Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Kwahiyo hiyo Kenya iko vilevile toka mwaka 90? Kutengeneza bidhaa sio tatizo, ubora wa hizo bidhaa ukoje? Bidhaa karibia zote toka Kenya zina ubora maradufu wa hizi za Tanzania.
Wewe hutembei ndio maana unapiga domo kishabiki. Kenya ya 80's na 90's sio hii. Kenya ya miaka hiyo ilikuwa juu. Tanzania ilikiwa inanunua kila kitu toka Kenya. Ndio maana walikuwa wanaiponda Tz.
 
Hadi tunavyoongea Kenya inauza bidhaa Tanzania, na nchi nyingi tu za Afrika mashariki, je ni kipi wamepoteza? Labda uniambie uzalishaji wa viwandani hapa Tanzania ni mkubwa mpaka tunajitosheleza kwa soko la ndani. Inaonekana ww hutembei bali huwa unazurura, ndio maana unatumia propaganda kama sehemu ya kujengea hoja zako. Kwa taarifa yako Kenya wanauuza zaidi bidhaa za viwandani, tena zenye ubora kuliko zetu, wakati sisi tunauza bidhaa kidogo za kiwandani kwao tena hafifu, na bidhaa ghafi nyingi. Sasa hapo Kenya wanatuonea wivu kwa lipi labda?
 
Tanzania ya miaka ya 80/90 tulikuwa tunamanufacture kuliko hii ya sasa ya juisi na Chapati za Azam
Acha ushabiki,tulikuwa tunanua Omo,jojo,Colgate na Chachacha toka Kenye. Leo hii tunawauzia wao,waulize.
 
Hadi tunavyoongea Kenya inauza bidhaa Tanzania, na nchi nyingi tu za Afrika mashariki, je ni kipi wamepoteza? Labda uniambie uzalishaji wa viwandani hapa Tanzania ni mkubwa mpaka tunajitosheleza kwa soko la ndani. Inaonekana ww hutembei bali huwa unazurura, ndio maana unatumia propaganda kama sehemu ya kujengea hoja zako. Kwa taarifa yako Kenya wanauuza zaidi bidhaa za viwandani, tena zenye ubora kuliko zetu, wakati sisi tunauza bidhaa kidogo za kiwandani kwao tena hafifu, na bidhaa ghafi nyingi. Sasa hapo Kenya wanatuonea wivu kwa lipi labda?
Ubora upi? Kiwand cha Niceone kiatengeneza sabuni,soko kubwa ni Kenya,Mozambique na Zambia.

Ok hilo soko la ndani ambalo sasa unadai linahudumiwa na viwanda vya ndani, hujui miaka ya 80' na 90's lilihudumiwa na Kenya?
 
Idadi ya watu ya wakati ule na sasa ni sawa? Kupeleka bidhaa sio tatizo, uwezo wa bidhaa hizo kupambana kiubora ukoje? Wakenya hata wasipoleta bidhaa zao hapa Tanzania, bado wana soko kubwa huko maana kwa sasa wako karibia 50m, na watu wao uwezo mzuri kiuchumi kuliko kwetu. Na isitoshe kwa ubora wa bidhaa zao bado wana soko kubwa kwenye nchi nyingi za Afrika mashariki na hata nje ya hapo.
 
Unaijua Kenya? Asilimia 20 ya wakenya wana maisha mazuri. 80% wana njaa na tabu. Siku tukiruhisu waje kufanya kazi tutashudia hadi wenye degree wanasafisha vyoo. Nakukatalia kusema kuwa Kenya wana soko.
 
Acha story za kijiweni hapa ww mtoto, 20% ndio wana maisha mazuri, ila 80% wana hali ngumu, halafu bado uchumi wa Kenya uko juu yetu sisi tulio wengi zaidi yao, uza ubongo huo. Kwahiyo watanzania ni asilimia ngapi wana maisha mazuri na asilimia ngapi wana hali ngumu?

Kwa taarifa yako wananchi wote wa Afrika mashariki wana maisha yanayokaribiana, ila wanatofauti ndogo ndogo kutokana na maeneo ya kijiografia, elimu, nk. Jitahidi hizi propaganda mfu usizitumie kujengea hoja mbele ya wanaume màana utapata aibu ya kujitakia.
 
Nimefurahi sababu umekubali ukweli.
 
Vita ya kiuchumi ni vita ya kukomboa rasilimali "zako" ambazo zilikuwa zimeshikiliwa na kunufaisha watu wa nje (mabeberu), badala ya kunufaisha wananchi husika (Watanzania).
Aliyewapa hizo Mali hao MABEBERU ni nani na alichaguliwa kupitia chama gani?
Anayerudisha hizo Mali ni nani na alikuwa wapi wakati zinanufaisha wageni?
Huyu MAGUFULI anayeitwa mzalendo leo ndiyo aliyeuza nyumba za umma mpaka kwa mahawala zake kina kabula wa kebys .
Uzalendo anaupata wapiiiii. Yule ni mwizi tu sema machachari
 
Naona unanichanganya. Zilishikiliwa lini na mabeberu maana tumepata uhuru tangu 1961. Azimio la Arusha likafukuza ubepari hapa nchini mwaka 1967.
Tumejitengenezea mabepari wenyewe, kutokana na mfumo wa chaguzi zetu,ambao unatengeneza watu ambao hawana uwezo,wanasiasa ambao hawatunzi kauli zao, wanaojitoa ufahamu,hawana uwezo wa kuisimamia serikali,wanafiki.wanao ongoza kwa chuki na wivu.Tunahitaji katiba mpya tunapo lazimisha ya zamani tutaendelea kusingizia mabeberu kwakila kitu tunacho shindwa
 
Aliyewapa hizo Mali hao MABEBERU ni nani na alichaguliwa kupitia chama gani?
Anayerudisha hizo Mali ni nani na alikuwa wapi wakati zinanufaisha wageni?
Huyu MAGUFULI anayeitwa mzalendo leo ndiyo aliyeuza nyumba za umma mpaka kwa mahawala zake kina kabula wa kebys .
Uzalendo anaupata wapiiiii. Yule ni mwizi tu sema machachari
Wananchi ndio waliamua kama chama kile kile kilicholazimishwa kwa vitisho kukubali kuuza rasilimali za nchi, ndio kinachofaa kuzirudisha mali kwa wananchi.

Hawakupenda mtazamo wa chama kilichokuwa kinawatisha kwamba rasilimali zetu sio zetu tena na tutashitakuwa kama tukijaribu hata kuwa na mawazo ya kuzirudisha.
 
Back
Top Bottom