Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raslimali zetu tusipowauzia nje kwetu ni takataka,nani anakula dhahabu,madini,nk.Ni sawa na kusema watu wa vijijini wanatuonea wivu wa mjini.Vita ya kiuchumi ni vita ya kukomboa rasilimali "zako" ambazo zilikuwa zimeshikiliwa na kunufaisha watu wa nje (mabeberu), badala ya kunufaisha wananchi husika (Watanzania).
Serikali haiwezi fanya biashara vingi vilikufa thus wakavimilikisha sekta binafsi,awamu hii imerudia makosa ya awamu ya kwanza kwa Kuuwa sekta binafsi kwa kuzisomesha namba lengo kuu ni iwe rahisi kuwatawala watu.Kilichotakiwa ni kuendeleza sekta binafsi imilikiwe na wazawa kwa asilimia kubwa na jukumu la serikali iwe ni kodi tu.Hapo kati tulitishwa na mtaifa ya nje pamoja na mashirika ya fedha ya kimataifa, wakatupa masharti magumu ya kuuza rasilimali zetu zote kutoka mikononi mwa serikali na kwenda kwenye sekta binafsi.
Watanzania wengi wakati ule walikuwa hawana uwezo wakujimilikisha vitu kama migodi, mashamba, mawasiliano nk. Hapo ndio mabeberu wakazamia na kukomba kila kitu. Leo hii, tuko kwenye vita ya kukomboa rasilimali zetu na kujenga uchumi wetu kwa manufaa ya Watanzania wote.
Tofauti ni kuuza kile unachozalisha na kupata mapato halali, sio unasubiri kuambiwa tumeuza kilo 2 wakati wameuza kilo 500. Halaf unajitapa mimi mzalishaji mkubwa sana wa dhahabu, huku pesa anatafuna mwingine na watoto wako wanasoma chini ya mwembe.Raslimali zetu tusipowauzia nje kwetu ni takataka,nani anakula dhahabu,madini,nk.Ni sawa na kusema watu wa vijijini wanatuonea wivu wa mjini.
No, tulilazimishwa kuuza. makampuni mengi na viwanda vingi vilihujumiwa ili tu kuingiza bidhaa za nje na pia kutoa mwanya kwa watu wa nje kumiliki rasilimali Tanzania.Serikali haiwezi fanya biashara vingi vilikufa thus wakavimilikisha sekta binafsi,awamu hii imerudia makosa ya awamu ya kwanza kwa Kuuwa sekta binafsi kwa kuzisomesha namba lengo kuu ni iwe rahisi kuwatawala watu.Kilichotakiwa ni kuendeleza sekta binafsi imilikiwe na wazawa kwa asilimia kubwa na jukumu la serikali iwe ni kodi tu.
Hapo ni udhaifu wa usimamiaji wa sera .mfano kama atufanyi bidii kutangaza utalii tumelala wao wakatangaza mlima kilimanjaro upo kwao na wakavuna kupitia hilo sio kosa lao ni letu,tumeshindwa kutengeneza mifumo mizuri ya kuyapa thamani mazao yetu madini yetu kwa kuwaleta wataalamu au kuweka upatikanaji wa vifaa vya kisasa then wenzetu wakatumia fursa hio wakapiga faida sio kosa lao.Mfano tiss wako bize kuisaidia ccm kuiba kura,au kudukua simu za kina mbowe,nk wa wenzetu wapo bize kutafuta fursa za uchumi kwa watu wao wapi wakaibe raslimali na sio kuiba kura walete kwao kujenga uchumi wao, hatuwezi lingana wao watasonga tu.Tofauti ni kuuza kile unachozalisha na kupata mapato halali, sio unasubiri kuambiwa tumeuza kilo 2 wakati wameuza kilo 500. Halaf unajitapa mimi mzalishaji mkubwa sana wa dhahabu, huku pesa anatafuna mwingine na watoto wako wanasoma chini ya mwembe.
Serikali nyingi zinatumia muda mwingi na pesa nyingi kutengeneza sheria na kanuni namna ya kuendesha biashara cha ajabu biashara nyingi hufaSerikali haiwezi fanya biashara vingi vilikufa thus wakavimilikisha sekta binafsi,awamu hii imerudia makosa ya awamu ya kwanza kwa Kuuwa sekta binafsi kwa kuzisomesha namba lengo kuu ni iwe rahisi kuwatawala watu.Kilichotakiwa ni kuendeleza sekta binafsi imilikiwe na wazawa kwa asilimia kubwa na jukumu la serikali iwe ni kodi tu.
Hata vibaraka vyake ni vifuata zumari ni SAwa na wapiga mayoe bila kumuona mwizi sababu tu wamesikia yowe.Mpigana Vita mwenyewe hajui anapigana na Nani?
Hayo ya TISS na CCM sina uhakika nayo, lakini kwenye uchumi, awamu ya tano inatekeleza yote hayo uliyoyataja hapo juu. Kwenye utalii wanajitantanza, kupitia mikataba mibovu wanapitia, madini, sera zinajieleza, watanzania walikuwa hawana uwezo sasa waweza sasa wanaweza. Kilimo, Tanzania ndio inaongoza na kulisha ukanda huu nk nk....Hapo ni udhaifu wa usimamiaji wa sera .mfano kama atufanyi bidii kutangaza utalii tumelala wao wakatangaza mlima kilimanjaro upo kwao na wakavuna kupitia hilo sio kosa lao ni letu,tumeshindwa kutengeneza mifumo mizuri ya kuyapa thamani mazao yetu madini yetu kwa kuwaleta wataalamu au kuweka upatikanaji wa vifaa vya kisasa then wenzetu wakatumia fursa hio wakapiga faida sio kosa lao.Mfano tiss wako bize kuisaidia ccm kuiba kura,au kudukua simu za kina mbowe,nk wa wenzetu wapo bize kutafuta fursa za uchumi kwa watu wao wapi wakaibe raslimali na sio kuiba kura walete kwao kujenga uchumi wao, hatuwezi lingana wao watasonga tu.
