Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Naona unanichanganya. Zilishikiliwa lini na mabeberu maana tumepata uhuru tangu 1961. Azimio la Arusha likafukuza ubepari hapa nchini mwaka 1967.
Kichwa chako kizito sana!

Mfano kuna mtu asiejua ya kwamba wauzaji wa kubwa wa Tanzanite huko duniani ni wakenya ilhali ilikuwa inatoka Tanzania
 
Usijifaraghue kujifanya unajua wakati hujui. Sasa hivi EAC ipo stage gani?
Wewe unajua nini maana umeleta uzi wenye tija lakini mawazo na majibu chanya unayapinga, je katika akili yako unaona hoja ya vita vya kiuchumi ni sahihi muda huu?
 
Wewe unajua nini maana umeleta uzi wenye tija lakini mawazo na majibu chanya unayapinga,je katika akili yako unaona hoja ya vita vya kiuchumi ni sahihi muda huu?
Mm nimeona naumiza kichwa changu tu na huyo mtu.
 
Wewe unajua nini maana umeleta uzi wenye tija lakini mawazo na majibu chanya unayapinga. Je, katika akili yako unaona hoja ya vita vya kiuchumi ni sahihi muda huu?
Wewe acha utoto, namuuliza swali la msingi, kama tupo kwenye free trade we unaleta upuuzi.
 
Tanzanite mwanzo ilijulikana inatoka Kenya, sasa tunamiliki mali yetu chini ya gemeradi wetu JPM. Unafikiri jirani zetu watafurahi? Sasa tumeamka jino kwa jino. Hiyo ndio vita baridi

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama ni kweli. Tanzanite ilikuwa inatoka tz na imekuwa hivyo toka zamani.tofauti ni kuwa kenya walikuwa wanauza Tanzanite kuliko tz na hapa ndio utata ulipoanzia.
 
Sawa! Tanzanite inatoka Tz lakini Wakenya wanauza kwa wingi, wananunua kwa bei ya chini na wanapanga bei yao! Ni vita ya kiuchumi!! Saaasa, saaasa! Bei tupange sisi, ni mali yetu! Tayari chuki! Supper market kubwa zinaendeshwa na Wakenya! Sasa ni kinyume!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Duh...nilitaka nikujibu lakini ngoja niishie hapa.
 
Sidhani kama ni kweli. tanzanite ilikuwa inatoka tz na imekuwa hivyo toka zamani.tofauti ni kuwa kenya walikuwa wanauza Tanzanite kuliko tz na hapa ndio utata ulipoanzia.
Ndio chanzo cha vita vya uchumi?
 
Sawa! Tanzanite inatoka Tz lakini Wakenya wanauza kwa wingi, wananunua kwa bei ya chini na wanapanga bei yao! Ni vita ya kiuchumi!! Saaasa, saaasa! Bei tupange sisi, ni mali yetu! Tayari chuki! Supper market kubwa zinaendeshwa na Wakenya! Sasa ni kinyume!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
When was that?
 
Unadai atanzania hawajui kuhusu EAC na wanalaumu Wakenya wakiomba kazi, wakati kuna kipengele cha rasilimali watu. Je EAC ipo stage gani? Mpaka unapost uharo. Tupo stage ya kuruhu watu kufanya kazi popote ndani ya EAC? Stupid.
 
Unadai watanzania hawajui kuhusu EAC na wanalaumu wakenya wakiomba kazi, wakati kuna kipengele cha rasilimali watu. Je EAC ipo stage gani? Mpaka unapost uharo. Tupo stage ya kuruhu watu kufanya kazi popote ndani ya EAC? Stupid.
Umeshawahi kujiuliza kwanini passport ya EAC inapatikana kwa bei ndogo kuliko zingine!!?
 
Back
Top Bottom