Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

Jasusi;

I salute you; thanks so much for your analysis; I see no wrong with Mwl. Nyerere policies; he was much involved in Africa problems under the umbrella of humanities; whether he was wrong or right we should be proud of him; we have the rights to voice our opinion but lets not forget that our sovereignty was threatened by Idd Amin.

Kenya have troops in Somalia, do we need to question their motives absolutely not; So what Nyerere did was very perfect for our foreign policies; despite disagreements with Kenya we never had any war with them; Kenyatta and Moi respected us they never interfered with our affairs. We need to look deep into our history before we question Mwl. Nyerere policies; he was not messiah but he was a great leader. (R.I.P)

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
@Jasusi;

I salute you; thanks so much for your analysis; I see no wrong with Mwl. Nyerere policies; he was much involved in Africa problems under the umbrella of humanities; whether he was wrong or right we should be proud of him; we have the rights to voice our opinion but lets not forget that our sovereignty was threatened by Idd Amin.

- He was much involved in Africa problems, how about our problems at home bro?

William.
 
Muulize baba yako kwani yeye alikuwa kwenye saddle.Great thinkers tunazungumzia ya magamba wanavyo tumaliza.tatizo nimegundua huna mawasiliano na baba yako; hayo ndio yakuongea mkinywa kahawa. Nilitegemea utuambie meli ina nanga ngapi n.k usituvuruge

- JF Style, ina maana moja tu kwamba SOMO LANGU LIMEELEWEKA, thank yopu Great Thinker tupo pamoja bro! ha! ha! ha1

William.
 
William,

Jibu rahisi ni kwamba hatukuwa na sababu ya kumhifadhi Obote. Hatukuwa na sababu ya kuwa na uhusiano hasimu na Iddi Amin. Iddi Amin was the best thing that ever happened to Africa and Uganda. We should have loved him and not make war on him. Simply Nyerere was mad to fight with Amin. Tulifanya makosa makubwa sana. Nadhani hapo utaridhika. Anzisha sasa topic nyingine tumkosoe na kumdadavua Nyerere.

Ngoja nikusaidie; Nyerere and African liberation. Big mistake. Nyerere and Pan Africanism: ndoto ya mchana. Nyerere and the Development of Man: it will never happen. Niendelee?
- Ina maana somo limeeleweka, that is all I could ask from Great Thnkers!!

William.
 
Naona umekuja na nyingine, hivi Nyerere alikukosea nini?..

Nyerere screwed Jumanne's plan to be a president, and if that plan would materialize... his son wouldnt be jobless and struggling to be a politician (in a jackass way)
 
- He was much involved in Africa problems, how about our problems at home bro?

William.

William;

US and EU countries are spending billion of dollars monthly to finance war and other projects in Afghanistan, do you want to tell me they don`t have problems in their countries? Sovereignty comes up with costs; he was ready to defend us at any cost! He worked hard to make sure every Tanzanian has a better life, the man died like an ordinary Tanzanian; the good thing about him he did not used the office of president to enrich himself or his family; instead of using him as a scapegoat let face the reality Mwl. Nyerere is past in Tanzania politics;may be we need to question our leaders why Tanzanians are facing the same problems? Mwl. had lots of challenges, all western countries and their institutions were worked against him; can`t you see the difference between then and now? You can argue on the issue but he was policy maker and not a follower; we have live long enough to know the truth. Who decides our foreign policy now?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Wanabodi naona mnahangaika kumjibu W J Malecela wakati tunajua familia yake Ina chuki na Nyerere kutokana na kuwaekea kauzibe wakati baba yake alipokuwa anataka kugombea urais. Wiliam ni mvuvi sasa siasa na yeye ni wapi na wapi?
 
- Wakuu JF heshima mbele sana, naomba kuuliza tena hivi kulikuwa ana ulazima wa kupiagana Vita na Idd Amin mpaka kumuondoa kwenye madaraka nchini mwake? Yeye alivunja sheria za kimataifa kwa kutuingilia ndani ya mipaka yetu, je na sisi kwa kuvuka mipaka yake pia mbona kama tulijivua nguo kama yeye, yaani tukawa two wrongs!

- I mean kumuondoa tu kwenye ardhi yetu ndio sheria za kimataifa zinavyosema, lakini kwenda mpaka kumuondoa kwenye uongozi wa Taifa lake mbona kama we went too far, na historia ikaishia kutusuta maana tukamuweka Obote, akaishia kuondolewa tena na mwingine, au Great Thinkers mnasema je?

- Na wale mabingwa wa Conspiracy Theories karibuni sana!!

William.

To hell na sheria za umoja wa Mataifa. Kumpiga Idd Amin hakuhitaji sheria za umoja wa mataifa bali busara yako na kujua kua LAZIMA Idd Amini apate kipigo ili upate manufaa unayotaka, na kwa kua uwezo tulikua nao, hiyo ndiyo BUSARA aliyoitumia Nyerere. Of course Nyerere hukuchanganua mambo vizuri kujua gharama zitalipwa vipi na UGANDA japo kumpiga Amini mpaka jikoni ni safi kabisa, na manufaa ni AMANI tuliyopata ktk ukanda huu wa A. Mashariki.
 
Ningelikuwa kiranga ningetumia neno 'schizophrenia' hapa!
 
