Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Tuondolee udini wako.Tunajua Iddy Amini na Libya-Gadafi walikuwa agenda zao za kiislam ambazo kwa leo hatuna haja nazo.

Kama alivyokuwa nazo Nyerere na Ukatoliki wake ??
 
Ni kweli kwenye Geopolitics ya Nyerere hakikuwepo kwani tokea day one hakumtambua Amin. Pili vipi kule Biafra , Nigeria nako alikuwa na Geopolitics ya kuwasaidia Wakatoliki wenzake ??
 
Chokochoko ni kawaida kwenye masuala ya mahusiano ya nchi, wiki iliyopita hata hivi sasa tuna chokochoko na Kenya. Kwahiyo Idi Amin baada ya ChokoChoko ndio akaamua kutuvamia?

Choko choko ni kawaida kwa wanaopigania ukatoliki ?? Kama unavamiwa siku zote na vikundi vya ugaidi utafanya kitu gani ??

Kwa Nyerere alishazoea kuvamia aliona labda Uganda ni kama Zanzibar
 
Ni kweli kwenye Geopolitics ya Nyerere hakikuwepo kwani tokea day one hakumtambua Amin. Pili vipi kule Biafra , Nigeria nako alikuwa na Geopolitics ya kuwasaidia Wakatoliki wenzake ??
Katika kutomtambua Idi Amin alikuwa peke yake? Kwani Idi Amin alichaguliwa?

Nyerere alikuwa Pan Africanist. Geopolitics hazikuishia tu hapa East Africa. Mbona unasema tu Biafra, vipi kuhusu Zimbabwe, Afrika Kusini, Namibia, DRC na Mozambique, wote walikuwa wakatoliki wenzake?
 
Choko choko ni kawaida kwa wanaopigania ukatoliki ?? Kama unavamiwa siku zote na vikundi vya ugaidi utafanya kitu gani ??

Kwa Nyerere alishazoea kuvamia aliona labda Uganda ni kama Zanzibar

Chokochoko ni kawaida, mambo haya yanatokea hata leo Between DRC and Rwanda, Uganda and DRC. Tatizo lako, unaona dini kwenye kila alichofanya Nyerere.

Kuhusu kuvamia Uganda; sijui unayatoa wapi. Uganda ndio ilivamia Tanzania, sijui hili la Tanzania kuvamia Uganda limetoka wapi.
 
Biafra kwani haikuwa jirani kunakofuka moto??
 
Soma vizuri nimeandika kitu gani. Kuna mahali nimesema Uganda haijaivamia Tanganyika?
 
Kwenye article niliyosoma mimi inasema walikuwepo na Mozambique ndiyo waliutupa Surface to Air missiles waliyokuwa wamepewa na Soviet ilihamishiwa TZ kukabiliana na jeshi la anga la amini lilikuwa linasumbua.
 
Vitabu vya kanisa hivyo vinaeleza kila kitu

Biafra kwani haikuwa jirani kunakofuka moto??
What's your point? Umeulizia kuhusu Biafra, nikakwambia involvement ya Mwalimu haikuishia Bifra tu. Mbona unaona Biafra tu, vipi kuhusu Afrika Kusini, Zimbabwe na Mozambique nako ni ukatoliki ulikuwa unamsukuma?
 
Ulisema nyumba ya jirani yako ikiwaka moto wewe utatulia tu? Ndio nikakuuliza Biafra nako kwa wakatoliki wenzake ni jirani?
 
Umesikiliza au joto limeanza kukupanda?
Wanarudia story zile zile za Marehemu Sheikh Ilunga. Nimesikiliza sana tu. Na watu wa mtazamo wako hata shule nimesoma nao, mwisho wa siku ukiwachimba sana hamna facts ni hisia tu na opinions.
 
Kwahiyo mkuu ulitaka watu wasife huko vitani?
 
Wanarudia story zile zile za Marehemu Sheikh Ilunga. Nimesikiliza sana tu. Na watu wa mtazamo wako hata shule nimesoma nao, mwisho wa siku ukiwachimba sana hamna facts ni hisia tu na opinions.

SORRY ,Ni vitabu vya kanisa ndio vimeandika . USIWAFOKEE WATU WENGINE KAWAFOKEE WALIOANDIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…