Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
kabla ya serikali.. aliwahi fanya kazi taasisi gani kubwa akaipaisha kiuchumiMadevu ni mchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabla ya serikali.. aliwahi fanya kazi taasisi gani kubwa akaipaisha kiuchumiMadevu ni mchumi
kila siku anadai vita ya uchumi. swali langu who is the enemy?Time and resources wastage. Aache tu, anaharibia reputation yake mwenyewe na taifa kwa ujumla
Himselfkila siku anadai vita ya uchumi. swali langu who is the enemy?
Hizo stage nimeshazieleza sana humu,soma kwenye nyuzi za nyuma utaona.Kaa chini utulie na upitie stages za economic integration. Naona unakurupuka.
Na hapa ndipo mm nalalamikia pia.Ni ulimbukeni tu sisi ni tajiri, umeandika proposal kuomba wadau mradi wa afya ama elimu,ukishirikisha kuwaomba wadau, pesa ikitoka unataka ubadili matumizi na vipaumbele, hutaki kuulizwa, wakizuia phase2 na kuhoji majibu yetu " vita ya uchumi" "hawapendi maendeleo yetu"...
EAC nilitolea mfano tu.Usijifaraghue kujifanya unajua wakati hujui. Sasa hivi EAC ipo stage gani?
Kwa hiyo tunapigana vita na Wakenya?Tanzanite mwanzo ilijulikana inatoka Kenya, sasa tunamiliki mali yetu chini ya gemeradi wetu JPM. Unafikiri jirani zetu watafurahi? Sasa tumeamka jino kwa jino. Hiyo ndio vita baridi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Charity begins at homeUmeilewa mada husika?