Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

Mjuaji kama Kawaida yake Hupitwi
Huna Lolote
 
Pakistan imeshambulia aribases tatu za India
Leta video za zote tatu. Naleta za kwangu mbili nilizosema:

1. Rahim Yar Khan Air base, Pakistan. Kuna missile craters mpaka zianze kuwepo flights hapa ni mpaka wafulie mashimo otherwise ni kuvunja landing gears za ndege.

View: https://x.com/clashreport/status/1921160828759249281?t=LWX2EuQ_7nsUFEe8LfADuQ&s=19
2. Bholari Air base, Pakistan.

View: https://x.com/clashreport/status/1921147641548751289?t=Yw3aR1fpvCaIBDcXqDZy_g&s=19
Nyongeza:

View: https://x.com/clashreport/status/1921146673180410026?t=tD1RnMC9KOwe-0dhOvzVJw&s=19
Nyingine: Sargodia Aie base, Pakistan
 

View: https://x.com/clashreport/status/1920999232049193244?t=-Xw-kkpBmW3RA_cXiWQ7PA&s=19
 

View: https://x.com/clashreport/status/1921075799798538284?t=fVL5fBcjUGIWhV_E1Q-qEw&s=19
 
Huyo mpuuzi hamna haja ya kumjibu maana akili zake zipo makalioni na kichwani kajaza mavi... Hujamjua tu?
 
Indian military facility in Beas hit by Pakistan, destroying a storage facility for Brahmos missiles.

Your browser is not able to display this video.
 
Indian military facility in Beas hit by Pakistan, destroying a storage facility for Brahmos missiles.

View attachment 3330109
Hapa nilisema airbases tu, India imeshambulia 3 za Pakistan na 4 Airforce members wa Pakistan wameuwawa.

Tukienda kwenye facilities nyingine, India imeshambulia bandari ya Karachi na various other facilities.

Wakati huo Pakistan ikakimbilia IMF kukopa, sasa nani alitaka vitaa iishe kati ya anayejitegemea kiuchumi na anayekopa IMF. Tena mkopo wenyewe $1 billion.

Sijawahi sikia nchi inapokea baillout hapohapo inataka vita.
 
Ndio maana kila siku nasema Comprehension ni janga la Taifa,

Hakuna mtu anasema huo mkopo haujatolewa jana, Mkopo umeombwa toka Mwaka jana, has nothing to do na hio vita, wewe toka mwanzo una claim kama huo mkopo ni wa dharura wa Vita, wakati mkopo uliombwa toka mwaka jana na unakuja kidogo kidogo.

Balouchistan ipo katikati ya Iran na Pakistan eneo lao limegawanywa mara 3 kipande kipo Afghanistan, kipande Pakistan na Kipande Iran, siku zote linapokuja Suala la waasi wa Balouchistan Pakistan na Iran wana shirikiana even though hizo nchi hazina diplomasia nzuri, Balouch Stan ni kama wakurdi tu, wakifanya kitu popote wanachangiwa na nchi jirani.

Hakuna ushahidi wowote wanavamia ama hata wame raise jeshi zaidi ya propaganda za India Twitter ambazo unazimeza hivyo hivyo hadi kuvimbiwa na kutapika humu ndani.
 
Wahindi akili zimewakaa sawa walidhani hii vita ni kama movies za Bollywood za akina Sunny Deol
Afu kuna.mdosi hapa alisema target yao ni China nikamwambia nyie level yenu Bangladesh hata Pakistan mkimshinda basi mimi nipo dunia ingine sio hi tunayo ishi. India hana skills za kupigana. India ukiniambia kwa kupika paratha na dali hapo ningekuambia hamna wa kumshinda 🤣
 
Na vipi kuhusu Squadron leader wa Pakistan Airforce aliyefariki na wanajeshi wengine wanne wakiwa Air base. Nao walikuwa makonda barabarani
Lete picha za officials wa Pakistan waliouawa tuone

Hapa tunataka ushahidi wa picha na video

Haya sasa mimi nina picha za Raj Kumar Thappa Indian ADD Commissioner aliyeuawa na Pakistan

Fyekelea mbali wanywa mikojo na mavi ya ng'ombe



 
Huyo jamaa ni mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…