"Mpumbavu" utakuwa ni wewe usiyejua kwa nini tuliingia vitani wakati ule na sii Watanzania. Kiongozi shupavu ni yule anayelinda watu wake dhidi ya uvamizi wowote ule toka nje ya mipaka kama alivyoamua Nyerere wakati ule hata kama maamuzi hayo yalileta shida ila heshima ilipatikana.
Hata kama ni mie leo hii jirani aingie mpaka nyumbani kwangu aweke kambi na kuwafanyia vitendo vichafu wanafamilia wangu huyo ni wa kutwangwa tuu na kwa gharama yeyote. Na simtwangi eti mpaka nje ya geti tuu, NO. Mpaka nyumbani kwake ili hata familia yake ijue madhara ya baba yao kucheza na nyumba za watu.
Mtoa hoja hajui madhila yaliyowapata ndugu zetu kule Mtukula mpaka Kyaka, ila Mvumi ingekuwa kule mpakani leo asingekuja na hoja hii. Labda hoja yake ingekuwa KWA NINI UGANDA HATUKUIGEUZA MKOA WA TANZANIA? ili madhila yale yasitokee tena.

mkuu unajua kati ya uganda na tanzania ni nani alikuwa mchokozi??

Je? Wajua ni kwanin? Uganda waliitandika tanzania na mpaka kuvuka mipaka??

In short.Nyerere alikuwa swaiba ake sana obote na pind idd amin alipo mpindua abote nyerere hakufurahia kabisa.Hivyo tanzania ilimuhifanyi obote na mkakati kabambe wa kumng'oa idd amin madarakan uliundwa kuna vijana waganda na watanzania walipewa mafunzo na kuanza kumletea choko choko idd amin kwa kuingia uganda na kufanya fujo walivyo fukuzwa walikimbilia tanzania choko choko zikazid wakaenda tena kufanya fujo na wakafanya uharibifu mkubwa sana uganda idd amin akakasirika akawatandika na kuwafukuza mpaka tanzania na kuingia kilomita kazaa tanzania.
Hapo ndipo nyerere alipokuwa anapataka haraka haraka akautangazia umma kwamba idd amin anataka kuitwa baadhi ya ardhi ya tz na kutangaza vita.
Je? Hapo mwenye kosa nani?? Na je? Ni nani hapo ni mchokozi wa mwenzake?

Ndio mana hata kamanda gadafi alimuunga mkono idd amin na kumsaidia kwa sababu uhuni wote alikuwa anaufahamu.
 
Nenda Bukoba ukaseme upuuzi huu wao watakueleza vizuri kwani mpaka leo kovu la vita alilotuletea Idd Amin bado wanalo.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mkuu Jasusi, Chakaza na Chama, kusema ukweli nyie ni wazalendo wa hii nchi, watu kama nyie mnahitajika sana kuinua maisha ya watanzania, BIG UP for your contributions for the sake of watanzania
 
Nenda Bukoba ukaseme upuuzi huu wao watakueleza vizuri kwani mpaka leo kovu la vita alilotuletea Idd Amin bado wanalo.

Chama
Gongo la Mboto DSM

upuuzi hapo ni upi mkuu hebu ni dadavulie kidogo basi.Hapa tupo kwa ajiri ya kuelimishana?

Na swala la kovu bukoba siyo ishu kubwa sana ishu hapa ni je tanzania tulikuwa tunaulazima wakupigana ile vita mpaka kuingia nchini uganda??

Ukweli ni kwamba idd amin alikuwa na haki ya kututandika.
Mkuu umbea wa nyerere na kiherehere chake ndo kilicho tuponza.
 
William,
Mimi sijui ukweli juu ya vita hii. Ila umenikumbusha kitu ambacho kimenifanya nicheke, ngoja nikushirikishe. Baba yangu alinisimulia wakati wa vita hivyo, (Sikumbuki vizuri maana ni marehemu kwa sasa) alinitajia jina la mtu kama hili lako la pili (Malecera) au Kawawa, alienda kuwatembelea na akaitisha mkutano akawa anawahimiza na kuwatia moyo, "Piganeni wala msiogope chochote". Ghafla ikakatiza ndege ya kivita ya Uganda, alikimbilia kwenye handaki mara moja. Baada ya hapo aliondoka kabisa eneo lile. Kwa maana hii, ule mkutano haujafungwa mpaka kesho, maana alikatisha mara moja.
Lakini pia kama kuna agenda ya siri alikuwa nayo kiongozi wa nchi wakati huo, kama ulivyohisiwa kwamba ndilo lengo la maada yako, basi hakuwa peke yake, waulizeni hata akina Malecera na wengine waliokuwepo wakati huo, nini kilisababisha waingize wazee wetu vitani.
 
upuuzi hapo ni upi mkuu hebu ni dadavulie kidogo basi.Hapa tupo kwa ajiri ya kuelimishana?

Na swala la kovu bukoba siyo ishu kubwa sana ishu hapa ni je tanzania tulikuwa tunaulazima wakupigana ile vita mpaka kuingia nchini uganda??

Ukweli ni kwamba idd amin alikuwa na haki ya kututandika.
Mkuu umbea wa nyerere na kiherehere chake ndo kilicho tuponza.

Lege usiwe legelege kwenye kutafuta ukweli; soma majarida mbalimbali utapata sababu halisi za vita na Uganda nimekwambia nenda Bukoba ukaseme upuuzi huo uone watakachokufanya; vita si kitu kizuri na Nyerere hakuwa na jinsi hatukuwa na muda wa kufanya mazungumzo ya kutafuta amani; isingekuwa rahisi hata kufanya maongezi yenyewe Idd Amin na majeshi tayari walikuwa ndani ya ardhi ya Tanzania, unaposema kovu la Bukoba sio ishu bali ishu ni Tanzania labda nikuulize Bukoba ilikuwa sehemu ya Kenya? Hizi hadithi za kusikiliza kwenye vilinge vya kahawa vitafutie ukweli kabla ya kuvisema hadharani. Ukimkuta mtu chumbani kwako anamchapa makofi mkeo utapigana au utamuomba samahani?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Back
Top Bottom