Vita vya kudumu Somalia sijawahi kuvielewa sababu zake, ni kama walikuwa wamechanganyikiwa

Vita vya kudumu Somalia sijawahi kuvielewa sababu zake, ni kama walikuwa wamechanganyikiwa

Wew itakuwa tutsi hujibu hoja na huna hoja ya msingi inamana wamasai wa kenya wakibagulia Kenya Tanzania tunatakiwa tuingize Jeshi Kenya
Unajua mojawapo ya sababu Russia ilizozitoa kuvama Ukraine??
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-04-14-29-48-198.jpg
    Screenshot_2025-02-04-14-29-48-198.jpg
    384.5 KB · Views: 1
Somalia na Djibouti walikataa kuchukua mikopo ya World Bank, yule Siad Barre ndio alikuwa kimdomo mdomo sana, CIA walifanyia kitu kibaya sana..

Ila kikubwa kabisa, ni rasilimali ya Bandari ya Berbera ambayo baba yake George Bush alikuwa anataka kuicontrol..

Pia ubaguzi wa kiukoo ni changamoto kubwa!
Djibouti ana Military base ya Marekani kubwa kuliko zote kwa Africa.

Nchi imetekwa kila kona wanajeshi wa Marekani
 
Cha ajabu Somaliland waliojitenga wako vizuri kabisa! Sijui Mogadishu wana matatizo gani?
 
Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Eti awape ardhi, ardhi siyo mkate
 
Back
Top Bottom