Hadi tunavyoongea Kenya inauza bidhaa Tanzania, na nchi nyingi tu za Afrika mashariki, je ni kipi wamepoteza? Labda uniambie uzalishaji wa viwandani hapa Tanzania ni mkubwa mpaka tunajitosheleza kwa soko la ndani. Inaonekana ww hutembei bali huwa unazurura, ndio maana unatumia propaganda kama sehemu ya kujengea hoja zako. Kwa taarifa yako Kenya wanauuza zaidi bidhaa za viwandani, tena zenye ubora kuliko zetu, wakati sisi tunauza bidhaa kidogo za kiwandani kwao tena hafifu, na bidhaa ghafi nyingi. Sasa hapo Kenya wanatuonea wivu kwa lipi labda?