Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Ni ulimbukeni tu, sisi ni tajiri, umeandika proposal kuomba wadau mradi wa afya ama elimu,ukishirikisha kuwaomba wadau, pesa ikitoka unataka ubadili matumizi na vipaumbele, hutaki kuulizwa, wakizuia phase2 na kuhoji majibu yetu " vita ya uchumi" "hawapendi maendeleo yetu"...
 
Kaa chini utulie na upitie stages za economic integration. Naona unakurupuka.
Hizo stage nimeshazieleza sana humu,soma kwenye nyuzi za nyuma utaona.

Hii ni maada.inajirudia kila wakati humu na bado watu hawaelewi.

Sasa hebu julize na wewe mwenye.

Kama tanzania bado tupo kwe steji ya ujamaa na kujitegemea wakati hii ni dunia ya utandawazi.

Itawezekana vip na hiyo staji yako isiyowezekana unayoing'ang'ania.

Ndio maana nasema.

Bila ya mifumo imala na mipya ya elimu na sera tutabaki hivyohivyo na kulalamika.

Naa ujue mtu.hawezi kuja kuwekeza bila ya madalali

Na kutokana na kauli na ubabe tuliokua nao sasa hata walioko kuna wanaowekwa ndani au hata kufokewa hadhalani.
Sasa hela yangu halafu uje.unitishe kwanini nisiende kuwekeza kwingine.

Hivyo iwapo tutaendelea kuhangaika na staj hii ya kizamani tusahau kwenye masoko ya ajira,ushindani wa kibishara bidhaa bora nk.

Lazima tubadilike sasa.
 
Usijifaraghue kujifanya unajua wakati hujui. Sasa hivi EAC ipo stage gani?
 
Ni ulimbukeni tu sisi ni tajiri, umeandika proposal kuomba wadau mradi wa afya ama elimu,ukishirikisha kuwaomba wadau, pesa ikitoka unataka ubadili matumizi na vipaumbele, hutaki kuulizwa, wakizuia phase2 na kuhoji majibu yetu " vita ya uchumi" "hawapendi maendeleo yetu"...
Na hapa ndipo mm nalalamikia pia.
Hata kauli sio.nzuri.
Wewe unakaa jukwaani upo na wadau wawekezaji unasema. "Wewe umeshindwa mpe huyu kiwanda akiendeleze!!'
We unaona sawa hapo.
Nahuyo unaempa kwa staili hiyo akishindwa utamfanyaje?

Mtu anaweza akawa na uwezo wa kuwekeza.
Lakini kwa uchulo kuu wa badhi ya viongozi wetu mtu hawezi kuwekeza ile siliazi.

Atatengeneza pipi na soda basi.
Anakaa mguu nje mguu ndani mana anajua muda oote naweza hata kufilisiwa hapa.
 
Usijifaraghue kujifanya unajua wakati hujui. Sasa hivi EAC ipo stage gani?
EAC nilitolea mfano tu.
Muleta mada kauliza swali ambalo halilengi kabisa EAC pegee.
Ila ameuliza kutokana na hali ilivyo na malalamiko ya hadi viongozi wanaonekana wanafeli kwanini wanashindwa kupiga hatua muhimu.
Kikwete alihaikia hili,aliweka hadi kitengo maalum kwajili ya.uwekazaji na mwenyekiti wake.

Kuna mtu kaja kadanganywa kavuruga ,kavuruga wawekezaji wengine.
Sasa matokeo ya yale ndio haya ya sasa.
Magodauni yamejaa,wafanyabiashara wanacheza mabao tu na kubishana simba na yanga.


Hebu tueleze na wewe unachojua maana mleta mada kauliza na wewe unalukaluka tu.
 
Kunapokuwa na jambo jema la kimaendeleo kila mtu anaweza kuwa adui , hata wewe mkuu.
 
Tanzanite mwanzo ilijulikana inatoka Kenya, sasa tunamiliki mali yetu chini ya gemeradi wetu JPM. Unafikiri jirani zetu watafurahi? Sasa tumeamka jino kwa jino. Hiyo ndio vita baridi

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nikakuambia usijifarague, ulianza kuleta mifano juu ya watanzania kulalamikia juu ya ajira za wakenya . Ndio maana nikakuuliza unajua EAC ipo stage gani ya integration? Au anapyuka tu?
 
Hamna vita yoyote ya kiuchumi, hizo ni propaganda mfu za majizi ya kura fullstop.
 
Hamna vita yoyote ya kiuchumi, hizo ni propaganda mfu za majizi ya kura fullstop.
Ndugu, hakuna taifa la kibeberu linalotamani mali zetu? Hakuna nchi ya kiafrica inayoipiga majungu na vita vya kiuchumi Tanzania?
 
Back
Top Bottom