Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

SORRY ,Ni vitabu vya kanisa ndio vimeandika . USIWAFOKEE WATU WENGINE KAWAFOKEE WALIOANDIKA
Sina tatizo na maoni yao, wana haki ya kutoa maoni yao. Tatizo ni watu wanaojaribu kuunganisha maoni yao na matukio bila ushahidi
 
Kwenye article niliyosoma mimi inasema walikuwepo na Mozambique ndiyo waliutupa Surface to Air missiles waliyokuwa wamepewa na Soviet ilihamishiwa TZ kukabiliana na jeshi la anga la amini lilikuwa linasumbua.
Siyo kweli; Mozambique ilikuwa na miaka mitano tu ya Uhuru na ilikuwa na matatizo yake ya ndani dhidi ya RENAMO.
 
Sina tatizo na maoni yao, wana haki ya kutoa maoni yao. Tatizo ni watu wanaojaribu kuunganisha maoni yao na matukio bila ushahidi

Kwani ni maoni? Kumbe hujasikiliza au unajaribu kupindisha ukweli
 

Mkuu, bila shaka.

Marehemu Kombe alipokuwa uraiani alikuwa kama mtu wa kawaida sana.

Hata mzee Faki pia ila hawa mzee Makunda walikuwa wanaheshimika sana jeshini na hata baada ya kustaafu.

Ila mtu kama wewe unatakiwa utengeneze documentaries za kuwakumbusha vijana wa leo historia hii muhimu na pia kuwaelimisha wengine ambao hawaelewi hii madini.
 
What's your point? Umeulizia kuhusu Biafra, nikakwambia involvement ya Mwalimu haikuishia Bifra tu. Mbona unaona Biafra tu, vipi kuhusu Afrika Kusini, Zimbabwe na Mozambique nako ni ukatoliki ulikuwa unamsukuma?
Usisahau pia usheli sheli.
 
Hiyo ya Lule kuwa Muslim siyo kweli; alikuwa muanglikana. Jamaa yule naye alikuwa na sifa nyingine ya ufuska sana ingawa hii inafichwa mno; ukitaka kujua zaidi kuhusu maisha ya Lule wasiliana na binti yake Liliane Waldner aliyezaliwa nje ya ndoa na mama wa kiswiss. Hata mke wake aliyefunga naye ndoa rasmi alikuwa ni mwanafunzi wake wakati yeye akiwa mwalimu na kuna sababu iliyopelekea wafunge ndoa officially kusudi isilete songombingo. Kuna vitu vingine havifai kuandikwa kuhusu watu waliokiwsha tangulia mbele ya haki kwa vile hawawezi kujitetea tena.
 

Hizi hadithi zilikuja baada ya kuondoshwa madarakani na Nyerere? Walipomweka kiongozi hakuyafanya hayo,?

Give a dog bad name
 
Huyu jamaa school of thought yake naifahamu. Wao motivation wanayoiona ni dini tu.

Motivation gani nimeifanya zaidi ya kuwaonyesha vitabu vya kanisa vinavyothibitisha. Gavana si kiongozi wa kanisa aliyemsimika Nyerere na kuandika kitabu
 
Vita hiyo tulipoteza sana kuliko faida tuliyopata Watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa ni kinga kwa ajili ya gonjwa kubwa la ajabu ambalo lingekuja kutupata huko mbele, na ambalo tayari lilikuwa limeshaonyesha dalili zote. Kinga ni bora kuliko tiba. Hivi hujawahi kuiona picha ya Idd Amin akiongea live kuwa alikuwa na mpango wa kusafisha kuanzia Kagera mpaka Darislama? We acha tu
 
Ongezea tena na tetemeko la Kagera juzi Septemba 10, 2016 lilimaliza watu na kuacha mitaro mikubwa kwenye ardhi! Sasa hivi tena ziwa Victoria limefurika na kumeza sehemu kubwa ya makazi ya watu wa Bukoba mjini. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo awalinde sana hawa watu!
 
Huo mnaosema mchele wa Thailand ndio huo tuliokuwa tukiita Buluga? Wahenga nifahamisheni ili nami nichangie mada
Kumbe mzee na wewe kipindi hicho ulikuwa macho? Mjomba wangu mimi kipindi hicho alikuwa ansoma Bukoba Sekondari, Form II 1978. Walikuwa wanakimbia shule wanaenda kujificha kwenye migomba ya ndizi
 
Hizi hadithi zilikuja baada ya kuondoshwa madarakani na Nyerere? Walipomweka kiongozi hakuyafanya hayo,?

Give a dog bad name

Labda tuache kabisa habaria za maisha yake ya binafsi; ila ni kuwa alikuwa Anglican. Ili kuthibitisha dini yake ongea na binti yake Lilliane; haongei kiingereza vizuri lakini mawasiliano yanakwenda tu.
 
Sijamuona MTI MKAVU Mayunga hapa, alikuwa wapi siku hiyo? Na kwa nini walimwita mti mkavu?
 
Kweli Nyerere was for Afrika. Angekuwa mtu mwingine asingejali, watajijua wenyewe!
 
Labda tuache tabisa za maisha yake ya binafsi; ila ni kuwa alikuwa Anglican. Ila kuthibitisha dini yake ongea na binti yake Lilliane; haongei kiingereza vizuri lakini mawasiliano yanakwenda tu.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…