tunawadouble no of millionaires na hata billionaire.
tuna miji inayokuwa kwa kasi zaidi ukanda huu,
tunawekeza zaidi ukanda huu. unakaa unaota kuhusu LDC[emoji38]
You treble Kenya na number of poor people.

Mna mji inyozaana kama paka ukanda huu lakini Kenya ina miji inayojengeka kwa kasi ukanda huu. Kenya inawekeza zaidi Tanzania kuliko venye Tanzanian government inawekeza Tanzania.

Do you have another thing to add?
 
You treble Kenya na number of poor people.
Mna mji inyozaana kama paka ukanda huu lakini Kenya ina miji inayojengeka kwa kasi ukanda huu.
Kenya inawekeza zaidi Tanzania kuliko venye Tanzanian government inawekeza Tanzania.

Do you have another thing to add?
Yes. Kenya imewekeza sana hapa, ndio sababu saa hizi tunaamua tuwaendeshe tutakavyo.
 
Definition of Stupidity: Knowing the truth, seeing the truth, sometimes touching the truth, but still believing the lies. This is what Kenyans do. They believe in their big GDP but their problems which are facing are like the ones which Burundi, Malawi, Somalia, South Sudan etc face. They know this truth but they burry their heads under their huge paper based GDP.

Aha haa haaa no wonder in the eastern Afrika is only Kenya which yaps about GDP.
Just like DRC You have a country blessed with abudant natural resources but the economy is mediocre at best. Atleast DRC had civil wars, what is Tanzania's excuse? There's only one logical answer, stupidity.
 
Hahahaha ni uchafu gani huu?
Halafu mbona ipo kama ni research report? Sasa thesis ndio habari?

Leta vitu vinavyoeleweka basi.
Huko kwenu habari hufanywa bila research? 😹😹
 
Back
Top Bottom