MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kuwapa sehemu ya nchi ndo safari ya kuitaka nchi yote kama Israel na Palestina.Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Umpe jambazi anachokitaka? Na kesho akija jambazi mwingine? Unafanyaje? Kweli JF wehu wanaongezeka aiseeSomalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Na huko Somalia ndiko asili ya watutsi. Atleast waRangi wana asili ya Ethiopia, tunaweza kurelax..Wanapigana sababu ya koo. Sio makabila maana ni kama wanafanana, tofauti ndogo ya clans zao inafanya huyu asikubali kuwa chini ya yule bora waharibikiwe wote.
Visirani na visasi ni jadi yao. Ukichanganya na Allahu akbar ndio kabisa mambo yanaharibika zaidi.
SomaliaWakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe?
Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo!
Ni majini yaliwapanda kichwani au kitu gani kiliwapata wakawa wanapigana vita visivyoisha?!
Utakuwa huna akili for sure Yani mfano kitokee kikundi Cha wahuni wenye siraha hapa DSM kinapigana harafu Rais awaite awape Kipande Cha DSM mambo yaishe for sure utakuwa akili hunaSomalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Sasa huu mwaka wa ngapi serikali ya DRC imeshindwa kuwafuta hao wahuni?Utakuwa huna akili for sure Yani mfano kitokee kikundi Cha wahuni wenye siraha hapa DSM kinapigana harafu Rais awaite awape Kipande Cha DSM mambo yaishe for sure utakuwa akili huna
Unaanzaje kugawa nchi vipande?, Wanaotaka hivyo kwanini wasiishi kama raia wa kawaida.Somalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe
Uislam ni tishio na adui mkubwa wa mashetani.Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe?
Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo!
Ni majini yaliwapanda kichwani au kitu gani kiliwapata wakawa wanapigana vita visivyoisha?!
Ugiwa Kipande hicho hao waasi wakihamia Nako wakataka wapewe?Sasa huu mwaka wa ngapi serikali ya DRC imeshindwa kuwafuta hao wahuni?
Imepoteza watu wangapi, imepoteza pesa kiasi gani na muda walioupoteza ni kiasi gani?
Kongo kuna mahekari maelfu ukiwapa kasehemu kwa masharti ya amani si unakuwa umesolve.
Miaka na miaka watoto wa maskini waliovalishwa nguo za jeshi wanaokufa for nothing.
Watanzania wengi sana wamekufa huko. Na wanaendelea kufa.
Kongo haitatulia kwa mtutu wa bunduki.
FRANCIS DA DON
Sijajua kwanini wakongwe wa Afrika kila walipotolewa ilibakia laana ya kuuana.Siad Barre aliondolewa tangu mwaka 1991 lakini vita havijawahi kwisha mpaka leo.
Ndio mtu alieituliza somalia,baada yakuondolewa,haijawahi kutulia...aliondolewa na mabeberu lengo ni kucontrol Horn of AfricaSiad Barre aliondolewa tangu mwaka 1991 lakini vita havijawahi kwisha mpaka leo.
Kwa hiyo Illuminati na Freemasons wana nguvu kuliko Allah??Uislam ni tishio na adui mkubwa wa mashetani.
Hakuna nchi yenye Waislam wengi itawachwa iji5awale salama na fitna za kishetani za illuminati na free masons.
Ukiona nchi ya Waoslam haiingiliwi nq matatizo elewa kuwa hao wanaotawala ni mapandikizi ya kishetani na ni Waislam jina tu.
Somalia imepokea mikopo mingi tu ya WB na IMF kati ya 1970's mpaka 1980's hadi ikashindwa kulipa.Somalia na Djibouti walikataa kuchukua mikopo ya World Bank, yule Siad Barre ndio alikuwa kimdomo mdomo sana, CIA walifanyia kitu kibaya sana..
Ila kikubwa kabisa, ni rasilimali ya Bandari ya Berbera ambayo baba yake George Bush alikuwa anataka kuicontrol..
Pia ubaguzi wa kiukoo ni changamoto kubwa!