Sekta binafsi awamu hii nyingi zimekufa kilichopo ni kutengeneza uchumi wa kimachinga labda ndo unachoona na ndio kukua kwa sekta binafsi.Hayo ya TISS na CCM sina uhakika nayo, lakini kwenye uchumi, awamu ya tano inatekeleza yote hayo uliyoyataja hapo juu. Kwenye utalii wanajitantanza, kupitia mikataba mibovu wanapitia, madini, sera zinajieleza, watanzania walikuwa hawana uwezo sasa waweza sasa wanaweza. Kilimo, Tanzania ndio inaongoza na kulisha ukanda huu nk nk....
Sekta binafsi awamu hii nyingi zimekufa kilichopo ni kutengeneza uchumi wa kimachinga labda ndo unachoona na ndio kukua kwa sekta binafsi.Hayo ya TISS na CCM sina uhakika nayo, lakini kwenye uchumi, awamu ya tano inatekeleza yote hayo uliyoyataja hapo juu. Kwenye utalii wanajitantanza, kupitia mikataba mibovu wanapitia, madini, sera zinajieleza, watanzania walikuwa hawana uwezo sasa waweza sasa wanaweza. Kilimo, Tanzania ndio inaongoza na kulisha ukanda huu nk nk....
Sekta binafsi ndio nguzo ya uchumi zinatoa ajira,kodi,ukuaji wa miji,nk.Serikali nyingi zinatumia muda mwingi na pesa nyingi kutengeneza sheria na kanuni namna ya kuendesha biashara cha ajabu biashara nyingi hufa
Usichanganye neno SEKTA na neno BIASHARA, ni vitu viwili tofauti. Sekta ni mfumo mzima wa eneo mahususi lenye manufaa kiuchumi. Wakati biashara ni kipengele kilicho ndani ya sekta husika. Dunia nzima biashara zinazalishwa na kufa, hata nchi kubwa na tajiri, biashara zinanzishwa na zingine zina kufa. Sababu za biashara kufa ni nyingi ikiwa pamoja na upangaji mbovu, mtaji mdogo, pamoja na ushindani mkali.Sekta binafsi awamu hii nyingi zimekufa kilichopo ni kutengeneza uchumi wa kimachinga labda ndo unachoona na ndio kukua kwa sekta binafsi.
Sekta binafsi ndio nguzo ya uchumi zinatoa ajira,kodi,ukuaji wa miji,nk.
Hawa wanapayuka tu hata hawajui Beberu ni nani na anafanya nini.Lakini Ili uendele ni lzm ushirikiane na beberu huwezi kuwa kisiwa.Maendeleo ni sawa na draft au bao au karata katu huwezi shinda bila kuliwa.Nchi zote zilizoliwa na mabeberu zipo juu kiuchumi kama zisingeshirikiana na mabeberu zisingefika huko kiuchumi mfano China, taiwan,hongkong, malaysia, Japan, Brazil,india,dubai, qatar, indonesia, South Africa.
Una rasilimali gani ambazo ni zako wewe??? Yaani ooze Madini yetu kwa mikataba ya ulaghai na siri enzi za mkapa leo uje kutuambia ati unayarudisha? Kurudisha zile nyumba za umma .bwana MAGUFULI alizouzia hawala zake kina kabula kwanza.Wananchi ndio waliamua kama chama kile kile kilicholazimishwa kwa vitisho kukubali kuuza rasilimali za nchi, ndio kinachofaa kuzirudisha mali kwa wananchi.
Hawakupenda mtazamo wa chama kilichokuwa kinawatisha kwamba rasilimali zetu sio zetu tena na tutashitakuwa kama tukijaribu hata kuwa na mawazo ya kuzirudisha.
AnzismassdWananchi ndio waliamua kama chama kile kile kilicholazimishwa kwa vitisho kukubali kuuza rasilimali za nchi, ndio kinachofaa kuzirudisha mali kwa wananchi.
Hawakupenda mtazamo wa chama kilichokuwa kinawatisha kwamba rasilimali zetu sio zetu tena na tutashitakuwa kama tukijaribu hata kuwa na mawazo ya kuzirudisha.
Shida ya watanzania ni kwamba wanatanguliza siasa kama wewe kuliko nchi. Wana Ccm walio wengi ukizungumza nao wanaamini kama huungi mkono sera za Ccm wewe ni kibaraka. Hiyo siyo kweli kwakuwa Ccm cyo nchi.Tumejitengenezea mabepari wenyewe, kutokana na mfumo wa chaguzi zetu,ambao unatengeneza watu ambao hawana uwezo,wanasiasa ambao hawatunzi kauli zao, wanaojitoa ufahamu,hawana uwezo wa kuisimamia serikali,wanafiki.wanao ongoza kwa chuki na wivu.Tunahitaji katiba mpya tunapo lazimisha ya zamani tutaendelea kusingizia mabeberu kwakila kitu tunacho shindwa