Vita vya Nuclear vinakuja toeni watoto wenu EMS muwarudishe Kayumba

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika.

Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? ..

Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia kuzuia athari za Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita, una lipia nini sasa? Vyeti? Ama?
Ni kichaa ulicho nacho ama nini?

Unasomesha mtoto EMS wakati hatuna Tume Huru ya Uchaguzi?

We vipi wewe?

Mimi nimekaa nasubiri vita vianze nipate mademu wa bure ( wakimbizi )

Na Mimi " Niwaonjemo" Wakimbizi wa Iran, Syria etc.

Haya sasa " Twenzetu" 👇👇👇

Kimbia haraka sana hadi shule ya EMS kamtoe mtoto wako, umrudishe Kayumba.

Thanks me later 🙏🙏🙏🙏🙏
 
GENTAMYCINE
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wabongo walivyo vilaza watakuja kukupopoa wakati mwandiko unaonyesha kabisa una tania ingawa kwenye utani wako kuna ukweli ndani yake
 
Wabongo nawajua utafikiri Mimi ndo nimewaumba. Wana stress sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Usikute hapo wana ona wivu kwamba nitapata mademu wakimbizi kutoka Iran na Syria..
 
Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika.

Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? ..

Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia kuzuia athari za Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita, una lipia nini sasa? Vyeti? Ama?
Ni kichaa ulicho nacho ama nini?

Unasomesha mtoto EMS wakati hatuna Tume Huru ya Uchaguzi?

We vipi wewe?

Mimi nimekaa nasubiri vita vianze nipate mademu wa bure ( wakimbizi )

Na Mimi " Niwaonjemo" Wakimbizi wa Iran, Syria etc.

Haya sasa " Twenzetu" 👇👇👇

Kimbia haraka sana hadi shule ya EMS kamtoe mtoto wako, umrudishe Kayumba.

Thanks me later 🙏🙏🙏🙏🙏
Huna tofauti na WASABATO MASALIA WEWE😂
 
Mbona mademu wakimbizi wa kiyahudi hujawataja? Au hutaki kula wayahudi mkuu?
Wayahudi wengi wataenda Marekani hawawezi kuja bongo. Ila wairan wengi watakuja bongo Kizimkazi.

Nakumbuka mwaka 94 nilikuwa darasa la tatu, kuna mabraza na ma uncle wali kula sana mademu wa kirundi na kinyarwanda...

Vita ina cons na prons zake...
 
Umasikini
Kuteseka
Shida

Hizo zote si ufahari au vitu vya kujivunia kwavyo
 
Bongo hapa Phd hana anachojua 🤣🤣🤣tangu waanze kusoma hamna kipya , professor wako chuo anasubiria watu wagundue kitu ili aende kusoma aje kukufundisha .

Yaani bongo vyeti vinabaki kama defensive mechanism ila uhalisia ni zero.
 
Back
Top Bottom