Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Vita vya kiuchumi hizo ni Nadharia za jiwe na wote waliosoma zamani pale wanaposhindwa mambo sababu ya ujuaji upelekea kuwatupia lawama wengine juu ya kushindwa kwao
 
Mabeberu gani TZ inapigana nayo kiuchumi na namna gani? Au labda tuseme TZ inapigwa kiuchumi na mabeberu haya ya Mnuzi toka Mufindi.
 
Vita ya kiuchumi ni vita ya kukomboa rasilimali "zako" ambazo zilikuwa zimeshikiliwa na kunufaisha watu wa nje (mabeberu), badala ya kunufaisha wananchi husika (Watanzania).
Raslimali zetu tusipowauzia nje kwetu ni takataka,nani anakula dhahabu,madini,nk.Ni sawa na kusema watu wa vijijini wanatuonea wivu wa mjini.
 
Mswahili akishindwa jambo utafuta mbuzi wa kumtupia lawama hili lipo kwenye makuzi yetu.
1.Mtu akibaka,akiiba akidakwa atakwambia shetani kampitia.
2.Akishindwa waletea maendeleo watu atasingizia wapinzani hali awakusanyi kodi.
3.Mtawala akishindwa kuwaletea waafrika maendeleo atasingizia mabeberu mara wakoloni.
4.Blah blah kibao

Ni Nadharia zaidi kuliko hali halisi.Haya mambo ya kusingizia yaliasisiwa na wajamaa hawa waliosoma zamani kina jiwe and company ni waathirika wa mitaala ya zamani.Ambazo fikra zao zinapingana na ukweli halisi wa sasa.
 
Hapo kati tulitishwa na mtaifa ya nje pamoja na mashirika ya fedha ya kimataifa, wakatupa masharti magumu ya kuuza rasilimali zetu zote kutoka mikononi mwa serikali na kwenda kwenye sekta binafsi.

Watanzania wengi wakati ule walikuwa hawana uwezo wakujimilikisha vitu kama migodi, mashamba, mawasiliano nk. Hapo ndio mabeberu wakazamia na kukomba kila kitu. Leo hii, tuko kwenye vita ya kukomboa rasilimali zetu na kujenga uchumi wetu kwa manufaa ya Watanzania wote.
Serikali haiwezi fanya biashara vingi vilikufa thus wakavimilikisha sekta binafsi,awamu hii imerudia makosa ya awamu ya kwanza kwa Kuuwa sekta binafsi kwa kuzisomesha namba lengo kuu ni iwe rahisi kuwatawala watu.Kilichotakiwa ni kuendeleza sekta binafsi imilikiwe na wazawa kwa asilimia kubwa na jukumu la serikali iwe ni kodi tu.
 
Lakini Ili uendele ni lzm ushirikiane na beberu huwezi kuwa kisiwa.Maendeleo ni sawa na draft au bao au karata katu huwezi shinda bila kuliwa.Nchi zote zilizoliwa na mabeberu zipo juu kiuchumi kama zisingeshirikiana na mabeberu zisingefika huko kiuchumi mfano China, taiwan,hongkong, malaysia, Japan, Brazil,india,dubai, qatar, indonesia, South Africa.
 
Raslimali zetu tusipowauzia nje kwetu ni takataka,nani anakula dhahabu,madini,nk.Ni sawa na kusema watu wa vijijini wanatuonea wivu wa mjini.
Tofauti ni kuuza kile unachozalisha na kupata mapato halali, sio unasubiri kuambiwa tumeuza kilo 2 wakati wameuza kilo 500. Halaf unajitapa mimi mzalishaji mkubwa sana wa dhahabu, huku pesa anatafuna mwingine na watoto wako wanasoma chini ya mwembe.
 
Uchumi wa mikoa ya kaskazini ni pesa toka kenya wao ni wanunuzi wakuu wa vinavyozalishwa huko.
 
Serikali haiwezi fanya biashara vingi vilikufa thus wakavimilikisha sekta binafsi,awamu hii imerudia makosa ya awamu ya kwanza kwa Kuuwa sekta binafsi kwa kuzisomesha namba lengo kuu ni iwe rahisi kuwatawala watu.Kilichotakiwa ni kuendeleza sekta binafsi imilikiwe na wazawa kwa asilimia kubwa na jukumu la serikali iwe ni kodi tu.
No, tulilazimishwa kuuza. makampuni mengi na viwanda vingi vilihujumiwa ili tu kuingiza bidhaa za nje na pia kutoa mwanya kwa watu wa nje kumiliki rasilimali Tanzania.

