Iran imewekeza kwenye Elimu ambayo viongozi wake wa Kiraia na Kijeshi wanapukutishwa kama nzige.?Ogopa sana Nchi iliyowekeza kwenye ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Iran ni kati ya Nchi tano duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri
Badala ya kujisifia kuzuia wewe ulivyo Poyoyo unasifia ukarabati hivi wewe una akili kweli?Ujue kinachotokea ni kuwa, Marekani na kibaraka wake wakiharibu makombora ndani ya wiki hivi, Iran wanatengeneza mengine, ukiharibu kiwanda ndani ya muda wana karabati
Hizo drone unazosema za kisasa zimemsaidia nini katika vita hii mbona tunaona viongozi wake wanakufa kama panzi kila siku?Irani inatengeneza DRONE za kisasa za kivita, silaha mbalimbali na makombora kwa kuwa imewekeza vikubwa kwenye ELIMU, ELIMU, ELIMU ya sayansi.....
Hivi ukiwa Mfuga Mudevu na Majini ni lazima uwe Muongo-Myongo?TRUMP ALISEMA ATAMALIZA VITA NDANI YA WIKI MBILI AKIFIKIRI IRANI NI SAWA NA VENEZUELA!
Vipi mradi wa Marekani wa ndege 100 na meli 300😂😂Iran imewekeza kwenye Elimu ambayo viongozi wake wa Kiraia na Kijeshi wanapukutishwa kama nzige.?
Badala ya kujisifia kuzuia wewe ulivyo Poyoyo unasifia ukarabati hivi wewe una akili kweli?
Hizo drone unazosema za kisasa zimemsaidia nini katika vita hii mbona tunaona viongozi wake wanakufa kama panzi kila siku?
Hata huko Ukraine sasa ni mwaka wa 5 Putin kashindwa kuiteka Ukraine Drones za Kisasa za Iran hazijamsaidia kitu!!
Hivi ukiwa Mfuga Mudevu na Majini ni lazima uwe Muongo-Myongo?
Hakuna sehemu Trump alisema ataimaliza vita hii kwa wiki mbili labda tu wewe unajitekenya harafu unacheka mwenyewe!!!!
Mzee wa Uharo hiyo mada yako unaikana? Mzee wa Uharo si wewe ndiyo ulituambia kuwa Marekani anaanzisha mradi wa kufungua Hormuz au nakusingizia?Mzee wa Uharo unataka kuhamisha mada?
Mzee wa Uharo nauliza tena ule mpqngo wa Marekani kufungua Hormuz na ndege 100 umeishia wqpi?Acha kujitetea uzi huu unaongelea Hormuz? Sema tu kama unataka kuhamisha mada!!
🤣🤣Yeye ya kwake mbona kaificha
Uzi huu unaongelea kuhamishwa kwa Uranium ya Iran iliyorutubishwa!!Mzee wa Uharo nauliza tena ule mpqngo wa Marekani kufungua Hormuz na ndege 100 umeishia wqpi?
Tunaongelea uongi wa Marekani kumaliza uwezo wa Iran Kinyuklia you pathetic!Mara ya kwanza 12 days war waliuwawa zaidi ya Viongozi na makamanda waandamizi zaidi ya 300 na hamkusema mkanyanaza kimya mkazika wafu wenu kimyakimya!!
Safari hii tena viongozi na Makamanda waandamizi wa IRGC zaidi ya 200 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na mpaka sasa hivi haijulikani Iran ni nani kiongozi!!
Hapo pia mmekaa kimya hata mazishi ya Ayatollah Ali Khamenei hamjatutangazia kwa ujinga bado mnadai Iran anashinda vita!!!
Ni ujinga kufikiria kuwa Iran atashinda hii vita labda tu Ashinde Njaa!!