Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

Asolutely wrong Bill. Baada ya Amin alifuata Lule ambaye aliondolewa na kurithiwa na Binaisa.
Binaisa alikuwa 'arrested' na akina Tito Okello.
Ndani ya serikali ya Binaisa Museveni alikuwa waziri wa Ulinzi na kisha kuhamishwa wizara hiyo.
Kabla ya Obote kushinda uchaguzi, uganda ilikuwa inaongozwa na kamati ya muda.

Aliyemondoa Obote ni Museveni. Hadi hapo Lule na Binaisa walikuwa hawana uwezo dhidi ya Obote.
Kusema ya kuwa Binaisa na Lule walimuondoa Obote ili kumkomoa mwalimu na siasa zake si kweli na nadiriki kusema ni upotoshaji wa 'short cut' ili hukumu ipatikane hata kwa mashitaka ya kuunga unga.

Obote aliporudi mara ya pili alifanya mauaji ya raia wengi hasa jimbo la kati. Hata alipotorka na kufika mpakani mwa Kenya, Nyerere hakukubali arudi Tanzania.

Sababu kubwa ya Amin kuvamia Kagera kwa mujibu wake ni madai kuwa Kagera ni sehemu ya Uganda. Alipofanikiwa kupora mali, kuvuruga maisha ya watu wa Kagera, Amin alipandisha bendera ya Uganda na kumteua mkuu mpya wa Wilaya ya Kagera.

Vita ya Kagera inaweza kuwa ni 'failed policy' kama unavyodai. Ni vema basi utueleze ingekuwa wewe upo katika nafasi ya kutoa maamuzi unadhani nini ungefanya wananchi wako wakiwa wameuawa na kufukuzwa katika eneo lao na kipande cha nchi kuchukulia?

Museveni hakumuondoa Obote. Obote alipinduliwa na majeshi yake.
 
Museveni hakumuondoa Obote. Obote alipinduliwa na majeshi yake.
Ni kweli, nashukuru kwa sahihisho hilo. Nalo linazidi kuweka umbali kati ya Lule, Binaisa na Obote. Shukran
 
Chama,

Vita viliingiza gharama kubwa sana kiuchumi. Katika Hotuba ya mwisho wa mwaka 1979, Nyerere alisema kuwa itachukua miezi 18. Baada ya mwaka akasema miaka 18.

Kuhusu madeni ya Urusi na China sina uhakika nayo. Lakini sehemu kubwa matumizi ya jeshi haipo kwenye zana za kivita. Warusi na wachina walitudai kwenye zana za kijeshi.

Lakini wakati wa vita vya Kagera na Uganda, serikali ilibidi iongeze idadi ya wanajeshi. Na vita vilipokwisha wote walipewa nafasi katika majeshi ya ulinzi na usalama. Hivyo kulipa mishahara pekee yake ilikuwa ni kazi kubwa.

Vilevile majeshi ya Tanzania yalikaa Uganda kwa miaka miwili. Gharama za kukaa kule zilikuwa za kwetu. Vilevile zana zingine za kivita zilitoka katika nchi nyingine kama Yugoslavia. Hivyo hoja ya kuwa tulisamehewa haina mpango.

Vilevile manunuzi mengine ya zana na mahitaji ya kivita yalitumia reserve na mikopo ambayo ilitakiwa kutumika kwenye shughuli za maendeleo. Hivyo misamaha ya warusi na wachina haikutoa unafuu wowote hule.

Zakumi;
Hakufuatilia mtiririko mzima wangu na William nanukuu "Kumpiga Amin mpaka ndani ya nchi yake kumetugharimu na mpaka leo bado tunalipia, ni wajibu wetu wananchi wenye uwezo wa kufikiri kuuliza kuhusu hizi failed policies!, ambazo zingine physically zinatuumiza mpaka leo, ambapo wahusika hawapo!". Nilichojaribu kumuelewesha tu gharama za vita madeni mengi tu yalishamehewa msikwepe ukweli kinachotugharimu ni ufisadi gharama ya ufisadi ni kubwa kuliko vita ya Kagera

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
First thing first, hakuna mwananchi asiye na uwezo wa kufikiri. Tukirudi kwenye mada kamili kwa maoni yangu binafsi, ufisadi ni matokeo na sio kiini matatizo yetu.

Kiini cha matatizo mengi ya Tanzania ni kuwa katika miaka ya 60, 70 na 80, Tanzania haikujenga human resource capabilities zake ambazo zingeweza kulisaidia taifa katika mazingira ya kisasa ya kiuchumi.
 
