Vita vya Matumizi ya Silaha za masafa Marefu sasa vita imeanza Rasmi!!

Miji mikuu iliyo kalibu, wewe ni kiachaa au ujinga wako kichwani, kalibu ni kitu gani?
 
Urusi imevurumsha kumbola lake la Masafa marefu kwenda Ukraine makombola rakitokea katika mji wa Astrakhan sasa Ukraine kunaanza kuchangamka
 
vita dhidi ya Moldova , Georgia na Ukraine ?
 
Hiv unajua karibu nusu ya waukrein ni warusi na karibu mataifa 15 yaliyojimega so wakati urusi anapigana wakati huo mataifa yote yalikuwa ndan yake so Russia anapigana na waukrein ambao kimsingi ni jamii moja inayojuana vizuri. Kuliko westerners
Urusi sio USSR , usichanganye madesa , Urusi na Ukraine wote walikuwa ndani ya USSR na sio ndani ya Urusi
 
Russia imeshanyakua majimbo manne na imeshaweka hadi mamluki wake.
Haijalishi kuwa ni mpakani ila ndio yameshanyakuliwa.
Vita inayoendelea ni ya Ukraine kulazimisha kuyarudisha hayo maeneo.
 
🀣

Nyinyi vijana wa 2000 mnamatatizo sana! Afghanistan USA alienda kwa malengo gani mkuu! Unaweza kuyaeleza hapa?
 
Naona kama Russia anaenda kuumizwa kwani enzi zake zilikuwa ni zile enzi Russia ilikuwa ni USSR. Lakini kwa sasa naona hiko ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa. Hizo nyuklia Putin alizosema zinaweza kutumika ikibidi na kujijengea makontena (shetlers)eti ya kujihifadhi dhidi ya mionzi hatari ya Nukes ni aina fulani ya kichekesho au mkwara wa aina yake.
 
Ni kweli kabisa.

Mtu ukivamiwa na wahalifu Basi una haki zote kabisa za kujihami na kujilinda kwa kutumia njia yoyote ile inayowezekana.
Ni sahihi kabisa ila isije tena kuwa kwa kujihami kwako unapitiliza hadi na wewe unakuwa tena umevamia kwake i.e. unageuka kuwa mvamizi.
Anachafanya Ukraine ni kuharibu na kubomoa vituo vya kijeshi, maghala ya silaha n.k. vya Mrusi ambavyo vilitumika au vinatumika kuwezesha mashambulizi dhidi ya Ukraine na vipo mbali kiasi kwamba inabidi kutumia silaha/makombora ya masafa marefu kitu ambacho mwanzoni alizuiliwa na waliotoa makombora hayo. Kwa kitendo cha kibali kutolewa kwa Ukraine na chap' Ukraine kuanza kuyatumia ndo tunamwona Mrusi akihaha na kutoa vitisho na mikwara ya kutumia Nyuklia ikibidi. Maji yamemfika Mrusi shingoni.
 
Sawa mmarekan wa kwa tumbo
 
NATO wa micheweni bwana? Wewe ndiye wa kuilecture URUSI?
 
Wee kweli umechanganyikiwa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Sasa unakuta mtu kama Huyu Ndiye unabishana nae ,like seriously wenzio Kila siku majimbo Yana chukuliwa huko wewe unasema Ukraine kafanikiwa kuwatoa Russia nchini kwake !!
Mmmmh! Hivi anaye lialia kwa sasa ni yupi kati ya Ukraine na Urusi? Hukumwona Mrusi akilalamika kwamba majitu ya masafa marefu yame tumika dhidi yake na kisha akaanza kujihami kwa kujitengenezea Shetlers?
 
