Vita vya Matumizi ya Silaha za masafa Marefu sasa vita imeanza Rasmi!!

Vita vya Matumizi ya Silaha za masafa Marefu sasa vita imeanza Rasmi!!

Unamdomo mchafu kama nyuma ya nyani man

Yaani Russia kwa anavyochezeshwa na Ukraine ndo useme ni bingwa wa vita?
Mdomo mchafu kiaje man!?
Ushasahau kama Ukraine inasaidiwa na NATO NZIMA!?
Au unajisahaulisha man!?
 
Nani anapigana na watu wake pekee yake mkuu!?
Hiv unajua karibu nusu ya waukrein ni warusi na karibu mataifa 15 yaliyojimega so wakati urusi anapigana wakati huo mataifa yote yalikuwa ndan yake so Russia anapigana na waukrein ambao kimsingi ni jamii moja inayojuana vizuri. Kuliko westerners
 
... JIONI YA LEO WAMERUSHA MAKOMBOLA YA MASAFA MAREFU YA UINGEREZA NDANI YA RUSSIA!
Kwa wauza silaha, vita ni michezo kama michezo mingine. Wanacheza wenye ubavu unaokaribiana, kila mtu akipigania malengo yake yenye maslahi makubwa.

Mpambano ni baina ya US + NATO Vs Russia ( hasimu wao wa muda mrefu) uwanja ukiwa ardhi ya Ukrein

Hilo la kutumia masafaa marefu lolionekana mapema, USA amefanya substitution kuweka mshambuliaji anayemuamini zaidi ili angalau aona matokeo yatakuwaje. Kila mara anapofanya sub anaambulia hasara.
 
Good analysis
 
Ni kisingizio tu cha zelensky pamoja na kupewa na bado hata shida sijui baada ya hapo atadai sababu ya kushindwa ni ipi tena
Zelensky hajawahi kushindwa, adui alishafika ndani kafanikiwa kumtoa nje sasa wanapambana mipakani huko na Kurks eneo la urusi mpakani inadhibitiwa na jeshi la Ukraine
 
Usiwe unaropoka man,dunia hii RUSSIA KIVITA NI WAR MACHINE.
Dunia hii taifa lililozoea vita na lenye experience ya vita ni Russia.
Zungumza vyote ila kivita hakuna taifa sio hata hiyo USA yenyewe inaweza kupambana na Russia.
Uliza Korea war USA alikumbana na nini Russia ilipoamua kuisaidia North Korea pamoja na China.
Russia ya zamani sio hii ya kusumbuliwa na Ukraine
 
Kumbe Donbas region ni mipakani siyo majimbo manne ya Ukraine sawa na nchi ya Belgium acha kutufanya mafala
Sasa ukisikia kuna vita Ukraine mawazo yako unafkiri vinapigwa wapi eneo gani? maeneo ndio hayo ya Donbas russia amechukua maeneo partially vita inaendelea sasa kama urusi ana majimbo 4 na ametangaza utawala wake na sheria zake kwenye hayo majimbo vita iko wapi? jiongezee na nenda kaangalie ramani hayo ni maeneo ya mpakani mkuu
 
Ni vizuri kuendelea kuiheshimu USA na kuipa hadhi yake mkaacha kabisa kuifananisha na vitaifa kama vya Ulaya na ama Ukraine ambayo inaisumbua Russia

Tuandikeni kwa tahadhari wakuu huku tukijua kuwa, jimbo moja tu hapo USA, GDP yake ni sawa na Russia yote!
Uongo!
 
Wakati USA ikipigana na Vietnam GDP yake ilikuwa ndogo kuliko ya Vietnam?
Mbona USA aliamua kuachana na hiyo vita bila kufikia malengo yake?
Hali ndivyo ilivyokuwa Afghanistan ya Wataliban, au Somalia ya akina Waria; USA unayemchunuku alichomoa!!
GDP peke yake haiwezi kuwa determinant factor ya kushinda vita; japo ni kigezo muhimu. Fita ni fita mura; havina macho.
 
Back
Top Bottom