Kwa serikali ya awamu ya tano, ndio imekuja na ajenda ya kuwapa kipaumbele wazawa kwanza na kuhakikisha idadi ya matajiri watanzania inaongezeka. Ndio maana unaona wachimbaji wadogo wanahamasisha na kupewa masoko halali na ya uhakika. Wakulima wanahamasisha kuzalisha na kuuza kwa bei ya juu wakiuza nje ya nchi.
 
Tofauti ni kuuza kile unachozalisha na kupata mapato halali, sio unasubiri kuambiwa tumeuza kilo 2 wakati wameuza kilo 500. Halaf unajitapa mimi mzalishaji mkubwa sana wa dhahabu, huku pesa anatafuna mwingine na watoto wako wanasoma chini ya mwembe.
Hapo ni udhaifu wa usimamiaji wa sera .mfano kama atufanyi bidii kutangaza utalii tumelala wao wakatangaza mlima kilimanjaro upo kwao na wakavuna kupitia hilo sio kosa lao ni letu,tumeshindwa kutengeneza mifumo mizuri ya kuyapa thamani mazao yetu madini yetu kwa kuwaleta wataalamu au kuweka upatikanaji wa vifaa vya kisasa then wenzetu wakatumia fursa hio wakapiga faida sio kosa lao.Mfano tiss wako bize kuisaidia ccm kuiba kura,au kudukua simu za kina mbowe,nk wa wenzetu wapo bize kutafuta fursa za uchumi kwa watu wao wapi wakaibe raslimali na sio kuiba kura walete kwao kujenga uchumi wao, hatuwezi lingana wao watasonga tu.
 
Serikali haiwezi fanya biashara vingi vilikufa thus wakavimilikisha sekta binafsi,awamu hii imerudia makosa ya awamu ya kwanza kwa Kuuwa sekta binafsi kwa kuzisomesha namba lengo kuu ni iwe rahisi kuwatawala watu.Kilichotakiwa ni kuendeleza sekta binafsi imilikiwe na wazawa kwa asilimia kubwa na jukumu la serikali iwe ni kodi tu.
Serikali nyingi zinatumia muda mwingi na pesa nyingi kutengeneza sheria na kanuni namna ya kuendesha biashara cha ajabu biashara nyingi hufa
 
Hapo ni udhaifu wa usimamiaji wa sera .mfano kama atufanyi bidii kutangaza utalii tumelala wao wakatangaza mlima kilimanjaro upo kwao na wakavuna kupitia hilo sio kosa lao ni letu,tumeshindwa kutengeneza mifumo mizuri ya kuyapa thamani mazao yetu madini yetu kwa kuwaleta wataalamu au kuweka upatikanaji wa vifaa vya kisasa then wenzetu wakatumia fursa hio wakapiga faida sio kosa lao.Mfano tiss wako bize kuisaidia ccm kuiba kura,au kudukua simu za kina mbowe,nk wa wenzetu wapo bize kutafuta fursa za uchumi kwa watu wao wapi wakaibe raslimali na sio kuiba kura walete kwao kujenga uchumi wao, hatuwezi lingana wao watasonga tu.
Hayo ya TISS na CCM sina uhakika nayo, lakini kwenye uchumi, awamu ya tano inatekeleza yote hayo uliyoyataja hapo juu. Kwenye utalii wanajitantanza, kupitia mikataba mibovu wanapitia, madini, sera zinajieleza, watanzania walikuwa hawana uwezo sasa waweza sasa wanaweza. Kilimo, Tanzania ndio inaongoza na kulisha ukanda huu nk nk....
 
Sekta binafsi awamu hii nyingi zimekufa kilichopo ni kutengeneza uchumi wa kimachinga labda ndo unachoona na ndio kukua kwa sekta binafsi.
 
Hayo ya TISS na CCM sina uhakika nayo, lakini kwenye uchumi, awamu ya tano inatekeleza yote hayo uliyoyataja hapo juu. Kwenye utalii wanajitantanza, kupitia mikataba mibovu wanapitia, madini, sera zinajieleza, watanzania walikuwa hawana uwezo sasa waweza sasa wanaweza. Kilimo, Tanzania ndio inaongoza na kulisha ukanda huu nk nk....
Sekta binafsi awamu hii nyingi zimekufa kilichopo ni kutengeneza uchumi wa kimachinga labda ndo unachoona na ndio kukua kwa sekta binafsi.
Serikali nyingi zinatumia muda mwingi na pesa nyingi kutengeneza sheria na kanuni namna ya kuendesha biashara cha ajabu biashara nyingi hufa
Sekta binafsi ndio nguzo ya uchumi zinatoa ajira,kodi,ukuaji wa miji,nk.
 
Sekta binafsi awamu hii nyingi zimekufa kilichopo ni kutengeneza uchumi wa kimachinga labda ndo unachoona na ndio kukua kwa sekta binafsi.