Mmmmh! Hivi anaye lialia kwa sasa ni yupi kati ya Ukraine na Urusi? Hukumwona Mrusi akilalamika kwamba majitu ya masafa marefu yame tumika dhidi yake na kisha akaanza kujihami kwa kujitengenezea Shetlers?
Russia Analia Lia !? Yaani mtu aliyeanzisha vita anaanzaje kulia Kwa mfano , Kwanza lengo la Hiyo vita unalijua !? Kama unalijua hauoni kuwa Russia mpaka sasa Ndiye mnufaika maana Ukraine mpaka Leo haijafanikiwa kujiunga na NATO na Hao NATO wenyewe pia wanaogopa kuiingiza Ukraine ktk umoja wao , vita hata tuseme kuwa Leo iiishe hapo mnufaika ni Russia kwanza atabaki na vipande vya ardhi ambavyo amevimega toka Ukraine pili atakuwa amefanikiwa kuizuia Ukraine kujiunga na maadui wake NATO , so Russia anaanzaje kulia Lia Kwa mfano 🀣 🀣

You must kidding
 
Russia imeshanyakua majimbo manne na imeshaweka hadi mamluki wake.
Haijalishi kuwa ni mpakani ila ndio yameshanyakuliwa.
Vita inayoendelea ni ya Ukraine kulazimisha kuyarudisha hayo maeneo.
Sasa kama Ukraine anapigana kurudisha maeneo maana yake vita inapiganwa ndani yake hayo maeneo na ndio maana russia inapiga kelele vita iishe ukraine imuachie hayo majimbo, Lakini Ukraine wameahidi hadi Cremea itarudi kama ilivyo mipaka yao ya asili, wewe tulia utajanambia
 
Usiongope mkuu,Russia haijawahi kupiga kelele kuwa iachiwe hayo maeneo.
Bali iliwahi kutoa masharti ya mazungumzo ya amani ambayo ni Urkaine kuondoa askari wake Kursk na Ukraine kukubali kuwa majimbo yaliyochukuliwa na Russia ni ardhi ya Russia,tofauti na hapo hakuna makubaliano ya amani.
Ukraine kakataa na Russia akasema basi hakuna makubaliano ya amani vita iendelee.
Na hadi sasa Ukraine imepoteza askari wengi kiasi inakamata watu hovyo barabarani kuwaingiza jeshini.
Na Russia inazidi kusonga mbele zaidi.
 
Tena kamega 18% ya ardhi ya Ukraine ukichanganya na Crimea ni total ya 25+% ya ardhi ya Ukraine.
 
Urusi ilipeleka wanajeshi wake Kyiv wakashinda vita wakatoka, wakasajili vijana wao miaka 18 na 60 kwa nguvu na kuwapeleka vitani wengine wakakimbia wote wakaenda na maji, wakapeleka mpaka wafungwa pia wameuliwa na kama utakumbuka ata mtanzania wenu pia alikufa vitani na vita bado mbichi sasa wamekodi askari elfu 10 kutoka North Korea

Wewe umvivu ata wa kusoma habari, russia anapiga kelele aachiwe hayo majimbo amalize vita,
 
Hizo mambo za Urusi kukodi askari sio zote ni za kweli.
Uwe na akili yenye kuchuja habari sio tu kumeza habari zisizo na uhakika.
North Korea askari hawajakodiwa bali ni makubaliano ya kijeshi yaliyoingiwa baina ya Russia na North Korea.
Kitu ulichokisahau ni kuwa Urusi bado ina active personnel wengi sana.
Yote iliyofanya ni KUZUIA vifo vingi vya active personnel wake jeshini.
Jeshi la Ukraine liko DISMANTLED na hakuna asiyejua humu ndani.
Narudia tena USITUONGOPEE RUSSIA HAIJAWAHI KULALAMIKA NA KUPIGA KELELE IACHIWE HAYO MAENEO.
BALI ILILETA MASHARTI KUWA UKRAINE IKITAKA AMANI BASI IFAHAMU KUWA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA URUSI NI YA URUSI.
Usitake kutudanganya hapa.

Hivi unajua kama Hadi Sasa Russia imeshaongeza asilimia zaidi ya 5% katika ardhi zinazonyakuliwa!?
Au unajisahaulisha kuwa Urusi inasonga mbele viunga vya Donbas kila leo!?
Au unataka tukuletee ripoti ya Urusi kusonga mbele zaidi huko Ukraine!??

Hata kama ni ushabiki maandazi sio wa kiasi chako aisee wee ni too much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…