Vita vya kudumu Somalia sijawahi kuvielewa sababu zake, ni kama walikuwa wamechanganyikiwa

Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Kuwapa sehemu ya nchi ndo safari ya kuitaka nchi yote kama Israel na Palestina.
 
Moja kati ya vitu visivyosemwa Tanzania ni Somalia chini ya Siad Barre kuwa msuluhishi wa Uganda na Tanzania kabla ya vita ya Kagera. Mazungumzo ya amani yalikuwa yanafanyikia Mogadishu (Mogadishu accords)... shuleni tunaambiwa tu nduli alivamia Kagera tukampiga.
 
Somalia na Djibouti walikataa kuchukua mikopo ya World Bank, yule Siad Barre ndio alikuwa kimdomo mdomo sana, CIA walifanyia kitu kibaya sana..

Ila kikubwa kabisa, ni rasilimali ya Bandari ya Berbera ambayo baba yake George Bush alikuwa anataka kuicontrol..

Pia ubaguzi wa kiukoo ni changamoto kubwa!
 
Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Umpe jambazi anachokitaka? Na kesho akija jambazi mwingine? Unafanyaje? Kweli JF wehu wanaongezeka aisee
 
Wanapigana sababu ya koo. Sio makabila maana ni kama wanafanana, tofauti ndogo ya clans zao inafanya huyu asikubali kuwa chini ya yule bora waharibikiwe wote.

Visirani na visasi ni jadi yao. Ukichanganya na Allahu akbar ndio kabisa mambo yanaharibika zaidi.
Na huko Somalia ndiko asili ya watutsi. Atleast waRangi wana asili ya Ethiopia, tunaweza kurelax..
 
Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe?

Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo!

Ni majini yaliwapanda kichwani au kitu gani kiliwapata wakawa wanapigana vita visivyoisha?!
Somalia
Sudan
Congo
Ni kama akili zao zinaelekeana
 
Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Utakuwa huna akili for sure Yani mfano kitokee kikundi Cha wahuni wenye siraha hapa DSM kinapigana harafu Rais awaite awape Kipande Cha DSM mambo yaishe for sure utakuwa akili huna
 
Sasa huu mwaka wa ngapi serikali ya DRC imeshindwa kuwafuta hao wahuni?
Imepoteza watu wangapi, imepoteza pesa kiasi gani na muda walioupoteza ni kiasi gani?
Kongo kuna mahekari maelfu ukiwapa kasehemu kwa masharti ya amani si unakuwa umesolve.
Miaka na miaka watoto wa maskini waliovalishwa nguo za jeshi wanaokufa for nothing.
Watanzania wengi sana wamekufa huko. Na wanaendelea kufa.
Kongo haitatulia kwa mtutu wa bunduki.
FRANCIS DA DON
 
Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Unaanzaje kugawa nchi vipande?, Wanaotaka hivyo kwanini wasiishi kama raia wa kawaida.
 
Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe?

Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo!

Ni majini yaliwapanda kichwani au kitu gani kiliwapata wakawa wanapigana vita visivyoisha?!
Uislam ni tishio na adui mkubwa wa mashetani.

Hakuna nchi yenye Waislam wengi itawachwa iji5awale salama na fitna za kishetani za illuminati na free masons.

Ukiona nchi ya Waoslam haiingiliwi nq matatizo elewa kuwa hao wanaotawala ni mapandikizi ya kishetani na ni Waislam jina tu.
 
Mtu huwezi kula mirungi ukawa mzima kichwani
 
Sasa huu mwaka wa ngapi serikali ya DRC imeshindwa kuwafuta hao wahuni?
Imepoteza watu wangapi, imepoteza pesa kiasi gani na muda walioupoteza ni kiasi gani?
Kongo kuna mahekari maelfu ukiwapa kasehemu kwa masharti ya amani si unakuwa umesolve.
Miaka na miaka watoto wa maskini waliovalishwa nguo za jeshi wanaokufa for nothing.
Watanzania wengi sana wamekufa huko. Na wanaendelea kufa.
Kongo haitatulia kwa mtutu wa bunduki.
FRANCIS DA DON
Ugiwa Kipande hicho hao waasi wakihamia Nako wakataka wapewe?

Mauji ni kitu Cha kawaida sehemu zenye machafuko
 
Siad Barre aliondolewa tangu mwaka 1991 lakini vita havijawahi kwisha mpaka leo.
Sijajua kwanini wakongwe wa Afrika kila walipotolewa ilibakia laana ya kuuana.
 
Siad Barre aliondolewa tangu mwaka 1991 lakini vita havijawahi kwisha mpaka leo.
Ndio mtu alieituliza somalia,baada yakuondolewa,haijawahi kutulia...aliondolewa na mabeberu lengo ni kucontrol Horn of Africa
 
Uislam ni tishio na adui mkubwa wa mashetani.

Hakuna nchi yenye Waislam wengi itawachwa iji5awale salama na fitna za kishetani za illuminati na free masons.

Ukiona nchi ya Waoslam haiingiliwi nq matatizo elewa kuwa hao wanaotawala ni mapandikizi ya kishetani na ni Waislam jina tu.
Kwa hiyo Illuminati na Freemasons wana nguvu kuliko Allah??
 
Somalia na Djibouti walikataa kuchukua mikopo ya World Bank, yule Siad Barre ndio alikuwa kimdomo mdomo sana, CIA walifanyia kitu kibaya sana..

Ila kikubwa kabisa, ni rasilimali ya Bandari ya Berbera ambayo baba yake George Bush alikuwa anataka kuicontrol..

Pia ubaguzi wa kiukoo ni changamoto kubwa!
Somalia imepokea mikopo mingi tu ya WB na IMF kati ya 1970's mpaka 1980's hadi ikashindwa kulipa.
 
Back
Top Bottom