Zakumi
Unaposema ufisadi ni matokeo na sio kiini cha matatizo yetu unamaanisha kitu gani? Je baada ya 1980 hadi 2012 tumeweza kujenga hizo human resource capabilities? Ufisadi umekuwa ni kikwazo kikubwa sana kwenye maendeleo ya uchumi wetu; badala ya watu kujadili hoja za msingi tunaendesha propaganda ambazo hazina maana yeyote ile; leo serikali imeshindwa kutoa mkopo wa vyuo vya elimu ya juu kutokana na ukosefu fedha hii si aibu rasimali zote tulizokuwa nazo bado tunashindwa kusomesha wanafunzi wetu? Na hili nalo pia tulaumu vita vya Uganda?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
NasDaz;
Nadhani upeo wa kuelewa siasa bado una walakini kidogo; Tanzania ni nchi huru na tuna haki ya kuamua jambo lolote ili mradi hatuvunji sheria za kimataifa; hivyo suala la Mwl. Nyerere kumpa hifadhi Obote lilikuwa ni sawa labda unieleze tulivunja kipengele gani cha sheria za kimataifa; ikiwa Mwl. Nyerere alikushangaza sana kumpa hifadhi Obote labda nikuulize Ferdinand Marcos na Shah wa Iran walipopinduliwa walipewa hifadhi Marekani je marekani walifanya kosa kutoa hifadhi kwa watawala hao? Alichofanya Mwl. si kigeni kwenye siasa.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Chama,
Si busara kukurupuka na kutoa comment....nasisitiza, si busara hata kidogo. Pitia post zangu, zote nimetamka wazi kwamba Nyerere hakufanya kosa hata kidogo kumpa hifadhi Obote...hapa nasisitiza kwa herufi kubwa labda utaelewa: NYERERE HAKUFANYA KOSA KUMPA HIFADHI OBOTE....Pitia post zangu utaona huo msisitizo. Nilichosema na ambacho nitaendelea kukisimamia ni suala la Nyerere kumwacha Obote na supporters wake kuitumia Tanzania kama uwanja wa mafunzo na maandalizi kwa ajili ya kurudi Uganda kum-overthrow Amin. Hilo ndilo ninalopinga mimi. Mwaka mmoja baada ya Obote na wafuasi wake kuingia Tanzania, wafuasi hao walivuka mpaka wa Tanzania na kuingia Uganda na kufanya jaribio lililoshindwa la kumpindua Amin. Baada ya kushindwa, wakakimbia na kurudi tena Tanzania. Hoja yangu hapo ni kwamba huwezi kufanya mapinduzi dhidi ya serikali ya kijeshi kama ya Amin bila kufanya maandalizi ya kutosha; maandalizi hayo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya kijeshi. Kama ndivyo, maandalizi ya kijeshi yaliyolenga kwenda kumpindua Amin yalifanyikia wapi ikiwa wana-mapinduzi hao walitokea kwenye ardhi ya Tanzania na waliposhindwa wakakimbilia tena Tanzania?! There's no way kwamba intelligence na serikali kwa ujumla kwamba hawakufahamu.....walifahamu! Sasa kwanini Nyerere aliruhusu jam bo hilo?! Hata kama wewe ungekuwa ndie Amin halafu unagundua nchi jirani inatoa msaada wa kijeshi kwa kikundi kinachbolenga kukuondosha madarakani ungekaa kimya na kupuuza?! Amin, sawa na kiongozi yeyote alikuwa na haki ya kutangaza hali ya hatari dhidi ya Tanzania kwavile ilishathibitika kwamba Tanzania inafadhili harakati dhidi yake. Hakuna kiongozi hata mmoja duniani ambae angekuwa tayari kupuuzia jambo hilo.

Kwa kumalizia, narudia tena na tena.....sioni tatizo kwa Nyerere kumpa hifadhi Obote.
 
sasa hapa naona unarudia kusema ulichosema bila kusema chochote. Unaposema "serious crime" una maanisha kama kitu gani? NIpe japo mfano mmoja tu wa kitu ambacho unaki-concider "serious crime" ambayo ingehalalisha Amin kuondolewa madarakani kwa vita.

