Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

Indian military facility in Beas hit by Pakistan, destroying a storage facility for Brahmos missiles.

View attachment 3330109
India anapiga bara bara sijui misikiti na vitu ambavyo havina maana yoyote, mwenzake kaenda kupiga storage ya makombora, yeye yeye alioanzisha vita sasa hivi anasema hataki escalation,
 
India anapiga bara bara sijui misikiti na vitu ambavyo havina maana yoyote, mwenzake kaenda kupiga storage ya makombora, yeye yeye alioanzisha vita sasa hivi anasema hataki escalation,
Na hii ni moja ya sababu ya India kukubali yaishe baada ya missiles za Pakistan kushambulia storage ya missiles bora za India BrahMos alizokuwa anatumia kushambulia Pakistan kutokea India
 
Nakubaliana nawe level za India ni Bangladesh na Sri Lanka au labda na Nepal🤣
 
Hata India nao hawana uchumi wa kusifiwa kiasi hicho .Watu wake wasingeishi maisha ya umaskini wa kutupwa.
Muhimu zaidi ni kuwa hicho kipigo kilichopata India kimefanyika hata hakujatoka mkopo.
 
Dunia ina vituko sana hii. Kina trump na washirika wao wanaindesha watakavyo. Hebu trump aseme neno sudan na dr congo, au hazijui hizo nchi?
 
Unaichukulia poa Pakistan.
Huo mkopo ulishaombwa kabla ya vita, hii vita umeukuta mkopo bado uko kwwnye process. Wala siyo mkopo wa dharula kama unavyotaka kutuaminisha

Pia, Hawa wahindi jana si mfumo wao wa umeme uliingiliwa na Pakistan na kusababisha 70% ya India kukosa umeme kwa masaa ya kutosha?
 
Acha uongo wewe.
Tizama Al Jazeera sasa hivi uone majengo ya Kashmir upande wa India yalivyoharibika na kulipuka.
Na hayo maeneo uliyotaja hapo juu hayajashambuliwa ACHA UONGO nimetoka kutizama habari sasa hivi.
Al Jazeera wametangaza dozens of indians wamekufa tangu Jana Pakistan ishambulie kwa drones and missiles upande wa Indian Kashmir.
India imepata vifo na majeruhi na mitaa imeharibika kuliko Pakistan.
Pia huo mkopo sio wa mwaka huu.
 
Kinachopangwa hapo ni kibaya mkuu ndio maana jamaa kapewa haki ya ulinzi na sio UN.
Kuna habari trump atatangaza kuitambua palestine huko saudia, netanyahu kaleta usnich
 

Attachments

  • Screenshot_2025-05-09-16-35-06-303.jpg
    350.4 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…