Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Wewe kweli Muhunga, Shikamooo...
 
Vita ilitutia hasara ya kiuchumi hadi kesho. Kenya wakatumia gape hilo kuwa Financial Hub of East Africa. Fucck!!

Umesoma kwa kiwango gani cha Elimu?

So ulitaka tumuachie Kagera Iddi Amini?

Unajua kuwa Kagera Kuna Nickel ambayo ni inaweza kutumika Kwa miaka 30 bila nchi yoyote kuuza na tukatosheleza mahitaji ya Dunia?, think in bigger picture.

Practically hakuna tofauti ya Uchumi wa Kenya na Tanzania kwa wanachi wao, tena kama unaamini vita iliturudisha nyuma basi uchumi wa Kenya ulipaswa uwe kama wa South Africa.
 
Waliopigana vita hawavijui kama sisi tuaosikiliza the story book tukiwa kwenye mabasi ya kwenda kuwasalumu hao bibi na babu ( war veterans huko mikoani)
 
Vita ilitutia hasara ya kiuchumi hadi kesho. Kenya wakatumia gape hilo kuwa Financial Hub of East Africa. Fucck!!
Kuna vita inayokuja na faida..? Ukitaka kagera iwe sehemu ya uganda..? 🤓🤓🤓
 
Vita hiyo tulipoteza sana kuliko faida tuliyopata Watanzania.
Hili lilikuwa kaburi refu la uchumi wetu hadi leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita si kitu kizuri hata kidogo. Mpaka tukielewa athari za vita zikoje, tayari tushaumia. Angalia leo Ukraine anavyotupa maisha magumu mpaka sisi ambao hatuna lolote kwenye vita vyao!!!
 
Tusingepigana na Uganda, leo hii tungelikua "Economic Hub" of East and Central Africa.

Fucck Nyerere!
Fick mlolongo too!!...ilitupasa ili kulinda heshima yetu ndo maana joga wewe!
 
Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?

War is not a walk in the park,sio kama kwenda mlimani city kula bata,kwamba nitapanda basi hili au lile,vita ni mipango,lazima vita ipangwe,na njia za kupita zinapangwa strategically,sio kujipitia tu,lazima makamanda walikuwa na sababu
 
Hizi illusion za kidini huwa mnazitoa wapi ninyi wafia dini?.

Kwahiyo ule upuuzi wa majeshi ya uganda chini ya idi amini kuvamia Tz na kuua raia na kutaka kuchukua sehemu ya tz ilipaswa achekewe si ndio.

Kweli hakuna mtu mjinga kama mfia dini...no wonder mnajiripua kwa illusion.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
S
safi sana Wiaslamu ni wa dhaifu au
 
It was expensive, mwaka 1978 kutumia USD mil 1 of hard currency per day sio mchezo. Ilitutia katika matatizo makubwa kifedha. Lakini nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote.
Kwani tulikuwa na pesa ngap na tukakopa ngapi?

Na tusingetumia zingefanya nn labda zaidi ya kununua Mercedes
 
Hii kichwa ako ni empty haina hata tope..hivi mwizi akija kwako ukamuona ukakimbiza akishatoka nje ya geti unafunga geti urudi ndani kisa ashatoka kwako au unamfukuza Hadi umdake?
 
Yule jamaa pia alisema hakuleta tetemeko
 
Watu 2000 walikuwa % ngapi ya watanzania? Je leo hawa 2000 wangekuwa wamezalisha watu wangapi? Population yetu leo ingekuwa inasoma watu 65 milion
Wangekuwa watu wa CCM ambao ni mizigo tu
 
Naked Truth Bro.
 
Nyerere (Rest well Mwalimu ) alikosea sana kuacha kuichukua Uganda. Hata kama kusingekuwa na faida tungekuwa na nchi kubwa.

Kwamba vita yote ilikuwa tu sababu ya kumrudisha Milton Obote?

Kuna sababu ya kumshtaki, eti eeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…