WILLY GAMBA
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 211
- 87
@Jasusi;
I salute you; thanks so much for your analysis; I see no wrong with Mwl. Nyerere policies; he was much involved in Africa problems under the umbrella of humanities; whether he was wrong or right we should be proud of him; we have the rights to voice our opinion but lets not forget that our sovereignty was threatened by Idd Amin.
Muulize baba yako kwani yeye alikuwa kwenye saddle.Great thinkers tunazungumzia ya magamba wanavyo tumaliza.tatizo nimegundua huna mawasiliano na baba yako; hayo ndio yakuongea mkinywa kahawa. Nilitegemea utuambie meli ina nanga ngapi n.k usituvuruge
- Ina maana somo limeeleweka, that is all I could ask from Great Thnkers!!William,
Jibu rahisi ni kwamba hatukuwa na sababu ya kumhifadhi Obote. Hatukuwa na sababu ya kuwa na uhusiano hasimu na Iddi Amin. Iddi Amin was the best thing that ever happened to Africa and Uganda. We should have loved him and not make war on him. Simply Nyerere was mad to fight with Amin. Tulifanya makosa makubwa sana. Nadhani hapo utaridhika. Anzisha sasa topic nyingine tumkosoe na kumdadavua Nyerere.
Ngoja nikusaidie; Nyerere and African liberation. Big mistake. Nyerere and Pan Africanism: ndoto ya mchana. Nyerere and the Development of Man: it will never happen. Niendelee?
Kumbe umekuja hapa kutoa somo? Mtu hata vitabu unavyoshauriwa unaona ni shida kusoma unatoa somo? Amazing!- Ina maana somo limeeleweka, that is all I could ask from Great Thnkers!!
William.
Naona umekuja na nyingine, hivi Nyerere alikukosea nini?..
- He was much involved in Africa problems, how about our problems at home bro?
William.
- Wakuu JF heshima mbele sana, naomba kuuliza tena hivi kulikuwa ana ulazima wa kupiagana Vita na Idd Amin mpaka kumuondoa kwenye madaraka nchini mwake? Yeye alivunja sheria za kimataifa kwa kutuingilia ndani ya mipaka yetu, je na sisi kwa kuvuka mipaka yake pia mbona kama tulijivua nguo kama yeye, yaani tukawa two wrongs!
- I mean kumuondoa tu kwenye ardhi yetu ndio sheria za kimataifa zinavyosema, lakini kwenda mpaka kumuondoa kwenye uongozi wa Taifa lake mbona kama we went too far, na historia ikaishia kutusuta maana tukamuweka Obote, akaishia kuondolewa tena na mwingine, au Great Thinkers mnasema je?
- Na wale mabingwa wa Conspiracy Theories karibuni sana!!
William.
"Mpumbavu" utakuwa ni wewe usiyejua kwa nini tuliingia vitani wakati ule na sii Watanzania. Kiongozi shupavu ni yule anayelinda watu wake dhidi ya uvamizi wowote ule toka nje ya mipaka kama alivyoamua Nyerere wakati ule hata kama maamuzi hayo yalileta shida ila heshima ilipatikana.
Hata kama ni mie leo hii jirani aingie mpaka nyumbani kwangu aweke kambi na kuwafanyia vitendo vichafu wanafamilia wangu huyo ni wa kutwangwa tuu na kwa gharama yeyote. Na simtwangi eti mpaka nje ya geti tuu, NO. Mpaka nyumbani kwake ili hata familia yake ijue madhara ya baba yao kucheza na nyumba za watu.
Mtoa hoja hajui madhila yaliyowapata ndugu zetu kule Mtukula mpaka Kyaka, ila Mvumi ingekuwa kule mpakani leo asingekuja na hoja hii. Labda hoja yake ingekuwa KWA NINI UGANDA HATUKUIGEUZA MKOA WA TANZANIA? ili madhila yale yasitokee tena.
mkuu unajua kati ya uganda na tanzania ni nani alikuwa mchokozi??
Je? Wajua ni kwanin? Uganda waliitandika tanzania na mpaka kuvuka mipaka??
In short.Nyerere alikuwa swaiba ake sana obote na pind idd amin alipo mpindua abote nyerere hakufurahia kabisa.Hivyo tanzania ilimuhifanyi obote na mkakati kabambe wa kumng'oa idd amin madarakan uliundwa kuna vijana waganda na watanzania walipewa mafunzo na kuanza kumletea choko choko idd amin kwa kuingia uganda na kufanya fujo walivyo fukuzwa walikimbilia tanzania choko choko zikazid wakaenda tena kufanya fujo na wakafanya uharibifu mkubwa sana uganda idd amin akakasirika akawatandika na kuwafukuza mpaka tanzania na kuingia kilomita kazaa tanzania.
Hapo ndipo nyerere alipokuwa anapataka haraka haraka akautangazia umma kwamba idd amin anataka kuitwa baadhi ya ardhi ya tz na kutangaza vita.
Je? Hapo mwenye kosa nani?? Na je? Ni nani hapo ni mchokozi wa mwenzake?
Ndio mana hata kamanda gadafi alimuunga mkono idd amin na kumsaidia kwa sababu uhuni wote alikuwa anaufahamu.
Kumbe umekuja hapa kutoa somo? Mtu hata vitabu unavyoshauriwa unaona ni shida kusoma unatoa somo? Amazing!
Mkuu wa wangu Jasusi mie napita msalimie Chama.
Nenda Bukoba ukaseme upuuzi huu wao watakueleza vizuri kwani mpaka leo kovu la vita alilotuletea Idd Amin bado wanalo.
Chama
Gongo la Mboto DSM
upuuzi hapo ni upi mkuu hebu ni dadavulie kidogo basi.Hapa tupo kwa ajiri ya kuelimishana?
Na swala la kovu bukoba siyo ishu kubwa sana ishu hapa ni je tanzania tulikuwa tunaulazima wakupigana ile vita mpaka kuingia nchini uganda??
Ukweli ni kwamba idd amin alikuwa na haki ya kututandika.
Mkuu umbea wa nyerere na kiherehere chake ndo kilicho tuponza.