Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Mkuu
Inaonekana uko vzr sana.
Hoja zako zina mashiko.
 
We nae huwezi kufikiri vzr.
Kwa akili za amini unadhani asingerudi tena.
 
Vita ilitutia hasara ya kiuchumi hadi kesho. Kenya wakatumia gape hilo kuwa Financial Hub of East Africa. Fucck!!
 
Hivi tulikuwa na haki kuitwa jeshi la ukombozi?
Tuliitwa kwenda kumkomboa nani?
Hivi vita vilibeba propaganda nyingi zaidi ya uhalisia wake.

Ipo siku ukweli utasemwa.
 
Nikuulize swali mkuu. Uliona wapi nchi inapigana vita, alafu uchumi wake unapanda au unabaki vile vile bila kutikisika. Hata America is better off baada ya kujitoa Afghanistan.
 
Allah amlaze mahala pema peponi ndugu yetu Idi amin, bila kumsahau Ndugu yetu na kipenzi cha waafrika kwa ujumla Muammar Gaddafi, Allah amlaze mahala pema peponi!
Waafrika wapi hao? Unatuchanganya na Upuuzi wa watu kadhaa ....
 
Huu uzi ulikuwa mzuri kabla ya watoto wa miaka ya 2000s kuingilia. Before that watu wenye akili walikuwa wanatoa madini mujarab kabisa. Kichuguu tafadhali usisite kuandika kitabu. Ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa kizazi hiki.

Elimu ya miaka hii imeharibu vijana wamekuwa na mawazo ya kishoga. Hawana uzalendo kabisa. Uwezo wao wa kufikiri umenajisiwa hawawezi jenga hoja. Wanaendeshwa na mihemko ya kisiasa,kidini na kimizuka.

Nimekusoma vizuri toka mwanzo nimeshindwa hata elewa dini yako au chama chako. Umeandika kama mtanzania zaidi kuliko mwanachama au mwanadini flani.

Inaonesha umepata malezi mema na elimu ya kufaa hongera sana mzee mwenzangu (ingawa najua umenizidi umri pia) nami nina uzee wangu kiasi flani kiumri.
 
Vyanzo vya kimataifa vinasema tulipoteza 5000
 
Inakushangaza!!?..kipindi hicho watu wakibebwa mitaani kupelekwa jeshini
Wacha hadithi za kusimuliwa na watu waliosimuliwa pia. Nimeshaandika humu kwa kirefu sana kuhusu vita hiyo hivyo hakuna haja ya kuanza kujibizana na mtu anayekuja hapa na hadithi za kusimuliwa wakati mimi mwenyewe nilikuwamo ndani. Eti watu wakibwebwa mitaani kwenda jeshini? Unazungumuza kwa akili timamu kweli na kwa nia ya kufahamishana ukweli au unataka na wewe uchangie?
 
Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?

Soma vizuri historia ya Vita ya Kagera.
Majeshi yetu katu hayakuingia Sudan, ila baada ya kuteka yalifika mpaka Arua, kijijini kwa Idi Amin.
 
Mkuu vingine humu ni vitoto vinavyonuka mikojo.
Hawaelewi chochote juu ya Vita ya Kagera.
 
Eti binamu yako alikuwepo, je akija mwingine akatoa maelezo mengine, akasema Babayake alikuwepo, utabafilisha unachoamini sasa hivi, maana Baba ni mtu wa karibu kuliko binamu.
 
Wewe mwenye bundle

Kwa nini wewe ushindwe kumuandikia na kumpigia simu akupe hiyo context uliyoitaja ???au huna context unafoka na kumwaga povu tu ??
Ashakum si matusi; ila wazungu walisema "an empty container/debe makes the most noise"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…