Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah alitupa uwezo binadam na majini wa kufikiri wenyewe na kuamuwa.Kwa hiyo Illuminati na Freemasons wana nguvu kuliko Allah??
Yan kuna watu wajinga sana umpe jambaz Kipande cha ardhi atatokea mwingine mbabe zaid anataka kikubwa na mwingine mwishowe apo hamna taifaUmpe jambazi anachokitaka? Na kesho akija jambazi mwingine? Unafanyaje? Kweli JF wehu wanaongezeka aisee
Alshababu inasapotiwa kifedha na kisilaha na Qatar.We mbona muongo muongo sana!?..unajua kilichowakuta wamarekani walipopeleka jeshi hapo,walipeleka jeshi kufuata nini!?..unaujua umoja wa mahakama za kiislam hapo Somalia na mafanikio yao na nchi kutulia,kwa nini marekani na uingereza waliwapiga na hapajatulia mpaka leo?..jana Trump kajisifu kaua alshabaab,kinampeleka nini hapo?
Ila kweli aiseeh Mimi mke wa kwanza wa baba angu ni msomali aiseeh anaipenda ugomvi anaipenda uchawi anaipenda visasi ametusambaratisha balaa nadhani wasomali si watu Waziri kabisaaaWanapigana sababu ya koo. Sio makabila maana ni kama wanafanana, tofauti ndogo ya clans zao inafanya huyu asikubali kuwa chini ya yule bora waharibikiwe wote.
Visirani na visasi ni jadi yao. Ukichanganya na Allahu akbar ndio kabisa mambo yanaharibika zaidi.
Ishu n tofaut Rwanda ikimega Kipande cha ardhi Congo badae tena itamega Tanzania na BurundiMbona Pakistan ilijitenga kutoka India na Bangladesh ikajitenga kutoka Pakistan??
Wew itakuwa tutsi hujibu hoja na huna hoja ya msingi inamana wamasai wa kenya wakibagulia Kenya Tanzania tunatakiwa tuingize Jeshi KenyaKuna raia wenye asili ya Banayarwanda wanaolalamika kubaguliwa kikabila Tanzania? Kuna malalamiko ya Rwanda kwamba kuna FDLR Tanzania?
Alshabaab ilizaliwa baada ya kifo cha union of islamic courts, islamic courts iliondolewa na USA na UKAlshababu inasapotiwa kifedha na kisilaha na Qatar.
Trump hajaua Alshababu kaua ISIS wanaosapotiwa na Waarabu.
Alshabaab hawana uhusiano wowote na Islamic Courts Islamic Courts hawakuwa Magaidi walikuwa wanasema kutokana na Chaos Somalia basi wao wawe wanatumia mild form of Sharia ili kutoa justice kwa raia wa chini.Alshabaab ilizaliwa baada ya kifo cha union of islamic courts, islamic courts iliondolewa na USA na UK
Soma uelewe, marekani waliibomoa islamic courts wakaleta alshabaab,Ili Somalia paendelee kutotulia, islamic courts waliituliza SomaliaAlshabaab hawana uhusiano wowote na Islamic Courts Islamic Courts hawakuwa Magaidi walikuwa wanasema kutokana na Chaos Somalia basi wao wawe wanatumia mild form of Sharia ili kutoa justice kwa raia wa chini.
Lakini Alshabaab wanataka kuishika Somalia kwa nguvu halafu ndio iwe platform ya kusambaza Idiolojia ya siasa kali za Waarabu katika East Africa na hatimae Southern Africa na the Congo.
Said Balle»Siad BarreSaid Balle anajua kila kitu
Waulize wamarekani,mi na-observe wafanyachoKwa nini Marekani hawataki Somalia Itulie?
Waliwashambulia kwa silaha na kuvuruga utawala wao,wakapoteaWamarekani walibomoa vipi Islamic Courts na kuanzisha Al-Shabaab?
Uislam ni tishio na adui mkubwa wa mashetani.
Hakuna nchi yenye Waislam wengi itawachwa iji5awale salama na fitna za kishetani za illuminati na free masons.
Ukiona nchi ya Waoslam haiingiliwi nq matatizo elewa kuwa hao wanaotawala ni mapandikizi ya kishetani na ni Waislam jina tu.