2006 ulikua na umri gani?
Ukabila na ujinga ndio akili yako ilipoishia 👎Na huko Somalia ndiko asili ya watutsi. Atleast waRangi wana asili ya Ethiopia, tunaweza kurelax..
Nikuoneshe, nafikiri wakati huo ulikua unakariri tebo ya pili
Typring errorSaid Balle»Siad Barre
Djibouti ana Military base ya Marekani kubwa kuliko zote kwa Africa.Somalia na Djibouti walikataa kuchukua mikopo ya World Bank, yule Siad Barre ndio alikuwa kimdomo mdomo sana, CIA walifanyia kitu kibaya sana..
Ila kikubwa kabisa, ni rasilimali ya Bandari ya Berbera ambayo baba yake George Bush alikuwa anataka kuicontrol..
Pia ubaguzi wa kiukoo ni changamoto kubwa!
Ability fupiYa kula?
Eti awape ardhi, ardhi siyo mkateSomalia sababu zao za kudundana ziko wazi kuliko hata huko DRC.
Somalia ni issue ya dini . Yaani radical against poapoa.
Kongo hawana sababu ya maana.
Rais wa Kongo alishindwa kukaa na m23 awape sehemu ya ardhi wanayoitaka mambo yaishe