Msomali mimi hata sielewi tunapiganiaga nini hahahaWakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hivyo wenyewe kwa wenyewe?
Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo!
Ni majini yaliwapanda kichwani au kitu gani kiliwapata wakawa wanapigana vita visivyoisha?!
Siad BalleSaid Balle anajua kila kitu
Mambo ya dini na hao Al-Shabaab yalikuja baadaye sana miaka ya 2000's, kama baada ya miaka 15 hivi tangu vita vianze.Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Wanapigana sababu ya koo. Sio makabila maana ni kama wanafanana, tofauti ndogo ya clans zao inafanya huyu asikubali kuwa chini ya yule bora waharibikiwe wote.Msomali mimi hata sielewi tunapiganiaga nini hahaha
Awali kabisa sababu zilikuwa kushindania mamlaka. Yaani kulikuwa na vijikundi vichache vinashindania authorityMambo ya dini na hao Al-Shabaab yalikuja baadaye sana miaka ya 2000's, kama baada ya miaka 15 hivi tangu vita vianze.
Na hukukuwahi kutokea hata clan moja yenye nguvu kuzishinda zote au yenye kuweza kuzishawishi clans nyingine zigawane madaraka zitawale kwa pamoja?Wanapigana sababu ya koo. Sio makabila maana ni kama wanafanana, tofauti ndogo ya clans zao inafanya huyu asikubali kuwa chini ya yule bora waharibikiwe wote.
Visirani na visasi ni jadi yao. Ukichanganya na Allahu akbar ndio kabisa mambo yanaharibika zaidi.
Yaan ww unatujua kweli, ndio hivyohivyo mbwa sisiWanapigana sababu ya koo. Sio makabila maana ni kama wanafanana, tofauti ndogo ya clans zao inafanya huyu asikubali kuwa chini ya yule bora waharibikiwe wote.
Visirani na visasi ni jadi yao. Ukichanganya na Allahu akbar ndio kabisa mambo yanaharibika zaidi.
Uko sahihi ila usiniite mkuu na wewe,Mkuu hivi vita vya ndugu zako huwa vinastaajabisha sana na kusikitisha kwa pamoja maana hata madai ya wapiganaji hayaeleweki ni nini.
We mbona muongo muongo sana!?..unajua kilichowakuta wamarekani walipopeleka jeshi hapo,walipeleka jeshi kufuata nini!?..unaujua umoja wa mahakama za kiislam hapo Somalia na mafanikio yao na nchi kutulia,kwa nini marekani na uingereza waliwapiga na hapajatulia mpaka leo?..jana Trump kajisifu kaua alshabaab,kinampeleka nini hapo?Wasomali wanachonganishwa na Waarabu.
Tueleze ukweli mwenzanguWe mbona muongo muongo sana!?..unajua kilichowakuta wamarekani walipopeleka jeshi hapo,walipeleka jeshi kufuata nini!?..unaujua umoja wa mahakama za kiislam hapo Somalia na mafanikio yao na nchi kutulia,kwa nini marekani na uingereza waliwapiga na hapajatulia mpaka leo?..jana Trump kajisifu kaua alshabaab,kinampeleka nini hapo?