Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Hakika huu ni uzalendo kaka. Aibu ya familia haipaswi kuwekwa hadharanikwanini tuyaandike na kuyaanika mabaya yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika huu ni uzalendo kaka. Aibu ya familia haipaswi kuwekwa hadharanikwanini tuyaandike na kuyaanika mabaya yetu?
Sina tatizo na maoni yao, wana haki ya kutoa maoni yao. Tatizo ni watu wanaojaribu kuunganisha maoni yao na matukio bila ushahidiSORRY ,Ni vitabu vya kanisa ndio vimeandika . USIWAFOKEE WATU WENGINE KAWAFOKEE WALIOANDIKA
Siyo kweli; Mozambique ilikuwa na miaka mitano tu ya Uhuru na ilikuwa na matatizo yake ya ndani dhidi ya RENAMO.Kwenye article niliyosoma mimi inasema walikuwepo na Mozambique ndiyo waliutupa Surface to Air missiles waliyokuwa wamepewa na Soviet ilihamishiwa TZ kukabiliana na jeshi la anga la amini lilikuwa linasumbua.
Wazazi wako lazima watakuwa waarabu tuliowafukuzaZanzibar ndiyo mhanga mkubwa wa huyu Laanutullahi Nyerere kwenye hii vita
Sina tatizo na maoni yao, wana haki ya kutoa maoni yao. Tatizo ni watu wanaojaribu kuunganisha maoni yao na matukio bila ushahidi
.
Umewasahahu Imran Kombe, Romwald Makunda na Ramadhani Haji Faki (huyu huwa anasahaulika sana kwenye kumbukumbu lakini aliongoza brigade moja frontline).
Kuhusu askari wa msumbiji kweli sina uhakika labda ilifanywa siri sana sisi maprivate hatukuweza kuijua. Ila ninachouliza ni kuwa mbona hakuna hata medali moja ya kumbukumbu iliyotolewa kwa Msumbiji, na wala hakuna hata kaburi la kumbukumbu labda kama hawakufa, lakini angalau medali zingetolewa. Nina uhakika mkubwa sana waliokuwa frontline ilikuwa ni watanzania tu, ndani ya Brigade na division ambazo zilikuwa zinaongozwa na hao makamanda uliotaja. Wakati mwingine watu walikuwa wanatengeza taarifa kutokea mitaani tu. Inawezekana walitusaidia pesa za kununulia silaha au walitugawia sehemu fulani ya silaha ingawa nao walikuwa bado ni Taifa changa lenye umri wa miaka mitano tu.
Wazazi wako lazima watakuwa waarabu tuliowafukuza
Usisahau pia usheli sheli.What's your point? Umeulizia kuhusu Biafra, nikakwambia involvement ya Mwalimu haikuishia Bifra tu. Mbona unaona Biafra tu, vipi kuhusu Afrika Kusini, Zimbabwe na Mozambique nako ni ukatoliki ulikuwa unamsukuma?
Huyu jamaa school of thought yake naifahamu. Wao motivation wanayoiona ni dini tu.Usisahau pia usheli sheli.
Hiyo ya Lule kuwa Muslim siyo kweli; alikuwa muanglikana. Jamaa yule naye alikuwa na sifa nyingine ya ufuska sana ingawa hii inafichwa mno; ukitaka kujua zaidi kuhusu maisha ya Lule wasiliana na binti yake Liliane Waldner aliyezaliwa nje ya ndoa na mama wa kiswiss. Hata mke wake aliyefunga naye ndoa rasmi alikuwa ni mwanafunzi wake wakati yeye akiwa mwalimu na kuna sababu iliyopelekea wafunge ndoa officially kusudi isilete songombingo. Kuna vitu vingine havifai kuandikwa kuhusu watu waliokiwsha tangulia mbele ya haki kwa vile hawawezi kujitetea tena.Soma hii
When Idi Amin, a Ugandan Muslim, became president in 1971, his presidency seemed to be a victory for Uganda's Muslim community. Then in 1972, Amin's expulsion of Asians from Uganda reduced the Muslim population significantly. As his administration deteriorated into a brutal and unsuccessful regime, Uganda's Muslims began to distance themselves from those in power.
After Amin's overthrow in 1979, Muslims became the victims of the backlash that was directed primarily against the Kakwa and Nubian ethnic groups who had supported Amin.
Yusuf Lule, who served a brief term as president from 1979 to 1980, was also a Muslim (and a Muganda). He was not a skillful politician, but he was successful in reducing the public stigma attached to Islam.