Nadhani watu wengi hawajachukua hata muda kusoma historia ya vita ya Uganda kutoka kwa macho ya mtu mwingine. Vita ya Uganda imeandikwa na kufanyiwa utafiti na wanasheria na wasomi mbalimbali kwani kwa kiasi kikubwa inafanana sana na vita ya kwanza ya Iraq kuiondoa Kuwait. Napendekeza usome utafiti huu unaohoji kwa kisomi zaidi kama TAnzania ilipigana a "just war" au vipi. BONYEZA HAPA KUJISOMEA

Serious Crime ni kama ile ambayo ilifanywa na Nyerere ya kufadhili harakati za kijeshi dhidi ya Amin ndani ya ardhi ya Tanzania. Hakuna ,kiongozi yeyote duniani ambae angepuuzia ambacho kilifanywa na Nyerere.
 
Chama,
Si busara kukurupuka na kutoa comment....nasisitiza, si busara hata kidogo. Pitia post zangu, zote nimetamka wazi kwamba Nyerere hakufanya kosa hata kidogo kumpa hifadhi Obote...hapa nasisitiza kwa herufi kubwa labda utaelewa: NYERERE HAKUFANYA KOSA KUMPA HIFADHI OBOTE....Pitia post zangu utaona huo msisitizo. Nilichosema na ambacho nitaendelea kukisimamia ni suala la Nyerere kumwacha Obote na supporters wake kuitumia Tanzania kama uwanja wa mafunzo na maandalizi kwa ajili ya kurudi Uganda kum-overthrow Amin. Hilo ndilo ninalopinga mimi. Mwaka mmoja baada ya Obote na wafuasi wake kuingia Tanzania, wafuasi hao walivuka mpaka wa Tanzania na kuingia Uganda na kufanya jaribio lililoshindwa la kumpindua Amin. Baada ya kushindwa, wakakimbia na kurudi tena Tanzania. Hoja yangu hapo ni kwamba huwezi kufanya mapinduzi dhidi ya serikali ya kijeshi kama ya Amin bila kufanya maandalizi ya kutosha; maandalizi hayo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya kijeshi. Kama ndivyo, maandalizi ya kijeshi yaliyolenga kwenda kumpindua Amin yalifanyikia wapi ikiwa wana-mapinduzi hao walitokea kwenye ardhi ya Tanzania na waliposhindwa wakakimbilia tena Tanzania?! There's no way kwamba intelligence na serikali kwa ujumla kwamba hawakufahamu.....walifahamu! Sasa kwanini Nyerere aliruhusu jam bo hilo?! Hata kama wewe ungekuwa ndie Amin halafu unagundua nchi jirani inatoa msaada wa kijeshi kwa kikundi kinachbolenga kukuondosha madarakani ungekaa kimya na kupuuza?! Amin, sawa na kiongozi yeyote alikuwa na haki ya kutangaza hali ya hatari dhidi ya Tanzania kwavile ilishathibitika kwamba Tanzania inafadhili harakati dhidi yake. Hakuna kiongozi hata mmoja duniani ambae angekuwa tayari kupuuzia jambo hilo.

Kwa kumalizia, narudia tena na tena.....sioni tatizo kwa Nyerere kumpa hifadhi Obote.

NasDaz
Sijakurupuka narudia tena upeo kwenye medani ya siasa bado kidogo itachukua muda; Idd Amin alikuwa ni dikteta mwenye kuuwa raia wake kama kuku; halikuwa kosa kuwapatia hifadhi raia ambao walikuwa wanakimbia mauaji; majaribio yaliyofanyika kumuua Idd Amin yalifanyika ndani ya Uganda ni lazima ukubali Amin hakuwa kipenzi cha waganda hasa alipoanza kuua raia ovyo. Kwa raia hao kukimbilia Tanzania sidhani kama kulijustify kitendo chake cha kuvamia Tanzania na kuua watanzania wasio na hatia; hivi sasa tunahifadhi wakimbizi wa Rwanda na Burundi sidhani kama Kagame akiamua kutushambulia kwa vigezo vya wakimbizi tutamwacha;Amin alijiamini baada ya ahadi za silaha na Ghadaf kitu ambacho alipatiwa; kumwondoa ilikuwa sawa kabisa tungemwacha angeendela kabla ya vita vya Kagera majeshi yake yalishawahi kuvuka mpaka na kurudi sasa sielewi mganda wewe unachohoji.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Zakumi
Unaposema ufisadi ni matokeo na sio kiini cha matatizo yetu unamaanisha kitu gani? Je baada ya 1980 hadi 2012 tumeweza kujenga hizo human resource capabilities? Ufisadi umekuwa ni kikwazo kikubwa sana kwenye maendeleo ya uchumi wetu; badala ya watu kujadili hoja za msingi tunaendesha propaganda ambazo hazina maana yeyote ile; leo serikali imeshindwa kutoa mkopo wa vyuo vya elimu ya juu kutokana na ukosefu fedha hii si aibu rasimali zote tulizokuwa nazo bado tunashindwa kusomesha wanafunzi wetu? Na hili nalo pia tulaumu vita vya Uganda?

