Vita vya Nuclear vinakuja toeni watoto wenu EMS muwarudishe Kayumba

Huna tofauti na WASABATO MASALIA WEWE๐Ÿ˜‚
Vita itokee mkuu na Sisi wakina Likud TUWAONJEMO mademu wa ki-Iran.

Bila Vita, tutawapata wapi mkuu?

Watakuwa wanatiwa na watoto wa kina Wasira na kina Rizone..
 
Bongo hapa Phd hana anachojua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃtangu waanze kusoma hamna kipya , professor wako chuo anasubiria watu wagundue kitu ili aende kusoma aje kukufundisha .

Yaani bongo vyeti vinabaki kama defensive mechanism ila uhalisia ni zero.
100 Facts.

Elimu gani hii tumeshindwa kuwatoa CCM madarakani?

Daktari anatumia miaka mutant shuleni ili kuja kutuambia eti " Presha haina dawa".

Mbeba mizigo bandarini anasema presha haina dawa. Na daktari msomi anasema presha haina dawa.

Tofauti Yao nini sasa?
 
Ukiowaona hao phd kazi kuandika matamko ila hawana achievement hata moja ,eti waliofanikiwa ni waliofanya kazi katika Mashirika ya kimataifa kama UN ๐Ÿคฃ๐ŸคฃMtu kaajiriwa miaka yote eti anaitwa msomi mkubwa.
 
Je wewe ndo Gentaycmine ? Maana mmefanana sana.
If this is what you think then you must be a very slow guy. Wewe hata ungekuwa jambazi ungeuliwa na wananchi wenye hasira Kali, wenzako wangekuacha kwenye eneo la tukio ukiwa bado unashangaa.

Am a fast thinker. I dislike slow people like u
 
Nimeona mfanano wa content , ndo nimeuliza ikiwa nyie ni MTU mmoja ?.
 
Ngoja na Mimi nikatongozeee wa persia ๐Ÿ˜”โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…

min -me Mimi nawai wa persia wangu nioe watano ๐Ÿ˜

Nipo na konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa naimalizia
 
You are so stupid
 
Nimeona mfanano wa content , ndo nimeuliza ikiwa nyie ni MTU mmoja ?.
Ndio maana nimesema utakuwa kilaza promax kufananisha content zangu na za huyo mtu.

Jikubali. You are slow!!!

This world doesn't need slow people like you.
 
Ngoja na Mimi nikatongozeee wa persia ๐Ÿ˜”โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…

min -me Mimi nawai wa persia wangu nioe watano ๐Ÿ˜

Nipo na konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa naimalizia
Hao ni watoto wakali kinouma bro , ila kama una chamba koromeo naona utawanasa tu ๐Ÿค
 
You are so stupid
You don't know me. I don't know you. I use a fake profile. But yet I have made you mad. Then I suppose to be your God

You need to worship the ground am walking.

Binafsi siwezi kukasirishwa na mtu nisie muona. Wewe unaweza kwa sababu Mimi ni sawa na Mungu kwako.
 
You don't me. I don't you. I use a fake profile. But yet I have made you mad. The I suppose to be your God

You need to worship the ground am walking.

Binafsi siwezi kukasirishwa na kivuli
Na bado unapinga English Medium Schools
 
Yes wewe una zi support kwa sababu gani?
Nina sababu zangu, nadhani ungeacha kila mtu awe huru kuamua mahala ambapo anaona mtoto wake atapata elimu bora, kama wewe unaona kayumbani hora, tunahesimu maamuzi yako, ila na wewe ujifunze kuheshimu maamuzi ya wazazi wengine sio lazima kila mtu ahamishie mtoto kayumba
 
Nilijua tu, point zenu wasomi wa ki Tanzania huwaga ni zile zile siku zote.

Poor Government. Poor social services. Poor infrastructure. Corruption etc.

Nimemshikia mtu bunduki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