Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tuondolee udini wako.Tunajua Iddy Amini na Libya-Gadafi walikuwa agenda zao za kiislam ambazo kwa leo hatuna haja nazo.
Kama alivyokuwa nazo Nyerere na Ukatoliki wake ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuondolee udini wako.Tunajua Iddy Amini na Libya-Gadafi walikuwa agenda zao za kiislam ambazo kwa leo hatuna haja nazo.
Hicho unachoita "Kuwachilia Waganda" kwenye GeoPolitics hakipo, nyumba ya jirani ikiwa inawaka moto; na wewe ukajifanya haukuhusu, utakuja kushangaa umehamia kwako. Wewe unadhani hata wao hawajali kuhusu yanaondelea Tanzania? Tatizo ni pale unapoenda kuvamia nchi nyingine.
On point ya Idi Amin kutovamia nchi nyingine, kasome; mwaka 1976 alitishia kuvamia Kenya, na upumbavu huu huu wa kusema kuna kipande cha Kenya ni cha Uganda.
Chokochoko ni kawaida kwenye masuala ya mahusiano ya nchi, wiki iliyopita hata hivi sasa tuna chokochoko na Kenya. Kwahiyo Idi Amin baada ya ChokoChoko ndio akaamua kutuvamia?
Katika kutomtambua Idi Amin alikuwa peke yake? Kwani Idi Amin alichaguliwa?Ni kweli kwenye Geopolitics ya Nyerere hakikuwepo kwani tokea day one hakumtambua Amin. Pili vipi kule Biafra , Nigeria nako alikuwa na Geopolitics ya kuwasaidia Wakatoliki wenzake ??
Choko choko ni kawaida kwa wanaopigania ukatoliki ?? Kama unavamiwa siku zote na vikundi vya ugaidi utafanya kitu gani ??
Kwa Nyerere alishazoea kuvamia aliona labda Uganda ni kama Zanzibar
Biafra kwani haikuwa jirani kunakofuka moto??Katika kutomtambua Idi Amin alikuwa peke yake? Kwani Idi Amin alichaguliwa?
Nyerere alikuwa Pan Africanist. Geopolitics hazikuishia tu hapa East Africa. Mbona unasema tu Biafra, vipi kuhusu Zimbabwe, Afrika Kusini, Namibia, DRC na Mozambique, wote walikuwa wakatoliki wenzake?
Soma vizuri nimeandika kitu gani. Kuna mahali nimesema Uganda haijaivamia Tanganyika?Chokochoko ni kawaida, mambo haya yanatokea hata leo Between DRC and Rwanda, Uganda and DRC. Tatizo lako, unaona dini kwenye kila alichofanya Nyerere.
Kuhusu kuvamia Uganda; sijui unayatoa wapi. Uganda ndio ilivamia Tanzania, sijui hili la Tanzania kuvamia Uganda limetoka wapi.
Kwenye article niliyosoma mimi inasema walikuwepo na Mozambique ndiyo waliutupa Surface to Air missiles waliyokuwa wamepewa na Soviet ilihamishiwa TZ kukabiliana na jeshi la anga la amini lilikuwa linasumbua.Yaliyodnikwa kwenye article uliyokwoti hapa yana sehemu kubwa kupikwa tu, kwa mfano ni kuwa kati ya jambo ambalo Nyerere aliilaumu sana OAU ni kule kushindwa kumkemea Amin; Nyerere alilalamaika sana kwa nini OAU wasimkemee tu. Halafu hilo la msumbiji kama nilivyosema hapo juu sina uhakika nalo, kwani halikuwa kwenye circles za mimi kujua labda kama Echolima aliyekuwa frontline analijua, mimi sikuwa frontline. Ila vile vile inawezekana ni vivyo hivyo taarifa za kupikwa tu. Baada ya mobilization ya Mgambo, Polisi, Magereza na JKT; jeshi letu lilikuwa kubwa sana karibu mara mbili ya jeshi Uganda ndiyo maana nina wasiwasi sana kuhusu kupata msaada wa Askari kutoka Musumbiji. Labda wanazungumza askari wa Tanzania waliokuwa Musumbiji wakati huo walirudishwa nyumbani; lakini bado niko open. Kuna general mmoja wa Amini wakati huo baada ya vita aliwahi kuhojiwa na kunyesha jinsi Jeshi la Tanzania lilivyopanuka kwa muda mfupi sana kulingana na Intelligene walizokuwa wanapata. Siku nikiipata tena article ya interview hiyo nitaileta hapa
![]()
Be careful na maneno, so Tanganyika kujibu uvamizi, nayo unaita uvamizi?Soma vizuri nimeandika kitu gani. Kuna mahali nimesema Uganda haijaivamia Tanganyika?