Sekta binafsi ndio nguzo ya uchumi zinatoa ajira,kodi,ukuaji wa miji,nk.
Usichanganye neno SEKTA na neno BIASHARA, ni vitu viwili tofauti. Sekta ni mfumo mzima wa eneo mahususi lenye manufaa kiuchumi. Wakati biashara ni kipengele kilicho ndani ya sekta husika. Dunia nzima biashara zinazalishwa na kufa, hata nchi kubwa na tajiri, biashara zinanzishwa na zingine zina kufa. Sababu za biashara kufa ni nyingi ikiwa pamoja na upangaji mbovu, mtaji mdogo, pamoja na ushindani mkali.

Sekta binafsi Tanzania haijafa kutokana uchumi wa Tanzania unakuwa, biashara zinakufa lakini nyingi mpya zinazalishwa. Mfano mzuri mwanzoni mwa mwaka huu Rais alikuwa Morogoro akasema Mzee Abood ambaye alimilikishwa viwanda ya serikali vikamshidaa, lakini mzee Rostam Aziz ameweza kufunguwa kiwanda kingine. Hiyo ndio story ya nchi nzima biashara zinakuja na kuondoka, sekta kama kilimo, usafirishaji, ujenzi, afya, viwanda hazijafa na zinaimarika.

Kama kuna sekta unaona imekufa labda utupe mfano ili tuelewe unachosema.
 
Lakini Ili uendele ni lzm ushirikiane na beberu huwezi kuwa kisiwa.Maendeleo ni sawa na draft au bao au karata katu huwezi shinda bila kuliwa.Nchi zote zilizoliwa na mabeberu zipo juu kiuchumi kama zisingeshirikiana na mabeberu zisingefika huko kiuchumi mfano China, taiwan,hongkong, malaysia, Japan, Brazil,india,dubai, qatar, indonesia, South Africa.
Hawa wanapayuka tu hata hawajui Beberu ni nani na anafanya nini.

Ndiyo maana nasema hawana lengo lolote, wanajipigia tu bora liende na kuwahadaa wananchi wasiokuwa na ufahamu na mambo haya, ila kuaminishwa tu jujuu kuwa kuna 'mabeberu'.
 
Wananchi ndio waliamua kama chama kile kile kilicholazimishwa kwa vitisho kukubali kuuza rasilimali za nchi, ndio kinachofaa kuzirudisha mali kwa wananchi.

Hawakupenda mtazamo wa chama kilichokuwa kinawatisha kwamba rasilimali zetu sio zetu tena na tutashitakuwa kama tukijaribu hata kuwa na mawazo ya kuzirudisha.
Una rasilimali gani ambazo ni zako wewe??? Yaani ooze Madini yetu kwa mikataba ya ulaghai na siri enzi za mkapa leo uje kutuambia ati unayarudisha? Kurudisha zile nyumba za umma .bwana MAGUFULI alizouzia hawala zake kina kabula kwanza.
Vinginevyo wewe na wenzio ni ushetani tu. Wananchi wanawaamini wakati umeingia na kura kupitia kwa wasimammizi mliowaweka nyie?
 
Wananchi ndio waliamua kama chama kile kile kilicholazimishwa kwa vitisho kukubali kuuza rasilimali za nchi, ndio kinachofaa kuzirudisha mali kwa wananchi.

Hawakupenda mtazamo wa chama kilichokuwa kinawatisha kwamba rasilimali zetu sio zetu tena na tutashitakuwa kama tukijaribu hata kuwa na mawazo ya kuzirudisha.
Anzismassd
Tumejitengenezea mabepari wenyewe, kutokana na mfumo wa chaguzi zetu,ambao unatengeneza watu ambao hawana uwezo,wanasiasa ambao hawatunzi kauli zao, wanaojitoa ufahamu,hawana uwezo wa kuisimamia serikali,wanafiki.wanao ongoza kwa chuki na wivu.Tunahitaji katiba mpya tunapo lazimisha ya zamani tutaendelea kusingizia mabeberu kwakila kitu tunacho shindwa
Shida ya watanzania ni kwamba wanatanguliza siasa kama wewe kuliko nchi. Wana Ccm walio wengi ukizungumza nao wanaamini kama huungi mkono sera za Ccm wewe ni kibaraka. Hiyo siyo kweli kwakuwa Ccm cyo nchi.
Tuliingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila kubadilisha katiba. Tulipotaka kubadilisha ile ya Warioba ililetewa mizengwe mpaka ikakwama.
Chama kinachosemekana kinakubalika na wanyonge kinapora ushindi mpaka uchaguzi wa vitongoji na kununua wapinzani na kuwapa vyeo. Lengo ni kuwavuta wengine waone kwamba usaliti unalipa
 
Back
Top Bottom