Chama
Gongo la Mboto DSM
Kuna mahali ukisoma unajiuliza huyu aliyeandika amelipwa kiasi gani! Yaani ufisadi huu wa kutisha bado mtu anapata ujasiri wa kusema si kiini cha matatizo, na anataka kutuaminisha kuwa ni matokeo ya utawala wa awamu ya kwanza. Hivi kipindi cha utawala ule kulikuwa na ufisadi wa kiwango hiki? Hizi chuki mbona hatari sana.
 
- Wakuu JF heshima mbele sana, naomba kuuliza tena hivi kulikuwa ana ulazima wa kupiagana Vita na Idd Amin mpaka kumuondoa kwenye madaraka nchini mwake? Yeye alivunja sheria za kimataifa kwa kutuingilia ndani ya mipaka yetu, je na sisi kwa kuvuka mipaka yake pia mbona kama tulijivua nguo kama yeye, yaani tukawa two wrongs!

- I mean kumuondoa tu kwenye ardhi yetu ndio sheria za kimataifa zinavyosema, lakini kwenda mpaka kumuondoa kwenye uongozi wa Taifa lake mbona kama we went too far, na historia ikaishia kutusuta maana tukamuweka Obote, akaishia kuondolewa tena na mwingine, au Great Thinkers mnasema je?

- Na wale mabingwa wa Conspiracy Theories karibuni sana!!

William.

Sidhani kama tungemtimua tu ingetosha kwani lazima angejipanga na angerudi na pia alikuwa akiwatesa wananchi wa uganda nadhali ilikuwa sahihi kumwondoa kabisa
 
Maana yangu ni kwamba, Amin alikuwa hajatenda serious crime ya kumwahalalishia Nyerere kufadhili vikundi vilivyolenga kumpindua Amin. Kumtoa mtu madarakani sio suala dogo ambalo kamwe haliwezi kuhalalishwa na kutokana tu na kauli za mdomoni ambazo wakati mwingine zinakuwa ni za kiuendawazimu tu. Mzee Mwanakijiji, sina shaka wewe ni mwelewa mkubwa wa haya mambo......hebu niambie, kabla ya jaribio wa wapinzani wa Amin kuvuka mipaka ya Tanzania na kuingia Uganda kwa lengo la kwenda kumpindua Amin, hapo kabla Amin alikuwa amefanya nini serious dhidi ya Tanzania hata Nyerereachukue uamuzi wa kufadhili wapinzani wa Uganda?! Ukikosa jibu, basi ndio jibu la maana ya hilo swali ulilonihoji!

sasa kama unakubali kuwa Idi Amin alikuwa mwendawazimu unashindwaje kuamini ukweli kuwa Amini ndiye aliyeanza uchokozi au hujui tabia za kiwendawazimu? asiyejua tabia za kiwendawazimu hawezi akawa sio mwendawazimu!
Mtu alieweza kupora mali za waasia walizochuma kwa jasho lao kisha kuwafukuza na kugawa mali hizo kwa rafiki zake unamchukuliaje? ukitaka ukweli waulize waganda waliokuwepo enzi za Amin watakupasha ukweli, na jiulize kwanini waganda waliyaunga mkono majeshi ya TZ na kuwashangilia na kuwaita wakombozi wao? wewe unadhani walikuwa wamekombolewa kutoka kwenye nini?
Acheni kuja na historia za kutunga zisizo na mashiko!
Kama Nyerere alikuwa mchokozi kwanini OAU au UNO hazikumlaani!? acheni hoja za kipuuzi ambazo ambazo zinaweka bayana ufinyu na umbumbumbu wa tafakari zenu.
 
mkuu unajua kati ya uganda na tanzania ni nani alikuwa mchokozi??

Je? Wajua ni kwanin? Uganda waliitandika tanzania na mpaka kuvuka mipaka??

