Mkuu hivi bado sana.Matarajio ni vita vya Gaza navyo kuisha haraka
Hii itaisha tu soon maana Ukraine ni kama wamekubali kauli ya Us kuwa waache Crimea wapate amani au wakomae wapoteze nchi yote.Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya Ukraine na Urusi.
Kivipi mkuuKama ni hivyo basi Pakistan imeshinda hii vita
Pakistan kaomba mkopo wa dharura jana IMF na kapewa.Kama ni hivyo basi Pakistan imeshinda
Mimi ninachojua PAF wakitumia J-10CE wameziangusha Rafale za IAFPakistan kaomba mkopo wa dharura jana IMF na kapewa.
Wakianza vita hawamalizi mwezi Pakistan anakuwa defunct kiuchumi.
Na wakizubaa Pakistan inakoma kuwepo duniani, Balochistan kule waasi wamekaa chonjo na majimbo mengi tu wanataka wajitenge na hiyo nchi. Last time Pakistan inajitenga ni India waliisaidia Bangladesh ikiyokuwa East Pakistan ijitenge.
Kwani Hamas wanawajua kweli.Mkuu hivi bado sana.
Muisrael amepewa haki ya kutoa ulinzi wakati wa kugawa misaada ya kiutu. UNRWA wamepigwa chini na shule zao zimefungwa. Kazi wanapewa shirika jipya. Na Israeli amesema watakagua kila anaetaka msaada, hawataki hamas apate chakula.
Kinachopangwa hapo ni kibaya mkuu ndio maana jamaa kapewa haki ya ulinzi na sio UN.Kwani Hamas wanawajua kweli.
Vita vitapiganwa chini kwa chini mpaka Israel atainua mikono juu katika hili eneo.
India imeshambulia magaidi kwa kuvamia anga la Pakistan kwa ndege.Mimi ninachojua PAK wakitumia J-10CE wameziangusha Rafale za IAF.
Na PL-15 missiles zimekuwa game changer
We jamaa propaganda za wahindi zimekukamata na ku kuingia hasa hasa.Pakistan kaomba mkopo wa dharura jana IMF na kapewa.
Wakianza vita hawamalizi mwezi Pakistan anakuwa defunct kiuchumi.
Na wakizubaa Pakistan inakoma kuwepo duniani, Balochistan kule waasi wamekaa chonjo na majimbo mengi tu wanataka wajitenge na hiyo nchi. Last time Pakistan inajitenga ni India waliisaidia Bangladesh ikiyokuwa East Pakistan ijitenge.
Hapa nakuunga mkono Modi kashtuka Pakistan ya sasa sio ile ya zamani.Kuna kitu kikubwa Modi kakiona ambacho hakukitarajia.
Kwa moto alioanza nao haikutarajiwa kama angekubali kusitisha vita baada ya muda mfupi kiasi hiki.
Umeongea bonge la pointWakubwa wanogopa kuvuliwa nguo na Chinese technology
Mbona hizo missiles zilikuwa intercepted si umeona imedondokea barabarani?India imeshambulia magaidi kwa kuvamia anga la Pakistan kwa ndege.
India imeshambulia airbases mbili za Pakistan.
India imeshambulia bandari ya Karachi, Pakistan.
India imepiga air defense system vehicle moja ya Pakistan.
Pakistan wametangaza vifo vya maofisa wanne leo waliokuwa kwenye airbase hii iliyopigwa na India. Video hii
View: https://x.com/clashreport/status/1921160828759249281?t=w64uf47_wdGkCPSMZ7TnYQ&s=19
Pakistan imeshambulia aribases tatu za IndiaIndia imeshambulia airbases mbili za
Kwahiyo Balochistan hakuna separatists na hawashambulii wala kupigana na jeshi la Pakistan ndio unachomaanisha? Hii bendera unaijua?We jamaa propaganda za wahindi zimekukamata na ku kuingia hasa hasa.
1. Balouch wapo checkpointed na Iran, sio Pakistan wanaowatisha waasi wa Balouch bali Iran, kuna video zinasambaa za miaka ya nyuma tena feki naona ndio umeziona.
Source yako mwenyewe uliyoleta hata hujui kuisoma. Tarehe 9 May 2025 si ni jana hapo? Source yako inaonyesha walipewa mkopo jana, yani wanataka vita alafu wanakopa $1 billion, sasa utapiganaje na India kwa mkopo wa IMF😂2. Huo mkopo kwenye thread nyengine ushajibiwa ni wa mwaka jana na hio $1B ni part tu ya $7B watakayopewa na Imf bloomberg wameelezea hapa
Leta casualties na destruction tuone nani kafeli vita. Wewe leta destruction zilizofanyika India picha na video mimi naleta zilizofanyika Pakistan.3. Sio Pakistan alioanzisha vita na sio Pakistan aliomaliza vita, India wamesanda, Kuwa hacked satelite zako, kuwa hacked Email server zako, Coordinates zote za ndege kutolewa, zikadondoshwa zilizodondoshwa hadi Voice za baina ya Marubani na viongozi wao wa Jeshi kuwekwa hadharani, inshort India ni joker sasa hivi media za kimataifa si West wala si East ni kama China na West wanammock India sasa hivi.