😁😁🥱 Umeanzisha vita nyingine ya maneno hapa
100 Facts.Bongo hapa Phd hana anachojua 🤣🤣🤣tangu waanze kusoma hamna kipya , professor wako chuo anasubiria watu wagundue kitu ili aende kusoma aje kukufundisha .
Yaani bongo vyeti vinabaki kama defensive mechanism ila uhalisia ni zero.
Inasikitisha sana mkuu 😂
Ukiowaona hao phd kazi kuandika matamko ila hawana achievement hata moja ,eti waliofanikiwa ni waliofanya kazi katika Mashirika ya kimataifa kama UN 🤣🤣Mtu kaajiriwa miaka yote eti anaitwa msomi mkubwa.100 Facts.
Elimu gani hii tumeshindwa kuwatoa CCM madarakani?
Daktari anatumia miaka mutant shuleni ili kuja kutuambia eti " Presha haina dawa".
Mbeba mizigo bandarini anasema presha haina dawa. Na daktari msomi anasema presha haina dawa.
Tofauti Yao nini sasa?
If this is what you think then you must be a very slow guy. Wewe hata ungekuwa jambazi ungeuliwa na wananchi wenye hasira Kali, wenzako wangekuacha kwenye eneo la tukio ukiwa bado unashangaa.Je wewe ndo Gentaycmine ? Maana mmefanana sana.
Nimeona mfanano wa content , ndo nimeuliza ikiwa nyie ni MTU mmoja ?.If this is what you think then you must be a very slow guy. Wewe hata ungekuwa jambazi ungeuliwa na wananchi wenye hasira Kali, wenzako wangekuacha kwenye eneo la tukio ukiwa bado unashangaa.
Am a fast thinker. I dislike slow people like u
Ngoja na Mimi nikatongozeee wa persia 😔☺️😆😅Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika.
Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? ..
Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia kuzuia athari za Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita, una lipia nini sasa? Vyeti? Ama?
Ni kichaa ulicho nacho ama nini?
Unasomesha mtoto EMS wakati hatuna Tume Huru ya Uchaguzi?
We vipi wewe?
Mimi nimekaa nasubiri vita vianze nipate mademu wa bure ( wakimbizi )
Na Mimi " Niwaonjemo" Wakimbizi wa Iran, Syria etc.
Haya sasa " Twenzetu" 👇👇👇
Kimbia haraka sana hadi shule ya EMS kamtoe mtoto wako, umrudishe Kayumba.
Thanks me later 🙏🙏🙏🙏🙏
You are so stupidVita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika.
Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? ..
Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia kuzuia athari za Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita, una lipia nini sasa? Vyeti? Ama?
Ni kichaa ulicho nacho ama nini?
Unasomesha mtoto EMS wakati hatuna Tume Huru ya Uchaguzi?
We vipi wewe?
Mimi nimekaa nasubiri vita vianze nipate mademu wa bure ( wakimbizi )
Na Mimi " Niwaonjemo" Wakimbizi wa Iran, Syria etc.
Haya sasa " Twenzetu" 👇👇👇
Kimbia haraka sana hadi shule ya EMS kamtoe mtoto wako, umrudishe Kayumba.
Thanks me later 🙏🙏🙏🙏🙏
Jamaa anaponda mawe.Je wewe ndo Gentaycmine ? Maana mmefanana sana.
You don't know me. I don't know you. I use a fake profile. But yet I have made you mad. Then I suppose to be your GodYou are so stupid
Na bado unapinga English Medium SchoolsYou don't me. I don't you. I use a fake profile. But yet I have made you mad. The I suppose to be your God
You need to worship the ground am walking.
Binafsi siwezi kukasirishwa na kivuli
Nina sababu zangu, nadhani ungeacha kila mtu awe huru kuamua mahala ambapo anaona mtoto wake atapata elimu bora, kama wewe unaona kayumbani hora, tunahesimu maamuzi yako, ila na wewe ujifunze kuheshimu maamuzi ya wazazi wengine sio lazima kila mtu ahamishie mtoto kayumbaYes wewe una zi support kwa sababu gani?
Nina sababu zangu, nadhani ungeacha kila mtu awe huru kuamua mahala ambapo anaona mtoto wake atapata elimu bora, kama wewe unaona kayumbani hora, tunahesimu maamuzi yako, ila na wewe ujifunze kuheshimu maamuzi ya wazazi wengine sio lazima kila mtu ahamishie mtoto kayumba