Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?



Sorry sisemi mimi ni Mapadri wa kanisa lake ndio walioandika vitabu na wakayasema hayo au na wewe huelewi nimeandika kitu gani ??? Rejea post nilizojibu
 
Sorry sisemi mimi ni Mapadri wa kanisa lake ndio walioandika vitabu na wakayasema hayo au na wewe huelewi nimeandika kitu gani ??? Rejea post nilizojibu
Ukitaka kuwasiliana na Padre Sivalon, tumia mojawapo ya njia hizi hapa chini; ameshataafu sasa na huwa anachukua muda mrefu kidogo kutoa majibu yake. Hatakubaliana na conclusions zako kuhusu kitabu chake unachotumia.

 
Ukitaka kuwasiliana na Padre Sivalon, tumia mojawapo ya njia hizi hapa chini; ameshataafu sasa na huwa anachukua muda mrefu kidogo kutoa majibu yake. Hatakubaliana na conclusions zako kuhusu kitabu chake unachotumia.

View attachment 1479089


Mimi sijatoa conclusion , nimenukuu alichokiandika , mbona unachanganyikiwa ???
 
Mimi sijatoa conclusion , nimenukuu alichokiandika , mbona unachanganyikiwa ???
Sijachanganyikiwa mzee wangu; nimekupa connection ya kuwasiliana na unayemtumia. Nilishwahi kuwasiliana naye, ilichukua muda kidogo kabla hajanijibu na akapinga conclusions hizo. Sasa kama unaquote vitu blindly bila kufuata context basi utashindwa kutofautisha "barabara ya lami" na "mambo kwenda barabara "
 


Mwambie hicho kitabu chake akiweke online kwani kanisa limekiondosha madukani


Padri. Dk. Sivalon, katika kitabu chake Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania Bara (1953-1985) anaeleza bayana kuwa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Kwanza wa nchi yetu, alikuwa kiungo pekee kati ya Chama (CCM), Serikali na Kanisa Katoliki.

N a k w a m s i n g i h u o viongozi wa Kanisa wamekuja kuwa na nafasi ya pekee kuelekeza hisia, mitazamo na siasa ya Tanzania, na wamefanya hivyo wakipania pia kuwa kuhujumu Uislamu. (Msome Sivalon Uk. 5-6,)

mwambie akuwekee hizo pages kama unabisha

pia na huyu Padri Bergen mwambie pia

Agosti 3, 1970 Mwalimu Nyerere, alimwita Ikulu Padri Rweyemamu katika mazungumzo maalum ambapo Nyerere alimuahidi Rweyemamu kuwa, hivi sasa Kanisa ndilo lililoshika hatamu za kuongoza dola naye atahakikisha hali inaendelea kuwa hivyo.

“Tanzania is not Catholic country, but Catholics is strong, I want to give the church a better chance here”. Akiwa na maana kwamba:- japo “Tanzania si nchi ya Kikatoliki, lakini Ukatoliki una nguvu, hivyo nataka kulipa Kanisa nafasi ya pekee hapa nchini” (Msome, Bergen Uk. 335)
 
Usichemke; ongea na mwandishi mwenywe. Wewe kushindwa kuelewa tofauti kati ya "barabara ya lami" na "mambo kwenda barabara " siyo tatizo lake wala langu.
 
Usichemke; ongea na mwandishi mwenywe. Wewe kushindwa kuelewa tofauti kati ya "barabara ya lami" na "mambo kwenda barabara " siyo tatizo lake wala langu.


Sorry sijaandika barabara , wewe tuwekee hiyo context ya barabara usichemke tu
 
Sorry sijaandika barabara , wewe tuwekee hiyo context ya barabara usichemke tu
Upungufu mwingine huo, ndiyo maana u mwepesi wa kukwoti vitu bila kujua maana zake. Inaelekea huwezi kuhimiri intellectual discussion. Kama unaamini ulichosoma wakati mwandishi wake haaimini hivyo basi mpigie simu mtu aliyekiandika kitabu unachotumia kujenga hoja zako au mwandikie email usikie anasema nini. Hiyo mifano rahisi niliyokupa ni kuonyesha tu kuwa maneno yanaweza kuwa na maana nyingi, hivyo kujua context ni muhimu sana.

Na wala siyo kweli kuwa kitabu hicho kimeondolewa na kanisa katoliki bali ni kuwa kiko off-print sasa. Vitabu vyote kama ilivyo trade mark vina umri wake, na kama mwandishi asipotoa edition nyingine ya kitabu hicho bas kinakuwa offprint.
 


Wewe mbona unaandika ngonjera si uweke hiyo context ya barabara uliyosema , unahubiri kitu gani ??
 
Ndio context hiyo umeleta ???
Soma kitabu mwenyewe; kama huwezi kusoma tafuta mtu akusomee na kama hujakiona ila umekopoi basi wasiliana na mwandishi huwa anakituma bila masharti yoyote ingawa inaweza kuchukua muda kidogo.

Usitake mimi ndiyo nikusomeee kitabu kizima nikwambiea context yake ni nini kwani hutaikubali.
 

Ndio context hiyo umeleta ?? iko ukurasa wa ngapi ??

Aliyeleta hoja ya context ni wewe siye mimi ?? kama hiyo ndio context ok
 
Mkuu kwa heshima ya umri wako na kazi kubwa uliyoifanya,nakuomba upumzike usibishane na hawa watoto wa happybirthday.

Hawana adabu hata nusu.
 
Ndio context hiyo umeleta ?? iko ukurasa wa ngapi ??

Aliyeleta hoja ya context ni wewe siye mimi ?? kama hiyo ndio context ok
Inawezekana wewe siyo msomi kwani context ya kitabu huwa haipatikani katika ukurasa ila hupatikana baada ya kujumuisha kitabu chote. Ukishasoma na kutafuta msitali mmoja tu kuujumisha kwenye mada nzima ya kitabu unakuwa nimmoja wa mambumbumbu wa kusoma.
 
Nadhani ni uoga wa kichapo ndio maana walikuwa wanajizungushazungusha kiboya
Siyo hivyo. Eneo lililokuwa lilochukuliwa kaskazini ya mto Kagera lilikuwa liko juu. Kivita mtu aliyeko juu huwa ana tactical advantage dhidi ya mtu aliyeko bondeni. Unaweza kujua hilo kwa kuangalia kuwa baada ya Israel kuchukua milima ya Golan, Syria haijawahi kuwashambulia Israel tena kwa kujua ukweli huo. Makamanda wetu walipanga plan ya kuzunguka ile tactica advantage na kwenda juu yao zaidi kabla ya kuwafyeka.
 
Mchango wa Israel kwa Tz kwenye hiyo vita ni upi ?
 
Mchango wa Israel kwa Tz kwenye hiyo vita ni upi ?
Haukuwepo; na kama ulikuwepo labda ulikuwa wa siri sana kwa mimi askari wa cheo cha chini sana kuweza kuujua wakati huo. Wakati huo Tanzania ilikuwa upande mmoja na PLO kugombea uhuru wao kwa hiyo tulikuwa against Israel. Vita yote ile ilipiganwa na watanzania tupu akiwema Makongoro Nyerere, mtoto wa rais wakati huo. Tulikuwa na kanali mmoja pale ngome alikuwa anajua jinsi ya kupanga vita siyo mchezo. Huwa mara nyingi ninadhani ni Kanali Lupogo, lakini huenda jina lake halisi litatajwa na mtu mwingine huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…