In short.Nyerere alikuwa swaiba ake sana obote na pind idd amin alipo mpindua abote nyerere hakufurahia kabisa.Hivyo tanzania ilimuhifanyi obote na mkakati kabambe wa kumng'oa idd amin madarakan uliundwa kuna vijana waganda na watanzania walipewa mafunzo na kuanza kumletea choko choko idd amin kwa kuingia uganda na kufanya fujo walivyo fukuzwa walikimbilia tanzania choko choko zikazid wakaenda tena kufanya fujo na wakafanya uharibifu mkubwa sana uganda idd amin akakasirika akawatandika na kuwafukuza mpaka tanzania na kuingia kilomita kazaa tanzania.
Hapo ndipo nyerere alipokuwa anapataka haraka haraka akautangazia umma kwamba idd amin anataka kuitwa baadhi ya ardhi ya tz na kutangaza vita.
Je? Hapo mwenye kosa nani?? Na je? Ni nani hapo ni mchokozi wa mwenzake?

Ndio mana hata kamanda gadafi alimuunga mkono idd amin na kumsaidia kwa sababu uhuni wote alikuwa anaufahamu.

Una umri gani?
 
unapoamua kuja na negative criticism dhidi ya Nyerere na maamuzi yake lazima uje hapa na parallel justification ya kufanya hivyo kwa kuitizama status quo...kwamba ni yapi mazuri yanayofanywa na watawala wa sasa TZ ambayo yanayokufanya uje na hizi on and off negative critiques dhidi ya Nyerere...Kwangu mimi...kwa kifupi sana nina support maamuzi ya Nyerere kumuondoa Idd Amin Tz na uganda..kwani tayari alikuwa ni threat tosha kwa security ya TZ kwa wakati huo...Labda swali la msingi kwako mleta mada....ni logic gani ilitumiwa na JK alipoivamia Comoro na kuwaondoa waasi kwa kutumia majeshi ya TZ????.......labda ukijibu swali hili utakuwa umejijibu mwenyewe hoja yako.......
 
Hivi ilikuwa inahusu nini sisi raia wa Tanzania kulazimishwa kuvaa T-Shirts za Uganda People's Congress (UPC).
 
NasDaz
Sijakurupuka narudia tena upeo kwenye medani ya siasa bado kidogo itachukua muda; Idd Amin alikuwa ni dikteta mwenye kuuwa raia wake kama kuku; halikuwa kosa kuwapatia hifadhi raia ambao walikuwa wanakimbia mauaji; majaribio yaliyofanyika kumuua Idd Amin yalifanyika ndani ya Uganda ni lazima ukubali Amin hakuwa kipenzi cha waganda hasa alipoanza kuua raia ovyo. Kwa raia hao kukimbilia Tanzania sidhani kama kulijustify kitendo chake cha kuvamia Tanzania na kuua watanzania wasio na hatia; hivi sasa tunahifadhi wakimbizi wa Rwanda na Burundi sidhani kama Kagame akiamua kutushambulia kwa vigezo vya wakimbizi tutamwacha;Amin alijiamini baada ya ahadi za silaha na Ghadaf kitu ambacho alipatiwa; kumwondoa ilikuwa sawa kabisa tungemwacha angeendela kabla ya vita vya Kagera majeshi yake yalishawahi kuvuka mpaka na kurudi sasa sielewi mganda wewe unachohoji.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Mkuu wangu Chama,
Mbona nimeongea lugha nyepesi sana kuweza kueleweka na yeyote aliye mtumiaji wa Kiswahili?! Mbona ung'ang'ania sana suala kwamba haikuwa kosa Nyerere kuwapokea wakimbizi toka Uganda wakati nami nimeshaweka wazi kwamba Nyerere hakufanya kosa kumkaribisha Obote?! Unaona taabu gani kupitia post zangu za nyuma?! Ina maana ni mahaba yako kwa Nyerere ndiyo yanayokufanya ushindwe hata kuyaona mambo madogo kama haya?! Narudia, haikuwa kosa kwa Nyerere kumpokea Obote na wafuasi wake; kosa ilikuwa Nyerere kumruhusu Obote kuendesha harakati za kijeshi ndani ya ardhi ya Tanzania huku harakati hizo zikiwa pia zinafadhiliwa na serikali....ugumu wako katika kuelewa hapo upo wapi?! As far as ilishathibitika kwamba Obote alikuwa anaendesha harakati za kijeshi dhidi ya Amin kutokea Tanzania; Amin sawa na kiongozi yeyote yule ange-react tu. Umetoa mfano wa wakimbizi wa Rwanda na Burundi, am sorry to say tht huo ni mfano mfu kwavile hakuna kikundi chochote ama kutoka Rwanda au Burundi ambacho kinaendesha harakati za kijeshi kutokea Tanzania huku wakipata msaada huo kutoka Tanzania. Kwahiyo halitakuwa jambo linalokubalika endapo ama Rwanda au Burundi wakiishambulia Tanzania. Lakini endapo itadhihirika kwamba kuna harakati za kijeshi dhidi ya Rwanda au Burundi; harakati ambaz zinapata support kutoka Tanzania; then ama Rwanda au Burundi watakuwa na haki kutushambulia.