Katika kutomtambua Idi Amin alikuwa peke yake? Kwani Idi Amin alichaguliwa?
Nyerere alikuwa Pan Africanist. Geopolitics hazikuishia tu hapa East Africa. Mbona unasema tu Biafra, vipi kuhusu Zimbabwe, Afrika Kusini, Namibia, DRC na Mozambique, wote walikuwa wakatoliki wenzake?
What's your point? Umeulizia kuhusu Biafra, nikakwambia involvement ya Mwalimu haikuishia Bifra tu. Mbona unaona Biafra tu, vipi kuhusu Afrika Kusini, Zimbabwe na Mozambique nako ni ukatoliki ulikuwa unamsukuma?Biafra kwani haikuwa jirani kunakofuka moto??
Be careful na maneno, so Tanganyika kujibu uvamizi, nayo unaita uvamizi?
Vitabu vya kanisa hivyo vinaeleza kila kitu
Ulisema nyumba ya jirani yako ikiwaka moto wewe utatulia tu? Ndio nikakuuliza Biafra nako kwa wakatoliki wenzake ni jirani?What's your point? Umeulizia kuhusu Biafra, nikakwambia involvement ya Mwalimu haikuishia Bifra tu. Mbona unaona Biafra tu, vipi kuhusu Afrika Kusini, Zimbabwe na Mozambique nako ni ukatoliki ulikuwa unamsukuma?
So wewe ulikuwa unataka Nyerere afanyaje baada ya Idi Amin kuingia Kagera?Kusaidia wapinzani ambao ni magaidi unaita nani?
Umesikiliza au joto limeanza kukupanda?Mtu akishaanza kuwaita watu wengine majina yasiyo na staha, unajua kabisa anasukumwa na hisia sio reasoning.
Wanarudia story zile zile za Marehemu Sheikh Ilunga. Nimesikiliza sana tu. Na watu wa mtazamo wako hata shule nimesoma nao, mwisho wa siku ukiwachimba sana hamna facts ni hisia tu na opinions.Umesikiliza au joto limeanza kukupanda?
Kwa taarifa yako majeshi ya Uganda yalikuwa vizuri sana kabla ya uasi.
Vita ilipoanza tulipoteza wanajeshi wengi mno japo taarifa zilifichwa, binamu yangu amepigana na amesimulia mengi mno ambayo serikali haikuweka na haitaweka wazi.
Hivyo unaposema kwani tulizunguka, unafikiri hao jamaa walikuwa dhaifu kiasi hicho?
Vita ina mbinu nyingi, moja wapo ni kumzunguka adui wakati yeye anapambana na wale waliom face... ghafla snashangaa anashambuliwa eneo ambalo asikutegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanarudia story zile zile za Marehemu Sheikh Ilunga. Nimesikiliza sana tu. Na watu wa mtazamo wako hata shule nimesoma nao, mwisho wa siku ukiwachimba sana hamna facts ni hisia tu na opinions.
Wewe unataka watu wafe?Kwahiyo mkuu ulitaka watu wasife huko vitani?