Source
Islam in Uganda - Wikipedia
Hiyo ya Lule kuwa Muslim siyo kweli; alikuwa muanglikana. Jamaa yule naye alikuwa na sifa nyingine ya ufuska sana ingawa hii inafichwa mno; ukitaka kujua zaidi kuhusu maisha ya Lule wasiliana na binti yake Liliane Waldner aliyezaliwa nje ya ndoa na mama wa kiswiss. Hata mke wake aliyefunga naye ndoa rasmi alikuwa ni mwanafunzi wake wakati yeye akiwa mwalimu na kuna sababu iliyopelekea wafunge ndoa officially kusudi isilete songombingo. Kuna vitu vingine havifai kuandikwa kuhusu watu waliokiwsha tangulia mbele ya haki kwa vile hawawezi kujitetea tena.
Huyu jamaa school of thought yake naifahamu. Wao motivation wanayoiona ni dini tu.
Hiyo ilikuwa ni kinga kwa ajili ya gonjwa kubwa la ajabu ambalo lingekuja kutupata huko mbele, na ambalo tayari lilikuwa limeshaonyesha dalili zote. Kinga ni bora kuliko tiba. Hivi hujawahi kuiona picha ya Idd Amin akiongea live kuwa alikuwa na mpango wa kusafisha kuanzia Kagera mpaka Darislama? We acha tu
Ongezea tena na tetemeko la Kagera juzi Septemba 10, 2016 lilimaliza watu na kuacha mitaro mikubwa kwenye ardhi! Sasa hivi tena ziwa Victoria limefurika na kumeza sehemu kubwa ya makazi ya watu wa Bukoba mjini. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo awalinde sana hawa watu!Ila wahaya ni wakuwaonea huruma sana, Ukimwi ulipoingia uliwafyeka sana wao na Vita ya Kagera iliwamaliza sana.... haiyumkini leo hii hili ndio lingekuwa kabila kubwa na lenye nguvu nchini hasa kwa idadi ya watu.... pia Mji wa Bukoba ungekuwa Jiji pengine.... Mungu awape nguvu wahaya na makabila yote wazawa wa Bukoba
Kumbe mzee na wewe kipindi hicho ulikuwa macho? Mjomba wangu mimi kipindi hicho alikuwa ansoma Bukoba Sekondari, Form II 1978. Walikuwa wanakimbia shule wanaenda kujificha kwenye migomba ya ndiziHuo mnaosema mchele wa Thailand ndio huo tuliokuwa tukiita Buluga? Wahenga nifahamisheni ili nami nichangie mada
Hizi hadithi zilikuja baada ya kuondoshwa madarakani na Nyerere? Walipomweka kiongozi hakuyafanya hayo,?
Give a dog bad name
Tactician mkubwa wa JWTZ alikuwa ni Kanali Kitete (Siyo Lupogo) kabla hajawa Brigadier. Jamaa yule anajua kupanga vita siyo mchezo, sijui kama bado JWTZ leo hii ina tacticians kama yeye. Jamaa alichambua kuwa Amini alikuwa ameweka ulinzi mkubwa sana directly kwenye mpaka wa Tanzania (backed by heavily Mechanized Simba Batallion), ila hakuwa na ulinzi kule Magharibi kwa nsababu alikuwa na uhusiano mzuri sana na Mobutu wakati huo (mpaka leo Kampala kuna mtaa una jina la Mobutu liliowekwa na Amini). Kamanda akachambua ramani na kuweka mkakati uliomfuta Amin kwenye ramani kwa kutokea Magharibi ya Uganda.
Kwenye video hii hapa chini huwa napenda sana kile kipande kuanzia 1:04 hadi 1:34 kinachoonyesha makamanda wetu shujaa.
Kweli Nyerere was for Afrika. Angekuwa mtu mwingine asingejali, watajijua wenyewe!Uongo huo;
Kwanza elewa kuwa Professor Lule aliwekwa pale na Nyerere akiamini kuwa atawaunganisha waganda. Failure kubwa ya Professor Lure (hakuwa na PhD) ni pale aliposhindwa kujiweka katika maisha ya waganda na kushindwa kutuliza matakwa ya upkeeping cost ya cabinet yake. Hapo ndipo alipotofautiana na Nyerere mpaka mwisho
ThanksLabda tuache tabisa za maisha yake ya binafsi; ila ni kuwa alikuwa Anglican. Ila kuthibitisha dini yake ongea na binti yake Lilliane; haongei kiingereza vizuri lakini mawasiliano yanakwenda tu.
Mayunga ameshatajwa huko nyuma ukipitia posts mbalimbali utamkuta. Yeye alikuwa ni Brigade Commander tayari na nadhani brigade yake ndiyo iliyo wasafisha askari wa Uganda kutoka pale Mutukula na Mbarara.Sijamuona MTI MKAVU Mayunga hapa, alikuwa wapi siku hiyo? Na kwa nini walimwita mti mkavu?