Sheria za kimataifa juu ya vita zinatamka wazi kwamba, unaweza kuanza kushambulia endapo imedhihirika kwamba adui yako anaonesha dalili za kutaka kukushambulia. Obote baada ya kuingia Tanzania na kufuatiwa na wafuasi wake; hapo hapo kwa msaada wa Nyerere wakapanga kwenda kuivamia Uganda. Hapo ndipo linapoanzia kosa la Nyerere. Alitakiwa kumpokea Obote na wafuasi wake kama wakimbizi tu na si vinginevyo. Tatizo lenu supporters mnaanzia pale Amin alipoingiza majeshi Tanzania na kwa makusudi mnaacha kuzingatia harakati za Obote mara baada kupinduliwa.
 
Hivi ilikuwa inahusu nini sisi raia wa Tanzania kulazimishwa kuvaa T-Shirts za Uganda People's Congress (UPC).

Mkuu ritz,
Upo serious au unatania?! Ina maana ni kweli watu walikuwa wanalazimishwa kuvaa t-shirt za UPC?! Tell me u're kidding!
 
Zakumi said:
First thing first, hakuna mwananchi asiye na uwezo wa kufikiri. Tukirudi kwenye mada kamili kwa maoni yangu binafsi, ufisadi ni matokeo na sio kiini matatizo yetu.
Kiini cha matatizo mengi ya Tanzania ni kuwa katika miaka ya 60, 70 na 80, Tanzania haikujenga human resource capabilities zake ambazo zingeweza kulisaidia taifa katika mazingira ya kisasa ya kiuchumi
Zakumi
Unaposema ufisadi ni matokeo na sio kiini cha matatizo yetu unamaanisha kitu gani? Je baada ya 1980 hadi 2012 tumeweza kujenga hizo human resource capabilities? Ufisadi umekuwa ni kikwazo kikubwa sana kwenye maendeleo ya uchumi wetu; badala ya watu kujadili hoja za msingi tunaendesha propaganda ambazo hazina maana yeyote ile; leo serikali imeshindwa kutoa mkopo wa vyuo vya elimu ya juu kutokana na ukosefu fedha hii si aibu rasimali zote tulizokuwa nazo bado tunashindwa kusomesha wanafunzi wetu? Na hili nalo pia tulaumu vita vya Uganda?

Chama
Gongo la Mboto DSM
@Zakumi, nchi ambayo ufisadi umekithiri to the extent umekuwa kama a way of life, yani kila kitu ni rushwa utajenga vipi human resources capabilities?Please tell me its a joke!
chama, a very good question...
 
unapoamua kuja na negative criticism dhidi ya Nyerere na maamuzi yake lazima uje hapa na parallel justification ya kufanya hivyo kwa kuitizama status quo...kwamba ni yapi mazuri yanayofanywa na watawala wa sasa TZ ambayo yanayokufanya uje na hizi on and off negative critiques dhidi ya Nyerere...Kwangu mimi...kwa kifupi sana nina support maamuzi ya Nyerere kumuondoa Idd Amin Tz na uganda..kwani tayari alikuwa ni threat tosha kwa security ya TZ kwa wakati huo...Labda swali la msingi kwako mleta mada....ni logic gani ilitumiwa na JK alipoivamia Comoro na kuwaondoa waasi kwa kutumia majeshi ya TZ????.......labda ukijibu swali hili utakuwa umejijibu mwenyewe hoja yako.......

- Mkuu hlod on a second, hapa tunakata ishus za policies za Mwalimu na effect yake to this Nation, hapa tunakata ishu ya kumpiga Amin na wewe unaweza kufungua ya mazuri ya MWalimu, otherwise ni vyema ukasema uzuri wa kumsambulia Amin mpaka ndani ya nchi yake, kuliko kuwaamulia wengine what to say na what to writte, that is never the JF's Mission!

William.
 
Back
Top Bottom