KALIMIMBILI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2021
- 205
- 362
Umesema kweli mtu wa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa chako kizito sana!Naona unanichanganya. Zilishikiliwa lini na mabeberu maana tumepata uhuru tangu 1961. Azimio la Arusha likafukuza ubepari hapa nchini mwaka 1967.
Wewe unajua nini maana umeleta uzi wenye tija lakini mawazo na majibu chanya unayapinga, je katika akili yako unaona hoja ya vita vya kiuchumi ni sahihi muda huu?Usijifaraghue kujifanya unajua wakati hujui. Sasa hivi EAC ipo stage gani?
Mm nimeona naumiza kichwa changu tu na huyo mtu.Wewe unajua nini maana umeleta uzi wenye tija lakini mawazo na majibu chanya unayapinga,je katika akili yako unaona hoja ya vita vya kiuchumi ni sahihi muda huu?
Wewe acha utoto, namuuliza swali la msingi, kama tupo kwenye free trade we unaleta upuuzi.Wewe unajua nini maana umeleta uzi wenye tija lakini mawazo na majibu chanya unayapinga. Je, katika akili yako unaona hoja ya vita vya kiuchumi ni sahihi muda huu?
swali languSwali lako au la mtoa mada?
Sidhani kama ni kweli. Tanzanite ilikuwa inatoka tz na imekuwa hivyo toka zamani.tofauti ni kuwa kenya walikuwa wanauza Tanzanite kuliko tz na hapa ndio utata ulipoanzia.Tanzanite mwanzo ilijulikana inatoka Kenya, sasa tunamiliki mali yetu chini ya gemeradi wetu JPM. Unafikiri jirani zetu watafurahi? Sasa tumeamka jino kwa jino. Hiyo ndio vita baridi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
When was that?Sawa! Tanzanite inatoka Tz lakini Wakenya wanauza kwa wingi, wananunua kwa bei ya chini na wanapanga bei yao! Ni vita ya kiuchumi!! Saaasa, saaasa! Bei tupange sisi, ni mali yetu! Tayari chuki! Supper market kubwa zinaendeshwa na Wakenya! Sasa ni kinyume!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Huna akili kopo tupu kichwaniStupid
Umeshawahi kujiuliza kwanini passport ya EAC inapatikana kwa bei ndogo kuliko zingine!!?Unadai watanzania hawajui kuhusu EAC na wanalaumu wakenya wakiomba kazi, wakati kuna kipengele cha rasilimali watu. Je EAC ipo stage gani? Mpaka unapost uharo. Tupo stage ya kuruhu watu kufanya kazi popote ndani ya EAC? Stupid.