Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #21
Iran imewekeza kwenye Elimu ambayo viongozi wake wa Kiraia na Kijeshi wanapukutishwa kama nzige.?Ogopa sana Nchi iliyowekeza kwenye ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Iran ni kati ya Nchi tano duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri
Badala ya kujisifia kuzuia wewe ulivyo Poyoyo unasifia ukarabati hivi wewe una akili kweli?Ujue kinachotokea ni kuwa, Marekani na kibaraka wake wakiharibu makombora ndani ya wiki hivi, Iran wanatengeneza mengine, ukiharibu kiwanda ndani ya muda wana karabati
Hizo drone unazosema za kisasa zimemsaidia nini katika vita hii mbona tunaona viongozi wake wanakufa kama panzi kila siku?Irani inatengeneza DRONE za kisasa za kivita, silaha mbalimbali na makombora kwa kuwa imewekeza vikubwa kwenye ELIMU, ELIMU, ELIMU ya sayansi.....
Hata huko Ukraine sasa ni mwaka wa 5 Putin kashindwa kuiteka Ukraine Drones za Kisasa za Iran hazijamsaidia kitu!!
Hivi ukiwa Mfuga Mudevu na Majini ni lazima uwe Muongo-Myongo?TRUMP ALISEMA ATAMALIZA VITA NDANI YA WIKI MBILI AKIFIKIRI IRANI NI SAWA NA VENEZUELA!
Hakuna sehemu Trump alisema ataimaliza vita hii kwa wiki mbili labda tu wewe unajitekenya harafu unacheka mwenyewe!!!!